Waziri Mkuu wa Haiti ajiuzulu baada ya Makundi ya Uhalifu kumshinikiza aachie madaraka kabla ya kurejea nchini humo

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,120
1710224123241.png

HAITI: Waziri Mkuu Ariel Henry amekubali kujiuzulu baada ya kuwepo shinikikizo la Makundi ya Uhalifu yaliyomtaka kuachia madaraka kwa hiari kabla ya kurejea nchini humo kutoka Puerto Rico alikofikia wakati akirejea kutoka nchini Kenya.

Henry alichukua nafasi hiyo mwaka 2021 baada ya Rais Jovenel Moise kuuawa ndani ya makazi yake Julai 7, 2021 na kuahidi kuirejesha nchi hiyo kwenye hali ya usalama kutoka katika vurugu zilizodumu kwa muda mrefu.

Katika ziara yake nchini Kenya, Henry aliingia makubaliano ya kupokea Askari wa kulinda amani, jambo lililoamsha vurugu zaidi kutoka kwa makundi ya Uhalifu ya Haiti ambapo makundi hayo yalitoa shinikizo la kumtaka ajiuzulu haraka.

Wakati huo huo, Waziri wa Mambo ya Ndani wa Kenya, Kithure Kindiki amesema mpango wa kupeleka Askari 1,000 nchini Haiti uko katika hatua za mwisho.

=============

Haiti's Prime Minister Ariel Henry has agreed to resign amid surging violence in the Caribbean country, the chair of the Caribbean Community said Monday.

Henry said he will step down once a transitional presidential council is created and an interim premier named. He had held the position, unelected, since the 2021 assassination of the previous president, Jovenel Moise.

"We acknowledge his resignation upon the establishment of a transitional presidential council and naming of an interim prime minister," said Caribbean Community chair Irfaan Ali, also the president of Guyana. Ali thanked Henry for his service to Haiti.

A seven-member presidential council will be formed for the transition to elections in Haiti, which will appoint a new interim prime minister, Ali said late on Monday.

Henry is currently stranded in the US territory of Puerto Rico, following his trip to Kenya last week to lobby for UN-backed police to be deployed in his country.

Caricom leads urgent international talks on Haiti crisis​

Members of a Caribbean regional trade bloc known as Caricom organized emergency talks in Jamaica on Monday to address the violence in Haiti. The meeting also involved Canada, France and the UN with US Secretary of State Antony Blinken in attendance.

Caricom had had pressed for a transitional government in Haiti for months amid protests calling for Henry's resignation.

Guyanese President Mohamed Irfaan Ali, the current Caricom chair, warned despite the ongoing talks to restore "stability and normalcy" to Haiti some Haitian groups "are not where they need to be."

After meeting with Caribbean leaders, Blinken announced an $100 million (€92 million) to fund the deployment of a multinational force to Haiti to help stop the violent crisis in the country and an additional $33 million in humanitarian aid.

How did the situation deteriorate?​

Haiti has seen escalating violence as police battled armed gangs calling for the ouster of the Prime Minister.

Influential criminal gangs have long controlled much of the capital, Port-au-Prince.
 
mtu mweusi unaogopa kifo , utafikir kuna namna ya kukwepa kifo , ndio maana mlitawaliwa na bado mnatawaliwa ,lzm watu weusi tuanze kusaidiana na tuache ujinga wa kusema MTAKUFA , "heri UFE SHUJAA UKIWASAIDIA WEUSI WENZIO WAISHI KWA AMANI KULIKO KUFA SHOGAAA "
Kongo tu wameshindwa wataweza huko haiti Ambako raisi alipigwa risasi na kibaka?
 
Kongo tu hapo askari wa Kenya walikimbia na Generali.wao ndio wataweza Haiti
kwahiyo WAUZA MADAWA YA KULEVYA WAACHWE WAENDELEE KUIHARIBU HAITI , UJINGA BADO NI TTZO KWA MTU MWEUSI , MPK SASA NCHI ZA AFRIKA ILIBIDI ZIUNGANE KWENDA KUISAIDIA HAITI NA SIO HUU USHABIKI WA URUSI NA USA MNATAKA KUULETA , LEO HAITI KESHO HAPO KWENU NYAMBAFUUU WW.

