nchini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo akutana na jumuiya ya diaspora ya Tanzania nchini Korea

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Mahmoud Thabit Kombo amekutana na Jumuiya ya Diaspora ya Tanzania wanaoishi katika Jamhuri ya Korea na kuwahimiza kuendelea kuwa mabalozi wazuri wa Tanzania kwa kuitangaza nchi na fursa mbalimbali zilizopo katika sekta za...
  2. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Upimaji wa Viwanja na Mashamba Waendelea Nchini

    Katika mwaka wa fedha 2025/26, Wizara ilipanga kuratibu upimaji na uidhinishaji wa viwanja 500,000 na mashamba 500. Hadi Mei 15, 2026, jumla ya viwanja 193,317 vimepimwa na kuidhinishwa, sawa na asilimia 38.66 ya lengo, huku mashamba 515 yakiwa yamepimwa na kuidhinishwa, sawa na asilimia 103 ya...
  3. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu arejea nchini akitokea mkutano wa AFDB, Congo

    WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amerejea nchini Tanzania akitokea jijini Brazzaville, Jamhuri ya Kongo alikomwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa 61 wa Mwaka wa Bodi ya Magavana wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB). Dkt. Mwigulu aliagwa na Meya wa Jiji la Brazzaville...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Sera ya ushuru sifuri ya China yapiga jeki mnyororo wa thamani wa maparachichi nchini Kenya

    Katika eneo la mashambani lililotanda rangi ya kijani katika Kaunti ya Murang'a katikati mwa Kenya, Jeff Ngigi Mburu alifurahia sana miparachichi yake aina ya Hass, huku akistarehe kwa upepo mwanana wa alasiri. Mkulima huyo kijana alifurahia kuzungumza na wafanyakazi kadhaa kutoka vijiji jirani...
  5. figganigga

    JamiiForums Tanzania Marekani wapo sahihi. Ushahidi wangu kuhusu njama za kuangamiza Wakristo na kufuta Kanisa Nchini Tanzania

    Salaam Wakuu, Kabla ya Yote naomba niwakumbushe, asilimia 98 ya Watu wanaopotezwa, Kutekwa na kuuawa Nchi Tanzania ni Wakristo. Hivyo nakubaliana na hatua zozote Marekani itachukua dhidi ya Tanzania. Hizi takwimu ni mbali na mauaji Ya makusudi ya Watoto wetu ya 29.10.2025. Watu wenye bunduki...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Responded Sospeter Mtwale: Serikali imejipanga kuhakikisha biashara ya kaboni nchini inatekelezwa kwa uwazi, uwajibikaji na ushirikishwaji wa jamii

    Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM – TAMISEMI), Sospeter Mtwale, amesema Serikali imejipanga kuhakikisha biashara ya kaboni nchini inatekelezwa kwa uwazi, uwajibikaji na ushirikishwaji wa jamii ili kuwanufaisha wananchi na Taifa kwa ujumla. Bw...
  7. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania 𝐖𝐚𝐭𝐮𝐦𝐢𝐚𝐣𝐢 𝐰𝐚 𝐢𝐧𝐭𝐚𝐧𝐞𝐭𝐢 𝐰𝐚𝐦𝐞𝐨𝐧𝐠𝐞𝐳𝐞𝐤𝐚 Nchini Tanzania

    ➡️Machi 2025: Watumiaji milioni 49.3 ➡️Machi 2026: Watumiaji milioni 58.9 Hii ni ongezeko la asilimia 19.5.
  8. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Takukuru iingilie kati kufanya uchunguzi juu ya matumizi ya fedha yanayofanywa na Makonda na wizara ya maliasili na utalii kuleta wanamichezo nchini.

    Hizi ni pesa za walipa kodi na ni pesa ambazo zilipaswa kutumika kwa maendeleo ya Watanzania. Sasa wanaletwa akina Rio Ferdinand, wacheza mieleka wapiga masumbwi na wakata viuno kwa kigezo cha kukuza utalii. Huu ni upigaji na wizi wa pesa za umma ambao hayati Magufuli kama angekuwepo...
  9. L

    JamiiForums Tanzania CCM Tulimuacha Msigwa ajikaange Kwa Mafuta Yake Mwenyewe na Ndio Maana tulimzungusha Maeneo Mbalimbali Nchini. Ogopa Mungu na Teknolojia

    Ndugu zangu Watanzania, CCM ni chama chenye akili kubwa sana ,ni chama chenye uwezo mkubwa sana wa kijasusi na mbinu za kijasusi na kijeshi . CCM ndio Maana inaitwa chama kiongozi Barani Afrika,ndio maana imeendelea kuongoza Taifa letu kwa miaka mingi na itaendelea kuongoza Taifa hili Mpaka...
  10. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Kiwanda cha Metafrax Chemicals katika eneo la Perm nchini Urusi chashambuliwa na Drones za Ukraine!!

