ISAREL yamuua Saleh Al-Arouri, Makamo Mwenyekiti wa Magaidi ya Hamas ,alikua kajificha Nchini Lebanon!!

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Feb 6, 2017
24,084
71,512
Waisrael wenzangu, lile Gaidi namba mbili la HAMAS lilokua mafichoni Nchini Lebanon , limeuliwa Leo Mara baada ya Ndege vita isokua na Rubani kuingia anga la Beirut Lebanon na Kuachilia kombora ambalo limemuacha Gaidi akiwa vipande vipande.

Sambamba naye, wameuliwa magaidi mengine Matano.

Hii ndio Israel , Ulipo Tupo 😂😂

Tunamuwinda Mwenyekiti sasa !!.

Hizibollah mkijichanganya kulipa kisasi, tutaigeuza Lebanon kua Vumbi.

Yale mameli ya Wamarekan, yalikuja Kutusaidia Taarifa za alipo huyu Gaidi

IMG_20240102_223531_913.jpg
 
Pole sana kijana hamas bado tunayo sana maana mshaanza kudai mazungumzo na magaidi
Hamas kama waliweza kukaa miezi mitatu na hawajafa njaa basi hata miaka saba wanakaa

Mbona dhaifu wa hoja wewe sasa sulubu ya miezi mitatu ni kipimo cha sulubu ya miaka 7? Magaidi hayanaga akili siku zote
 
nyie shabikieni tu vita.

Huku wenzenu wasioweza kufikiri wanawapandishia tu bei ya mafuta na gharama za maisha zinapanda juu zaidi na tunadhidi tu kuwa masikini huku
 
Mbona dhaifu wa hoja wewe sasa sulubu ya miezi mitatu ni kipimo cha sulubu ya miaka 7? Magaidi hayanaga akili siku zote
Wewe ukiwa na akili inatosha mzayuni wa jf
Sasa wote tukiwa na akili makopo wataokota nani
Ingawaje kwasasa waokota makopo ajira
 
Waisrael wenzangu, lile Gaidi namba mbili la HAMAS lilokua mafichoni Nchini Lebanon , limeuliwa Leo Mara baada ya Ndege vita isokua na Rubani kuingia anga la Beirut Lebanon na Kuachilia kombora ambalo limemuacha Gaidi akiwa vipande vipande.

Sambamba naye, wameuliwa magaidi mengine Matano.

Hii ndio Israel , Ulipo Tupo 😂😂

Tunamuwinda Mwenyekiti sasa !!.

Hizibollah mkijichanganya kulipa kisasi, tutaigeuza Lebanon kua Vumbi.

Yale mameli ya Wamarekan, yalikuja Kutusaidia Taarifa za alipo huyu Gaidi

View attachment 2860415
Hawa Jamaa mpango wa kuwahamishia Uganda ungefaulu basi leo Jeshi la Kenya KDF lingekuwa ni magaidi, JWTZ wangekuwa Magaidi na Jeshi la Uganda UPDF lingekuwa ni Magaidi.
 
Hili tatizo la kukatika kwa umeme ni zaidi ya hyo mizozo huko kwa wenzetu. Kwasababu wao kila mmoja anatetea ardhi yake na suala la kufa ni kawaida kwasababu kila mtu aliyezaliwa lazima afe.

Lakini mm kam mm huku kukatika kwa umeme kila siku na vyanzo vyote vya kupata umeme Mungu ametupatia naona ni tatizo kubwa sawa au kuzid hyo vita yanayopambana nayo wenzetu
 
Waisrael wenzangu, lile Gaidi namba mbili la HAMAS lilokua mafichoni Nchini Lebanon , limeuliwa Leo Mara baada ya Ndege vita isokua na Rubani kuingia anga la Beirut Lebanon na Kuachilia kombora ambalo limemuacha Gaidi akiwa vipande vipande.

Sambamba naye, wameuliwa magaidi mengine Matano.

Hii ndio Israel , Ulipo Tupo

Tunamuwinda Mwenyekiti sasa !!.

Hizibollah mkijichanganya kulipa kisasi, tutaigeuza Lebanon kua Vumbi.

Yale mameli ya Wamarekan, yalikuja Kutusaidia Taarifa za alipo huyu Gaidi

View attachment 2860415
Magaidi wa Israel ,wameua tena?Ili wakapakatwe na Abraham?
 
Hili tatizo la kukatika kwa umeme ni zaidi ya hyo mizozo huko kwa wenzetu. Kwasababu wao kila mmoja anatetea ardhi yake na suala la kufa ni kawaida kwasababu kila mtu aliyezaliwa lazima afe.

Lakini mm kam mm huku kukatika kwa umeme kila siku na vyanzo vyote vya kupata umeme Mungu ametupatia naona ni tatizo kubwa sawa au kuzid hyo vita yanayopambana nayo wenzetu
Haya maneno yenye hekima.
 
Waisrael wenzangu, lile Gaidi namba mbili la HAMAS lilokua mafichoni Nchini Lebanon , limeuliwa Leo Mara baada ya Ndege vita isokua na Rubani kuingia anga la Beirut Lebanon na Kuachilia kombora ambalo limemuacha Gaidi akiwa vipande vipande.

Sambamba naye, wameuliwa magaidi mengine Matano.

Hii ndio Israel , Ulipo Tupo 😂😂

Tunamuwinda Mwenyekiti sasa !!.

Hizibollah mkijichanganya kulipa kisasi, tutaigeuza Lebanon kua Vumbi.

Yale mameli ya Wamarekan, yalikuja Kutusaidia Taarifa za alipo huyu Gaidi

View attachment 2860415
Vipi FaizaFoxy jamani, bado hajapatikana tu? Israel mbona mnatuangusha wana JF na wapenda amani hapa duniani?
 
Pro Hamas na Pro Palestina, wanashindwa kukubali au kukataa kuwa kiongozi wa pili wa juu zaidi wa Hamas amekwenda futi sita ardhini kwa kutunguliwa na Drone za Israel huko Lebanon.

Ni siku mbaya sana kwa wapalestina wa buza, bonyokwa, Tandale, Mbagala nk.
 
Back
Top Bottom