nchini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kamdinyo

    JamiiForums Tanzania Ulinzi na usalama nchini Tunzania

    Nchi ipo uchi kwenye suala zima la ulinzi wa wa mipaka na mambo ya ndani, na ikitokea hata nchi ndogo ya Rwonda ikavamia ndani ya Tunzania itajichukulia maeneo kwa urahisi sana. Wananchi wa Tunzania wako tayari hata kuisaliti nchi yao kwa kuwasaidia maadui kuiangamiza nchi yetu. Huu ni...
  2. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Barabara korofi Nchini: Taja Zako! Naona Mwanza, Simiyu Manyara na Kilimanjaro panaongoza

    Salama wanajamvii. Sasa leo tutaje barabara zenye kero Mimi naanza na Barabara ya BABATI -SINGIDA anzia Daredaa ile barabara inatuchelewesha sana barabarani ni mbivu ni kama rafu road ilichangamkaaa. Mwanza - Lamadi hii barabara unaanzia Nyaguge hadi lamadi ni rafu road iliyochangamkaa.Mwanza...
  3. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Video ya wakati wa kampeni imetumika kuonyesha matukio ya uchaguzi mkuu nchini Zambia

    Kumekuwa na video inayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii, hususan Instagram, ikiambatanishwa na madai kwamba leo nchini Zambia, siku ya uchaguzi mkuu, polisi wametumia risasi za moto na mabomu ya machozi kuwatawanya wapiga kura katika vituo kadhaa vya kupigia kura kwa tuhuma za uvunjifu wa...
  4. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Uzi wa rekodi ya matukio yaliyosababisha vifo vingi nchini Tanzania

    Tanzania imeshuhudia matukio mbalimbali yaliyosababisha vifo vya watu wengi katika miaka ya hivi karibuni. Matukio hayo yamejumuisha ajali za majini, milipuko, mafuriko, ajali za reli, poromoko la majengo na ghasia na vurugu za kisiasa. Hapa chini ni muhtasari wa matukio 13 muhimu...
  5. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania AJIRA TANZANIA: Nini hasa chanzo cha ukosefu wa ajira hapa Nchini ?

    Habari wana jf , Tanzania ina vijana wengi wanaomaliza vyuo kila mwaka, lakini bado wengi wanapata changamoto kubwa ya kupata ajira . Swali ni hili: Je, tatizo kubwa ni kwamba ajira hazitoshi, au mfumo wetu wa elimu hauwaandai vijana na skills zinazohitajika kwenye soko la ajira? Kwa mfano...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Uondoshaji wa mizigo bandarini ni shida kubwa, TBS inatuumiza Waingizaji wa Shehena (importer) nchini

    Kwa sasa TBS imekuwa ni mzigo na imekuwa ikizalisha vilio vikubwa sana kwa Waingizaji wa Shehena au Bidhaa nchini (IMPORTER). Mfumo wao wa utendaji umekuwa mbovu sana na kila siku katika ofisi zao zilizopo TPA ONE STOP [BANDARINI] utakuta misururu mikubwa ya MAWAKALA WA FORODHA wakipambana...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Kutoka kituo hadi lango: Namna SGR nchini Kenya inavyobadilisha Voi

    Ali Khan, 17, aliweka sawa mkoba wake wa nyuma na kupanda treni ya mchana ya SGR katika Kituo cha Voi. Siku tatu kabla ya hapo, kijana huyo wa Kihindi na wenzake 74 waliokuwa wamepiga kambi waliwasili kwa treni ya asubuhi wakitokea Mombasa. Baada ya kuangalia msitu wa Tsavo, walikuwa wakiendelea...
  8. Faana

    JamiiForums Tanzania Wahusika Wangefanyaje Iwapo Hii Ingetokea Hapa Nchini

  9. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Uislamu umepungua kwa angalau pointi 5 nchini Tanzania na Oman, lakini unakua kwa kasi maeneo mengine ya dunia

    Utafiti mpya wa kituo cha Utafiti cha Pew umebaini kwamba Afrika ya jangwa la Sahara imelipiku bara Ulaya kama sehemu ilio na Wakristo wengi duniani. Kulingana na ripoti hiyo Pew inasema kwamba hali hiyo imesababishwa na kuzaliwa kwa wingi kwa wafuasi wa dini hiyo Afrika huku wafuasi wanaoishi...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo amuaga Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini

