nchini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Hivi Kwa sasa, Kuna biashara yenye faida na mzunguko mkubwa kama ya Michezo ya kubahatisha nchini?

    Salaam,Shalom!! Twende haraka kwenye mada, biashara ya Michezo ya kubahatisha Kwa sasa imetapakaa Nchi nzima Hadi vijijini, na sijawahi kushuhudia wahusika wakifunga biashara hizo Kwa kufilisika, Betting haihitaji gharama kubwa katika uwekezaji, akishanunua mashine na kujenga ofisi hapo hapo...
  2. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Serikali yaainisha Mpango wa Kusaidia Wachimbaji Wadogo Nchini

    Waziri wa Madini Mh. Anthony Mavunde ameainisha mpango wa serikali wa kusaidia utatuzi wa changamoto zinazowakabili wachimbaji wadogo nchini. Mh Mavunde ameyasema hayo leo wakati akijibi swali la Mh Dkt. Christine Gabriel Ishengoma Mbunge wa Viti Maalum aliyetaka kujua mpango wa serikali...
  3. A

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kilimo ni sekta mama hapa nchini haya yafanyike kwa maendeleo ya taifa

    UTANGULIZI. Pamoja na jitihada za serekali katika kuimarisha sekta ya kilimo lakini bado Kuna changamoto nyingi ambazo ni vifaa duni,ukosefu wa mitaji,ukosefu wa elimu,kukosekana Kwa masoko ya uhakika, bidhaa kukosa ubora unaotakiwa sokoni na kukosa namna bora ya kuhifadhi mazao Yao n.k Hivyo...
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Teknolojia ya Intaneti yenye Kasi ya 6G yaingia nchini

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema huduma ya Intaneti yenye kasi ya 6G imeingia rasmi nchini Tanzania
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Israel yafungia Matangazo ya Al Jazeera kwa madai ya kutishia usalama wa nchi

    Baraza la mawaziri la waziri mkuu Benjamin Netanyahu limeunga mkono kuzimwa operesheni za Al Jazeera nchini Israel kwa muda wote ambao vita ya Gaza itakuwa ikiendelea, kwa misingi kwamba mtandao huo wa televisheni kutoka Qatar unatishia usalama wa taifa. "Chaneli ya uchochezi ya Al Jazeera...
  6. T

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mfumo utakaoboresha ukusanywaji wa kodi na nchini (Tanzania)

    Utangulizi Takwimu za mapato yakuswanyayo na shirika husika (TRA) katika maeneo/shughuli mbalimbali, zimeonekana kupaa juu siku hadi siku na hii imechochewa na uwekezaji mkubwa uliofanywa na serikali katika kutoa elimu kwa wauzaji na wanunuzi wa bidhaa/huduma mbalimbali,,,, Sambamba na...
  7. K

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo: Bunge Mbadala kwa ukomavu wa kidemokrasia nchini

    Utangulizi Tanzania kama zilivyo nchi za Jumuiya ya Madola zina mfumo wa uwakilishi wa wananchi unaofanana kwa asilimia kubwa. Hata kanuni, miongozo na sheria zinazotumika kwenye mabunge ya nchi hizi zinafanana. Ni mfumo wa miaka mingi ambao chanzo chake ni tawala za kifalme za nchi ya...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini Uchaguzi Mkuu nchini Tanzania hufanyika sana Mwezi Oktoba na siyo Miezi mingine?

    Wakati mkijiandaa Kunijibu GENTAMYCINE naendelea Kusisitiza kuwa tuacheni sana Imani za Uchawi / Ushirikina Okay?
  9. S

    JamiiForums Tanzania Serikali ifanye maamuzi magumu ya kupiga marufuku bodaboda mjini, zitumike vijijini ili kupungiza ajali au iweke kodi kubwa

    Leo hii kuna ajali imetokoe huko. Misungwi ambapo bodaboda zinazodaiwa kuwa katika mwendo wa kasi zimegongana na waliokuwa kwenye hizo pikipi kuungua moto vibaya sana ingawa wanacnhi waliwaokoa kwa kuwamwagia mchanga. na sidhani kama wote wame-survuve (mtu anaangua kama nyama iliyowekwa kwenye...
  10. SUBMAC

    JamiiForums Tanzania Huenda wasanii/watu maarufu wetu ndio wakawa ‘ombaomba’ wakuu ama ‘the most state-priviledged’ hapa nchini

    Amani iwe nanyi! Kwa ufupi tu, nimejaribu kuwaza jinsi tabaka hili la watu maarufu, wakiwemo wasanii, linavyoishi kwa kututegemea sisi wananchi na kodi zetu. Msanii akiwa ana-rise to fame, ataomba support ya mashabiki (sisi) na hata serikali (kupitia mamlaka zinazowahusu) ili afike...
  11. Mtambuzi

    JamiiForums Tanzania Hivi Tanzania hatuna taasisi inayochunguza ubora wa huduma zinazotolewa kwenye hii mighahawa hapa nchini?

