nchini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Upinzani Senegal kuelekea ushindi, tunayo ya kujifunza?

    Sonko, Faye na wengi wengine wametokea magerezani vitani dhidi ya watawala: Vita dhidi ya watawala haviwezi kuwa vya maelewano. CCM yupi ataridhiana na nani ili kwamba atoke madarakani? Labda tu ili ajisimike madarakani kisawa sawa! ---- Opposition leader Bassirou Diomaye Faye has emerged...
  2. JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari nchini vina Promote Ngono

    Tukisema vyombo vya habari nchini Tanzania vina promote Ngono tutakuwa tunakosea? Huyu Dada baada ya Kutrend na Video zake anazofundisha Ngono mitandaoni kapata nafasi ya kualikwa kwenye Malkia wa Nguvu na kupostiwa kwenye Chombo cha habari kikubwa nchini. HII NCHI INA VITU VYA AJABU SANA...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Ofisi ya Katibu Mkuu Kiongozi ipunguze maafisa utumishi, badala yake iwe na wanasheria wengi wakushauri kuhusu uteuzi wa viongozi

    Maafisa utumishi wa Tanzania wengi hawajua katiba wala sheria nje ya sheria za utumishi. Kwa hivi karibuni maswali mengi yamekuwa yakiibuka kuhusu uteuzi wa viongozi. Inaonekana wazi kwamba wanaopitisha majina kwenda kwa Mhe. Rais siyo wajuzi wa katiba wala sheria ni maafisa utumishi. Nimeona...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Serikali kuleta ndege mpya nchini Machi 26, 2024

    Ndege mpya ya Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL), Boeing 737-9 Max, inatarajiwa kuwasili nchini Machi 26 mwaka huu kutokea nchini Marekani, hii itakuwa ndege ya 14 kutoka ATCL.
  5. JamiiForums Tanzania Hatimaye barua imefika Ikulu kwa Rais kuhusu balozi mteule Jen. Patrick Nyamvuba wa Rwanda nchini Tanzania

    Habari Ndugu zangu? Naitwa Lugete Mussa Lugete mchambuzi wa siasa za Kimataifa, Mwanahistoria na Mwanamajumui wa Afrika. Nachukua nafasi hii kuwapongeza wasomaji wangu wote kwa sababu Barua yangu kwa Mheshimiwa Rais Dr. Samia Suluhu Hassan kuhusu Balozi mteule wa Rwanda nchini Tanzania Generali...
  6. JamiiForums Tanzania TANAPA: Idadi ya Watalii nchini imeongezeka kutoka 997, 873 hadi kufikia 1,670,437 (2021/2022 hadi 2022/2023)

    Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA), limefanikiwa kuongeza mapato katika kipindi cha miaka mitatu kutoka shilingi 174,715,158,494 kwa mwaka wa fedha 2021/2022 hadi kufikia shilingi 337,424,076,896 kwa mwaka wa fedha wa 2022/2023. Akizungumza Machi 21, 2024 Jijini Dar es Salaam katika...
  7. JamiiForums Tanzania Julius Nyerere akijibu maswali ya waandishi wa habari nchini Uganda, Julai 1988

    Hapa Rais Nyerere [ alikuwa keshastaafu urais] akijibu maswali ya waandishi wa habari huko Uganda. Seems like he was always in his element when speaking to reporters/ journalists: https://youtu.be/ldgW7lBYKkU?si=d-vHRKTNhV24DW6u
  8. JamiiForums Tanzania Kampeni ya Mama Paka ina lengo la kutokomeza mnyama aitwaye paka nchini Zanzibar

    Hawa wazungu wamekuwa wakikamata paka mitaani na majumbani kisha kuwang'oa uzazi. Baada ya miaka michache tu nchi ya Zanzibar itakuwa haina paka hata mmoja. Paka wana faida nyingi sana kwa jamii na kimazingira pia. Hizi kampeni zinazoendelea, serikali izitupie macho. Wanyama wana haki ya...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Shida tunazopata hivi sasa hapa nchini zimesababishwa na mwendazake

    Mwendazake jiwe aliharibu mitambo ya umeme kwa kuamrisha ifanye kazi bila matengenezo. Aliharibu biashara na ajira nyingi sana kwa mtindo wake wa kupora maliza za wafanyabiashara na kuwabambikizia kesi. Aliwatesa sana wakulima kwa kuzuia mazao yao yasiuze nje. Aliwatesa sana wafanyakazi kwa...
  10. JamiiForums Tanzania TTB yatakiwa kujidhatiti utangazaji utalii nchini

    TTB YATAKIWA KUJIDHATITI UTANGAZAJI UTALII NCHINI Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeitaka Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) kujidhatiti katika utangazaji utalii ili kuongeza idadi ya watalii na mapato yatokanayo na Utalii nchini. Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe. Timotheo...
  11. B

