Utafiti mpya wa kituo cha Utafiti cha Pew umebaini kwamba Afrika ya jangwa la Sahara imelipiku bara Ulaya kama sehemu ilio na Wakristo wengi duniani.
Kulingana na ripoti hiyo Pew inasema kwamba hali hiyo imesababishwa na kuzaliwa kwa wingi kwa wafuasi wa dini hiyo Afrika huku wafuasi wanaoishi...
Waziri Kombo amuaga Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mheshimiwa Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amekutana na kuagana na Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Christine Grau, kufuatia kukamilika kwa muda wake wa uwakilishi nchini.
Katika...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche amekemea vikali wimbi la utekaji na kupotea kwa watu nchini wakati akihutubia mkutano wa hadhara uliofanyika katika mji wa mpakani wa Sirari, wilayani Tarime mkoani Mara.
Akihutubia mamia ya wananchi waliofika...
Rais wa Jamhuri ya Uganda, Yoweri Kaguta Museveni, amewasili jijini Dar kwa ziara rasmi ya siku mbili kuanzia tarehe 5-6 Agosti 2026, kufuatia mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Rais Museveni pamoja na ujumbe wake amepokelewa katika Uwanja...
Kuanzia mwaka 2014 mpaka leo nimetembea na wasomi 74.
wadada wa bachelor degree 47, masters 21, PhD 6.
Huenda ni kutokana na mazingira ninayofanya kazi lakini kwa experience yangu msomi wa degree 1 ni rahisi kumpata kuliko mdada wa certificate.
Imetolewa na mkuu wa idara ya uchakataji, MMU...
Nadhani hakuna ubishi wala mashaka dhidi ya haiba, uwezo, uzoefu, uadilifu na weledi wa Dr. Emmanuel John Nchimbi kwenye nafasi yake kama makamu wa Rais wa Tanzania. Mungwana amesimana vizuri kwenye nafasi yake, na anautendea haki wajibu na jukumu lake la kikatiba katika kumsaidia Rais Dr.Samia...
Bwana Sebastian Gorku akizungumza na waandishi wa habari.
Raisi Donald Trump amekuwa akishauriana na watu mbalimbali ndani ya utawalal wake nai pia kufikiria ombi la nchi ya Mali kusaidiwa kuondoa magaidi wa JNIM ambao wana mahusiano na kundi la Al Qaeda.
JINM ambao kirefu chake ni Jama’at...
Rais wa Jamhuri ya Kiarabu ya Misri Mheshimiwa Abdel Fattah El-Sisi, amehitimisha ziara yake ya Kitaifa ya siku moja nchini Tanzania Julai 18, 2026.
Akiwa nchini Mhe. El-Sisi amekutana na mwenyeji wake, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan na kufanya mazungumzo...
Wanajeshi wawili waliokuwa wanatumikia jeshi la Marekani chini Jordan, wameuwawa kwa makombora ya balistiki ya Iran yaliyovurumishwa usiku wa jana kwenye kambi kadhaa za Marekani
Mmoja wa wanajeshi hao haonekani alipo mpaka muda huu
Ikumbukwe, jeshi la ulinzi la Jordan ilisema lilifanikiwa...
Mwanamume mwenye umri wa miaka 56 nchini Italia anakabiliwa na tuhuma za kufanya udanganyifu wa kipekee baada ya kudaiwa kujifanya kuwa mama yake aliyefariki kwa takribani miaka mitatu ili kuendelea kupokea pensheni yake.
Kwa mujibu wa wachunguzi, mama huyo alifariki mwaka 2022, lakini kifo...
WAZIRI KOMBO AMUAGA BALOZI WA SWEDEN HAPA NCHINI.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Dkt. Mahmoud Thabit Kombo (Mb), tarehe 17 Julai, 2026 amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Sweden hapa nchini Mhe. Charlotta Ozaki Macias, ambaye anamaliza muda wake...
Serikali ya Afrika Kusini imefanya maboresho katika sera yake ya msamaha wa visa, ikithibitisha kuwa raia kutoka nchi 22 za Afrika sasa wanaweza kuingia nchini humo bila visa kwa ajili ya utalii, biashara, au ziara fupi. Muda wa kukaa unaoruhusiwa unatofautiana kati ya siku 30 hadi 90, kulingana...
WAZIRI KOMBO AKUTANA NA BALOZI WA CHINA NCHINI TANZANIA.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Mahmoud Thabit Kombo (Mb), 14 Julai, 2026 amekutana na Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China nchini Tanzania Mhe. Chen Mingjian kwa mazungumzo yaliyolenga kuimarisha...
Ukianza kwenye music kuna chuki hatari huyu haimbi na yule, yaani miaka 30 ya bongoflava watu wengine muhimu hawapo? Wamebanwa? Au kuna chuki
Siasa nako ndio hatari
Ndugu ndio usiseme
Nchi hii itaonekana
Masheikh na viongozi wa dini ya kiislamu Bangladesh wamekasirishwa na kulaani kwa wimbi kubwa la wa Bangladesh kumshabikia Messi na timu ya taifa mpira Argentina kama wehu.
Viongozi hao wamechanachana bendera za Argentina ambazo zimezagaa mitaani na kuwakumbusha Allah pekee ndio wa kutukuzwa...
Nimejaribu kupitia na kuangalia maslahi ya walimu kwenye nchi za wenzetu(botswana, South Africa, Rwanda, Qatar n.k) nikagundua walimu wanalipwa vizuri mno kuliko wanavyolipwa kwetu
Nikaangalia vigezo na taratibu za kuomba ajira nikaona vyote ni rahisi na vinawezekana.
Nilichojilaumu ni mimi...
Hii ni historia nyingine muhimu sana kwa Rais Samia kwa kuweza kufanyia kazi wazo la kimaendeleo katika huduma za jamii.
Ukiondoa alama nyingine muhimu sana ya ujenzi wa majengo ya huduma za dharura yaani Emergency Medicine Departments katika vituo zaidi ya 100 vya huduma za afya leo hii...
NAIBU WAZIRI MILLYA ATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI BURUNDI
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki anayeshughulikia masuala ya Afrika Mashariki, Mhe. James Kinyasi Millya (Mb.), ameambatana na ujumbe wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ulioshiriki katika Maadhimisho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.