    Siku hizi ukiingia kwenye mitandao ya kijamii utakutana na manung'uniko mengi kutoka kwa watu hususan sisi wazawa wenye rangi nyeusi yakituhumu ubaguzi katika kutoa huduma kwa wateja wenye ngozi nyeusi kwenye hii mighahawa ya kitalii. Ukisoma maoni kutoka kwenye malalamiko ya mtoa hoja unakuja...
  12. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Serikali ya Tanganyika Soma Hii; kwa Nini Viwanda Vidogo Nchini Pakistan ni Vingi?

    Viwanda vile huitwa Cottage au SSI's kiufupi ni households industries, Karibia asilimia 45 ya vijiji vya Pakistan vinajitosheleza kwa mahitaji ya Viatu, Pamba kutoa nguo, spare za pikipiki, Cherehani, na vifaa vya kilimo, Kila familia ina Kiwanda kidogo na havifanani bidhaa. IPI NI FAIDA YA...
  13. LINGWAMBA

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Russia waingia kambi ya wanajeshi wa Marekani nchini Niger

    Wanajeshi wa Russia wameingia katika kambi ya Jeshi la Anga la Niger ambayo pia ina wanajeshi wa Marekani baada ya serikali ya Niger kuamuru vikosi vya jeshi la Marekani kuondoka nchini humo. Waziri wa Ulinzi wa Marekani Lloyd Austin amethibitisha tukio hilo leo Ijumaa huku akisema kuwa hakuna...
  14. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Upinzani nchini umekosa uelekeo kabisa

    ukata wa fedha, sera na mikakati mibovu isiyo na tija ya kuwaunganisha wanachama wao imekua ni chanzo cha kuzorota kwa hamasa katika harakati zao mitandaoni na mtaani. maandamano yamekosa mvuto kabisa, chaguzi za ndani ya vyama vya kisiasa hata haijulikani zipo, zimeisha au bado zinaendelea...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Huyu Jamaa wa Hali ya Hewa aliyekuwa akitangaza Usiku huu Taarifa ya Hali ya Hewa nchini nimemkubali hapa tu Kudadadeki

    Wengjne wote ambao nilikuwa nikiwasikia na kuwafuatilia Wao ikifika sehemu ya kusema hali ya Bahari itakuwaje walikuwa wanasema Kiuhuruma na kama vile kuogopa Kutisha Wananchi ila Kudadade huyu Jamaa wa leo sijui ni Poti wangu kutoka Mkoa wa Wanamume pekee Tanzania nzima wa Mara ( Musoma ) au...
  16. dr namugari

    JamiiForums Tanzania Kwanini wakimbizi walioingia nchini kinyemela, wote waonekana kuwa na akili kubwa hakuna mapoyoyo

    Nilikuwa nasoma uzi wa Furtunatus Boyombe kuhusu idadi kubwa ya wahamiaji haramu ambao wako serikalini kwa idadi kubwa wote Wana akili kubwa kubwa mno Mfano wengi unaawakuta wako BOT UDSM SUA IFM TRA UHAMIAJI WAJUMBE WA BODI TARURA TAKUKURU JWTZ Kwa kifupi Ni hivi, wote hakuna hata mwalimu wa...
  17. Language Therapist

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tahadhari zaidi inahitajika dhidi ya Mauaji ya Kinyama nchini, na si kusubiri yatokee ndipo tushughulike nayo

    UTANGULIZI: Miaka ya hivi karibuni watanzania tumekuwa tukipokea taarifa au kushuhudia mauaji ya kinyama kutoka mikoa mbalimbali nchini. Bila shaka wote tunatambua kuwa kumtoa mtu uhai wake ni kinyume na haki za binadamu kwani unamuondolea haki yake ya...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Wadudu wa Arusha ni janga jipya la kimaadili nchini. Acheni kuhalalisha uwepo wao

    Zamani ilikuwa inajulikana kuna vijana wa hovyo walikuwa wakijiita wadudu wa dampo jijini Arusha ambao hasahasa walikuwa wakijihusisha na muziki wa Hiphop. Na hata wengi wao walikuwa wakivuka adolescence hubadilika na kuwa na tabia za kiutu uzima ikiwamo kuacha kujiita mdudu wa dampo. Hawakuwa...
  19. W

    JamiiForums Tanzania Festo Sanga: TANESCO imezidiwa, kuwepo na taasisi/wakala tatu (3) zinazosimamia suala la umeme nchini

    Nimechangia Bungeni namna mahitaji na matumizi ya Umeme yalivyoongezeka nchini, wakati TANESCO inaanzishwa idadi ya watu ilikuwa ndogo, usambazaji wa umeme ulikuwa kwa kiwango kidogo. Tunapozungumza leo, uwekezaji uliopo nchini wa viwanda na migodi (Mfano Mgodi wa Geita kwa siku moja unatumia...
  20. K

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo: Kliniki mwendo (mobile clinic): Suluhisho ya vifo vya mama wajawazito, watoto, makundi maalum sehemu za pembeni na vijijini nchini

    Kliniki mwendo (mobile clinic): Suluhisho ya vifo vya mama wajawazito, watoto,makundi maalum sehemu za pembeni na vijijini nchini Utangulizi WAKATI nchi nyingi duniani zikiendelea na mkakati wa kuboresha sekta ya afya ili kufikia agenda ya 2030 Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs) lengo 3...
Back
Top Bottom