    JamiiForums Tanzania DW: Nafasi ya chama cha ACT-Wazalendo nchini Tanzania

    Hii ilikuwa ni katika kipindi chao cha "maoni mbele ya meza ya duara" jana: Kuliangazia hilo yafuatayo yalimulikwa: 1. Madai ya kuwa ACT kinafanya siasa zisizo na uhalisia kikipendelea ukaribu usiofaa na watawala. 2. Kupachikwa jina CCM B. 3. Ipi hasa ilikuwa sura halisi ya ACT? 4. Vipi...
  12. JamiiForums Tanzania Upatikanaji wa Dollar za Marekani limekuwa tatizo lisilovumumilika Tanzania

    Nimefika bank Moja nchini kubwa kununua USD 10,000 Kwa ajili ya kukununulia gari nchini Japan. Nilichkokutana nacho ni kuuziwa USD 500 tu! Kuna shida ya USD nchini na BOT wamepiga kimya! Kibao cha kuonyesha exchange rate Kiko na kimeandika bei ya USD Kwa siku hiyo ila no USD,,! Ni nini...
  13. JamiiForums Tanzania Sonko, Mwanasiasa wa upinzani nchini Senegal aachiwa huru

    Kiongozi wa upinzani mwenye ushawishi mkubwa nchini Senegal Ousamne Sonko na mgombea wa urais anayeunga mkono katika uchaguzi wa Machi 24, Bassirou Diomaye Faye, waliachiwa huru kutoka jela Alhamisi, televisheni ya serikali ya Senegal RTS ilisema kwenye tovuti yake. Kuachiliwa kwao kulikuwa...
  14. JamiiForums Tanzania Prof. Kitila: Wazabuni eneo la ujenzi, tumieni bidhaa zinazozalishwa Nchini

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo amewataka wazabuni wanaopata tenda za Serikali kwenye eneo la ujenzi kutumia vifaa vinavyozalishwa ndani ya nchi ili kuokoa fedha za kigeni. Prof. Mkumbo ametoa wito huo Machi 14, 2024 akiwa Mkuranga, Pwani alipofanya...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Balozi wa Ubelgiji nchini Tanzania atembelea Ofisi za JamiiForums, Machi 14, 2024

    Leo, Machi 14, 2024, JamiiForums imetembelewa na Balozi wa Ubelgiji nchini Tanzania, Peter Huyghebeart Ujumbe wa Ubalozi umepata nafasi ya kukutana na Uongozi na Watendaji wa JF na kuona shughuli mbalimbali za Taasisi ikiwa ni pamoja Programu 8 zinazotekelezwa na kujadiliana namna bora ya...
  16. JamiiForums Tanzania Kutumbua pekee hakutoshi, shtaki, funga wabadhirifu na wazembe ili kuleta uwajibikaji nchini

    Mheshimiwa Rais, nimekusikia ukisema unaweka pembeni wazembe na wale wasiowatumikia wananchi ipasavyo, hadi pale watakapojirekebisha ndio unawarudisha! Sasa mzembe asipochukuliwa hatua za kisheria ikiwemo kushtakiwa Kwa kosa la kula mshahara Bure na uhujumu uchumi hawezi jifunza lolote...
  17. JamiiForums Tanzania Album(Nyimbo) Ujio Wa Papa Yohane wa II, Ziara kitume Nchini Tanzania Mwaka 1990

    Ndugu zangu tumsifu Yesu Kristo Ningependa kushiriki nanyi nyimbo hizi.
  18. JamiiForums Tanzania Mfanyakazi wa zamani wa Boeing aliyekuwa akikosoa ubora wa ndege hizo akutwa amefariki nchini Marekani

    Bwana Barnett alifanya kazi kwa kampuni kubwa ya ndege ya Marekani kwa miaka 32, hadi alipojiuzulu mwaka wa 2017 kwa sababu za afya. Tangu mwaka wa 2010, alifanya kazi kama meneja wa ubora katika kiwanda cha North Charleston kinachotengeneza Dreamliner ya 787, ndege ya kisasa sana inayotumiwa...
  19. JamiiForums Tanzania Serikali imeshindwa kutatua kero na matatizo yatokanayo na bodaboda na Bajaj nchini!

    Huduma za bodaboda na bajaj nchini zimechukuliwa kuwa za kisiasa zaidi kuliko kuwa huduma inayo hitaji udhibiti kimamilifu kwama vyombo vingine vya moto. Kinachosikitisha zaidi ni hata vyombo vya udhibiti kisheria kama Polisi, ni kama wako paralysed kutatua matatizo ya vyombo hivi. Wanasiasa...
  20. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Haiti ajiuzulu baada ya Makundi ya Uhalifu kumshinikiza aachie madaraka kabla ya kurejea nchini humo

    HAITI: Waziri Mkuu Ariel Henry amekubali kujiuzulu baada ya kuwepo shinikikizo la Makundi ya Uhalifu yaliyomtaka kuachia madaraka kwa hiari kabla ya kurejea nchini humo kutoka Puerto Rico alikofikia wakati akirejea kutoka nchini Kenya. Henry alichukua nafasi hiyo mwaka 2021 baada ya Rais...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…