"KINGA NI BORA KULIKO TIBA "
 
Huyu hakutaka kufuata katiba baada ya kuingia madarakani kufuatia kifo cha mkubwa wake.

Ariel Henry amezaliwa 6 Novemba 1949) ni daktari bingwa wa upasuaji wa ubongo na neva, ni mwanasiasa wa Haiti ambaye amewahi kuwa kaimu Waziri Mkuu wa Haiti na kaimu Rais wa Haiti kutoka 2021 hadi 2024, baada ya kuuawa kwa Rais Jovenel Moï mwaka 2021.

Sasa magenge ya kiuhalifu yakatumia kukosekana utawala wa sheria unaofanywa na kiongozi huyo waziri mkuu, kuanzisha vurugu mitaani kwa sababu zao mbalimbali.

Funzo kwa viongozi wafuate utawala wa sheria na katiba bila shurti ili nao watu wa mtaani pia waige mfano bora wa kuwa raia wema wenye kuheshimu sheria.

1710246054828.png

Mmoja wa viongozi wa magenge ya mtaani Jimmy ' Barbecue' Cherizier akiongea na waandishi wa habari kuhusu mustakabali wa nchi ya Haiti
 
Wale weusi wenzetu nao wamepinda sana nchi yenyewe ina uchumi mbovu wananchi wanamaisha mabovu hatari ila ndo wanapenda vita hatari wanafanyiana unyama wa hali ya juu.

Uongozi mbaya wa watawala Ikulu nchini Haiti kwa miaka mingi umepelekea nchi hiyo ya Caribbean kuishi kwa ubabe wa bunduki badala ya utawala bora. Hata viongozi wakuu wa serikali wanabaki madarakani kwa kutumia mtutu wa bunduki huku wakizungukwa na walinzi wao waliobeba silaha za kivita wakiwa wamefunika nyuso zao.
 
Waziri Mkuu wa Haiti, Ariel Henry amejiuzulu wadhifa wake baada ya shinikizo la wiki kadhaa.

Shinikizo hilo limesababisha ghasia kufuatia mzozo wa kisiasa na kiuchumi, uliopelekea kuibuka kwa makundi yenye silaha yanayochochea machafuko.

Henry kwa sasa yuko Puerto Rico, baada ndege iliyombeba kuzuiliwa na magenge yenye silaha, huku kukiwa na mashambulizi katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Haiti.

Baadhi ya wananchi waliokuwamo kwenye magenge hayo, wamesema kiongozi huyo alitoa ahadi atakaa madarakani kwa muda tu baada ya kuuawa kwa Rais wa Haiti mwaka 2021, lakini hadi leo bado yupo na hajaitisha uchaguzi mpya.

Henry alikuwa nchini Kenya kutia saini mkataba wa kutumwa kwa kikosi cha usalama cha kimataifa kusaidia kukabiliana na ghasia baada ya muungano wa magenge kushambulia vituo vya polisi na kuvamia magereza mawili makubwa zaidi Haiti.
 
Haiti Inaandamwa na vitu 2, kwanza ndio watu wa kwanza weusi kufukuza utawala wa wazungu (slave Master) na kiongozi wao Toussaint l Overture alitumia fursa wakati Ufaransa walikua na changamoto za kisiasa jamaa akawafurusha wale wachache waliokuja wamebaki kama viongozi wa kizungu na hawakua na msaada kutoka kwao. So Kwa wazungu ni kosa lisilosameheka . La pili Wana milima ya madini ya iridium ambayo wanahitaji kwenye military industrial complex na US anataka kuyachukua Bure Kwa kutafuta vibaraka na kutengeneza chaos kama tunavyoona DRC now. So ndio kinachofanyika Haiti. And kama mnafuatilia Hawa jamaa walikua self sufficient kwenye uzalishaji wa Mchele ambao ndio primary food kwao, then during Clinton administration akai-destroy Kwa ku flood the Haiti market with cheap rice na wazawa kupata basara ya kuendelea kulima. Now njaa kama yote ili waweze kuwazumgusha kama wanavyotaka. So we should learn from our brothers
 
