Kuridhika na kazi si swala la mshahara pekee. Tafiti mbalimbali zimeendelea kuonesha kuwa mambo kama vile viwango vya msongo wa mawazo, usawa kati ya kazi na maisha binafsi, ubora wa uongozi, na mazingira ya kila siku ya kufanyia kazi mara nyingi huchangia kwa kiasi kikubwa zaidi katika kuamua...
Viongozi wa serikali, washirika wa maendeleo, wataalamu wa afya, asasi za kiraia pamoja na wawakilishi wa jamii wamekutana jijini Dodoma, Juni 18, 2026 katika kongamano la kujifunza lenye kaulimbiu “Kudumisha Mafanikio Yaliyopatikana katika Afya ya Uzazi na Jinsia”, kuadhimisha kufungwa rasmi...
RAPE GANG INQUIRY:https://t.co/EuKgGWBRhS
Uingereza walijifanya sana kuwa na ubinadamu kuzidi watu wengine, wakawapokea wahamiaji kiholela kutoka nchi za kikobazi, kilichofatia ni UK kuwa kitovu cha magenge ya ubakaj na grooming barani ulaya.
Sio simulizi ni ukweli ndani ya nchi ya uganda.
Vyeo vya uganda tena upande wa polisi unavipata kwa ku deal na wapinzani.
Ndio maana wakistaafu kuna mawili wauliwe au wabaki kujiona wametengwa.
Wakati akiritirisha maoni, ushauri kwenye kuchangia Bajeti Kuu ya Serikali ya Mwaka 2025-2030, Mbunge wa Gairo kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Ahmed Shabiby amesema kuwa, kwa mara ya kwanza mwaka huu (2026) ameona bajeti iliyo bora sana katika bajeti nyingi alizowahi kushuhudia.
Mbunge huyo...
Wanandoa wa couple mbili tofauti nchini Malaysia, katika jimbo la Johor, wamekamatwa kwa tuhuma za kumshambulia kimwili mfanyakazi wa ndani kutoka Indonesia.
Inadaiwa kuwa mwathiriwa alirekodi tukio hilo kwa siri mwaka uliopita, na baadaye video za unyanyasaji huo zilisambaa kwenye mitandao ya...
Niaje waungwana
Wakuu niliwahi kuandika humu mara kibao, kwamba Dunia inakwenda inabadilika hatua kwa hatua kiasi ya kwamba kuna mabadiliko mengine yanatokea, au yanaweza kutokea katika mazingira ambayo wengine hawakuyategemea.
Hii sio bahati mbaya, bali ni uhalisia wa Dunia jinsi...
Mwanasiasa Abdul Nondo ambaye pia ni Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana wa Chama cha ACT Wazalendo amezungumzia taratibu zinazotumika kutoa mikopo kwa Wanafunzi wa vyuo kutoka kwa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) akisema utoaji wake ni wa kibaguzi.
Wanafunzi walioshtakiwa ~...
Niaje waungwana
Iran inajiamini sana, ndio maana haiwezi kufanya shambulio bila kutoa taarifa mapema ili kuepusha maafa kwa kina mama na watoto kama Gaza na Lebanon.
Ila sasa taarifa hizi za kuwaepusha raia na maafa, hutumiwa na viongozi wa Israel kukimbilia kujificha kwenye bunker ili kuepuka...
Badala ya nchi ya Zanzibar kukataza watu wa nchi nyingine kama Tanganyika na Kenya kutibiwa nchini Zanzibar mimi ningewashauri viongozi wa nchi hii kuchkulia jambo hilo kama fursa ya kiuchumi ya kuingiza fedha za kigeni.
Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Mussa Omar, akiwasilisha Mapendekezo ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2026/27 bungeni Juni 11, 2026, ametangaza kupandishwa kwa viwango vya ushuru wa bidhaa kwenye magari yaliyotumika yanayoingizwa nchini, huku kigezo cha umri wa gari kikichukua nafasi...
Kando ya Tamasha la Asili la Utamaduni BULABO linalofanyika katika Viwanja vya Ngomeni-Kisesa, Ilemela Mkoani Mwanza, leo tarehe 11/06/2026 limefanyika Kongamano lililowakutanisha Wanafunzi wa Vyuo Vikuu na Vya Kati katika Chuo Cha Mipango kwa lengo la kukumbushana umuhimu wa kuenzi tamaduni za...
Gazeti la New York Times hivi karibuni limetoa ripoti ikisema, mwamuzi wa Kombe la Dunia la mwaka 2026 ambaye ni raia wa Somalia Omar Artan, amekataliwa kuingia nchini Marekani.
Artan alikuwa mmoja wa waamuzi 7 wa Afrika waliochaguliwa kwa Kombe la Dunia la mwaka 2026 litakalofanyika nchini...
Israel inaishambulia Iran muda huu kama kujibu mashumbulizi ya iran ambapo, chombo Cha habari cha Israel cha chanel 14 kimeripoti kuwa milipuko ya mabomu imesikika muda huu nchini Iran katika jiji la Tehran
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ametua nchini na kupokelewa na Makamo wa Rais pamoja na viongozi wa vyombo vya Ulinzi na Usalama akitokea katika ziara yake ya kikazi aliyoifanya nchini Urusi, akiwa huko alifanya mazungumzo na mwenyeji wake Rais Vladimir Putin. Moderators rekebisheni...
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba leo Ijumaa, Juni 5, 2026 amefanya mazungumzo na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, Mhe. Marianne Young, ofisini kwake Bungeni jijini Dodoma.
Mazungumzo hayo yalijikita katika kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia na ushirikiano kati ya Tanzania na Uingereza...
Baada ya moto uliosababisha vifo vya wanafunzi 16 katika shule ya Utumishi Girls Academy, serikali imeagiza ukaguzi wa haraka wa shule zote za boarding nchini ili kuhakikisha usalama wa wanafunzi.
Basic Education Principal Secretary, Julius Bitok, amesema kuwa shule zote za boarding zitafanyiwa...
Gazeti la Financial Times la Uingereza hivi karibuni limechapisha ripoti kuhusu makampuni ya China kuwekeza na kuanzisha viwanda katika Bustani ya Teknolojia ya Tangier nchini Morocco. Katika ripoti hiyo, Kamishna wa Biashara wa Umoja wa Ulaya Maroš Šefčovič alirudia kauli ya “uwezo wa...
Rais wa Singapore, Tharman Shanmugaratnam, anatarajiwa kufanya ziara ya kitaifa nchini Tanzania kuanzia Juni 8 hadi 10, 2026, kwa mwaliko wa Rais Samia Suluhu Hassan. Ziara hiyo itaandika historia kama ziara ya kwanza kabisa ya Rais wa Singapore nchini Tanzania tangu mataifa hayo yaanzishe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.