    Ndege zisizo na rubani za Ukraine za masafa marefu zilishambulia kiwanda cha Metafrax Chemicals katika eneo la Perm nchini Urusi, takriban kilomita 1,700 kutoka mpaka wa Ukraine, katika mojawapo ya operesheni za ndege zisizo na rubani za Ukraine zilizoripotiwa kushambulia ndani zaidi eneo la...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania LHRC: Kurejea kwa kasi kwa matukio ya utekaji ni tishio kwa uhuru wa raia na Utawala wa Sheria nchini

    LHRC: KUREJEA KWA KASI KWA MATUKIO YA UTEKAJI NI TISHIO KWA UHURU WA RAIA NA UTAWALA WA SHERIA NCHINI Tarehe 22 Mei 2026, Dar es Salaam Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kinalaani na kupinga vikali kurejea kwa kasi matukio yenye sura ya utekaji nchini. Katika siku za hivi karibuni...
  12. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Ni ipi hasa hua sababu ya msingi kwa Chadema kuchukia vyama vingine huru vya siasa nchini?

    Kila chama cha siasa kilichoanzishwa nchini, kina itikadi, agenda na falsafa yake ya kufikia malengo yake. Je, Kulikoni sasa chadema hua wanaona wivu dhidi ya kuimarika na kushamiri kwa vyama vingine vya siasa vyenye malengo yasiyo fanana na yao, na kukerwa sana na maendeleo ya kisiasa kwa...
  13. Best home tutor

    JamiiForums Tanzania Ni kweli serikali haigharamii chochote mtu maarufu kama Fernandez akija nchini?

    Kwanza kabisa mimi sioni umuhimu wa mstaafu wa soka kuja nchini kwetu nakumpaisha hivyo halafu kwenye account zake haoneshi yupo Tanzania licha ya kupewa air time za kutosha. Pia nimesikia hawa watu wakija serikali ni protocol tu lakini gharama haitoi serikali sijajua anatoa nani? Mtu mweyewe...
  14. Slobodan Mirosovich

    JamiiForums Tanzania Tuwe makini na yanayoendelea nchini, Viongozi wasio waaminifu wameamua kujichotea fedha za walipa Kodi watakavyo

    Katika ulimwengu wa ukaguzi wa hesabu forensic auditing na intelijensia ya jinai (criminal intelligence) miradi mikubwa inayohusisha wageni mashuhuri kama Wasanii na wanamichezo, matukio ya kimataifa au kampeni kubwa za kuitangaza nchi inaweza kutumika kama kichaka au mbinu ya kutakatisha fedha...
  15. 100 others

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya Ghafla ya Vyombo vya Habari na Uhuru wa Kisiasa Tanzania

    Kuna hivi vyombo vya habari vya machawa navyo siku hizi wanazungumza siasa, wasafi tv, clouds media na vyombo vingine vya habari zikiwemo youtube channel za machawa, nao siku hizi wanachambua siasa na matukio ya MO29. Ila naona serikali inaendelea kutumia hivi vyombo na lengo kuu lao si kwa...
  16. ngara23

    JamiiForums Tanzania Rio Frednand haja post ziara yake nchini TANZANIA kwenye social platforms zake

    Nyota wa zamani wa Man U na team ya Taifa England yupo Tanzania Kwa ziara ya siku mbili, na kesho anatarajiwa kufika Dodoma Bungeni Ujio wake tulitegemea awe balozi wa utalii na michezo Ila naona yeye alivochukulia ni kama ametokea Bunju B kwenda Kawe, yaani amechukulia kuwa ni jambo la...
  17. K

    JamiiForums Tanzania From the Pitch to the Pillars of Power: Evaluating the Mismatch of Media Scrutiny in Tanzania

    This critique originates from the deeply frustrated perspective of an ordinary citizen—a passionate observer who is tired of watching immense intellectual talent and public influence squandered on sports debates while vital national assets are bargained away in silence. Day after day, Tanzanians...
  18. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hali ilivyo Kenya kufuatia maandamano

    Lei, Mei 18 kwenye baadhi ya maeneo kumeonekana migomo na maandamano ya watu wakidai bei ya mafuta imekuwa kubwa sana hivyo wanahitaji uwajibikaji bdi ishuke
  19. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maandamano ya Mafuta yageuka kuwa ya Vifo wakati Polisi wakikabiliana na Waandamanaji Nchini Kenya

    Maandamano ya kitaifa ya kupinga kupanda kwa bei ya mafuta yamegeuka kuwa vurugu na kusababisha vifo Jumatatu, Mei 18, baada ya makabiliano makali kati ya polisi na waandamanaji katika maeneo mbalimbali nchini Kenya. Huko Kakamega, watu wawili waliripotiwa kupigwa risasi na kufariki, huku...
  20. instinct desire

    JamiiForums Tanzania CHADEMA imeharibu maadili ya Taifa letu. Siasa zao zimejikita kwenye matusi, upotoshaji, vurugu na ufitinishaji; kama Taifa tuseme NO

    Kila siku tunalalamika kushuka kwa Maadili nchini lakini wavuruga maadili nchini ni chadema. Mpaka Leo hii maadili ya watanzania yameharibika kwasababu ya viongozi wa chadema na chama Chao cha chadema. Kwasababu matusi kwao ndo njia ya kufikishia ujumbe, upotoshaji kwao ndo ajenda ya kupata...
Back
Top Bottom