Uongozi mbaya wa watawala Ikulu nchini Haiti kwa miaka mingi umepelekea nchi hiyo ya Caribbean kuishi kwa ubabe wa bunduki badala ya utawala bora. Hata viongozi wakuu wa serikali wanabaki madarakani kwa kutumia mtutu wa bunduki huku wakizungukwa na walinzi wao waliobeba silaha za kivita wakiwa wamefunika nyuso zao.
😩
 
HAITI: Waziri Mkuu Ariel Henry amekubali kujiuzulu baada ya kuwepo shinikikizo la Makundi ya Uhalifu yaliyomtaka kuachia madaraka kwa hiari kabla ya kurejea nchini humo kutoka Puerto Rico alikofikia wakati akirejea kutoka nchini Kenya.

Henry alichukua nafasi hiyo mwaka 2021 baada ya Rais Jovenel Moise kuuawa ndani ya makazi yake Julai 7, 2021 na kuahidi kuirejesha nchi hiyo kwenye hali ya usalama kutoka katika vurugu zilizodumu kwa muda mrefu.

Katika ziara yake nchini Kenya, Henry aliingia makubaliano ya kupokea Askari wa kulinda amani, jambo lililoamsha vurugu zaidi kutoka kwa makundi ya Uhalifu ya Haiti ambapo makundi hayo yalitoa shinikizo la kumtaka ajiuzulu haraka.

Wakati huo huo, Waziri wa Mambo ya Ndani wa Kenya, Kithure Kindiki amesema mpango wa kupeleka Askari 1,000 nchini Haiti uko katika hatua za mwisho.

=============

Haiti's Prime Minister Ariel Henry has agreed to resign amid surging violence in the Caribbean country, the chair of the Caribbean Community said Monday.

Henry said he will step down once a transitional presidential council is created and an interim premier named. He had held the position, unelected, since the 2021 assassination of the previous president, Jovenel Moise.

"We acknowledge his resignation upon the establishment of a transitional presidential council and naming of an interim prime minister," said Caribbean Community chair Irfaan Ali, also the president of Guyana. Ali thanked Henry for his service to Haiti.

A seven-member presidential council will be formed for the transition to elections in Haiti, which will appoint a new interim prime minister, Ali said late on Monday.

Henry is currently stranded in the US territory of Puerto Rico, following his trip to Kenya last week to lobby for UN-backed police to be deployed in his country.

Caricom leads urgent international talks on Haiti crisis​

Members of a Caribbean regional trade bloc known as Caricom organized emergency talks in Jamaica on Monday to address the violence in Haiti. The meeting also involved Canada, France and the UN with US Secretary of State Antony Blinken in attendance.

Caricom had had pressed for a transitional government in Haiti for months amid protests calling for Henry's resignation.

Guyanese President Mohamed Irfaan Ali, the current Caricom chair, warned despite the ongoing talks to restore "stability and normalcy" to Haiti some Haitian groups "are not where they need to be."

After meeting with Caribbean leaders, Blinken announced an $100 million (€92 million) to fund the deployment of a multinational force to Haiti to help stop the violent crisis in the country and an additional $33 million in humanitarian aid.

How did the situation deteriorate?​

Haiti has seen escalating violence as police battled armed gangs calling for the ouster of the Prime Minister.

Influential criminal gangs have long controlled much of the capital, Port-au-Prince.
Watu weusi kweli tuna laana. Ka-nchi kenyewe ni maskini wa kutupa, lakini kuna jamaa anaitwa Barbeque anazidi kuhirabu kwa tamaa binafsi.
 
Siyo tamaa binafsi anafadhiliwa na marekani ili wao waendelee kuiba madini ya iridium Bure ,huku huyo barbecue akiendelea kuwazubaisha watawala na kuivuruga. Ukiwa kiongozi unaejielewa si rahisi kudumu madarakani maana vibaraka ni wengi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom