Utajiri nchini Zimbwabwe na siri yake..

Utajiri nchini Zimbwabwe na siri yake..

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,746
Reaction score
7,996
Baada ya ya kuwapoteza vijana wawili wenye ukwasi wa kupindukia.
Ginimbi na Chivayo je nani tunategemea kumsikia akitingisha Zimbabwe na nchi za Africa ???
 
Hapo ni Mpaka atokee kijana mwingine atakaye kuwa tayari kutumika na wanasiasa wa Zimbabwe....Hapo kama nawaona watu wanavyohangaika kunusuru pesa zao huko majuu coz mshikilia funguo kaondoka, probably kuna mapesa huko majuu yatakwenda na maji na Huna cha kuwafanya mabeberu.
 
Hivi jamaa alikuwa kawekeza kwenye nini au alikuwa anafanya biashara gani?
Huyo ni tapeli.

Zimbabwe wanamwita tenderpreneur.

Ana kampuni yake ya kitapeli yenye mikono ya wakubwa inaitwa Intratrek.

Anachukua tenda za mabilioni ya shilingi kisha hafanyi kazi inayotakiwa.

Ukimpeleka mahakamani anatumia mwanya wa kisheria na watu wazito wa serikaljni ambao obviously ni unaomuona nao anapiga nao picha ikulu mbalimbali Afrika.

Anashinda kesi na utalazimika tena kumlipa mabilioni ya shilingi na hapo anazidi kujiongezea utajili tu.

Google The delayed Gwanda solar project uone unyama na utapeli wake.
 
Gold Mafia, biashara haramu ya dhahabu na utakatishaji pesa.
Chini ya rais Mnanangwa.
 
Back
Top Bottom