    Waziri Kombo amuaga Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mheshimiwa Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amekutana na kuagana na Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Christine Grau, kufuatia kukamilika kwa muda wake wa uwakilishi nchini. Katika...
  11. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Heche akemea wimbi la utekaji nchini, atoa msimamo wa CHADEMA kwa maridhiano

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche amekemea vikali wimbi la utekaji na kupotea kwa watu nchini wakati akihutubia mkutano wa hadhara uliofanyika katika mji wa mpakani wa Sirari, wilayani Tarime mkoani Mara. Akihutubia mamia ya wananchi waliofika...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Museveni wa Uganda Awasili Nchini Tanzania kwa Ziara Rasmi

    Rais wa Jamhuri ya Uganda, Yoweri Kaguta Museveni, amewasili jijini Dar kwa ziara rasmi ya siku mbili kuanzia tarehe 5-6 Agosti 2026, kufuatia mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan. Rais Museveni pamoja na ujumbe wake amepokelewa katika Uwanja...
  13. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Bei ya umeme nchini Ethiopia ni kama miujiza

    Ethiopia bei ya umeme ni dola 0.006 kwa unit(Kwh). Hii ni kama Tsh 16! Hapa kwetu ni kama Tsh 300Kwh. Kama siyo miujiza ni nini?
  14. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Kwanini wadada wasomi wamekuwa rahisi hivi?

    Kuanzia mwaka 2014 mpaka leo nimetembea na wasomi 74. wadada wa bachelor degree 47, masters 21, PhD 6. Huenda ni kutokana na mazingira ninayofanya kazi lakini kwa experience yangu msomi wa degree 1 ni rahisi kumpata kuliko mdada wa certificate. Imetolewa na mkuu wa idara ya uchakataji, MMU...
  15. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Kama Taifa, ni vizuri kuanza kumzoea Nchimbi kama Rais wa Tanzania baada ya Samia kumaliza ngwe yake ya pili 2030

    Nadhani hakuna ubishi wala mashaka dhidi ya haiba, uwezo, uzoefu, uadilifu na weledi wa Dr. Emmanuel John Nchimbi kwenye nafasi yake kama makamu wa Rais wa Tanzania. Mungwana amesimana vizuri kwenye nafasi yake, na anautendea haki wajibu na jukumu lake la kikatiba katika kumsaidia Rais Dr.Samia...
  16. Richard

    JamiiForums Tanzania Marekani yapanga kufanya mashambulizi dhidi ya magaidi wa JINM nchini Mali

    Bwana Sebastian Gorku akizungumza na waandishi wa habari. Raisi Donald Trump amekuwa akishauriana na watu mbalimbali ndani ya utawalal wake nai pia kufikiria ombi la nchi ya Mali kusaidiwa kuondoa magaidi wa JNIM ambao wana mahusiano na kundi la Al Qaeda. JINM ambao kirefu chake ni Jama’at...
  17. H

    JamiiForums Tanzania Rais wa Misri arejea nchini kwake mara baada ya kumaliza ziara nchini

    Rais wa Jamhuri ya Kiarabu ya Misri Mheshimiwa Abdel Fattah El-Sisi, amehitimisha ziara yake ya Kitaifa ya siku moja nchini Tanzania Julai 18, 2026. Akiwa nchini Mhe. El-Sisi amekutana na mwenyeji wake, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan na kufanya mazungumzo...
  18. dronedrake

    JamiiForums Tanzania CENTCOM imekiri kuuliwa kwa baadhi ya wanajeshi wa kimarekani kadhaa nchini Jordan baada ya mashambulizi ya makombora balistiki ya Iran usiku wa Jana

    Wanajeshi wawili waliokuwa wanatumikia jeshi la Marekani chini Jordan, wameuwawa kwa makombora ya balistiki ya Iran yaliyovurumishwa usiku wa jana kwenye kambi kadhaa za Marekani Mmoja wa wanajeshi hao haonekani alipo mpaka muda huu Ikumbukwe, jeshi la ulinzi la Jordan ilisema lilifanikiwa...
  19. Fbn

    JamiiForums Tanzania Mwanamume Aishi Kama Mama Yake Aliyekufa kwa Miaka Mitatu Ili Kuendelea Kuchukua Pensheni Nchini Italia

    Mwanamume mwenye umri wa miaka 56 nchini Italia anakabiliwa na tuhuma za kufanya udanganyifu wa kipekee baada ya kudaiwa kujifanya kuwa mama yake aliyefariki kwa takribani miaka mitatu ili kuendelea kupokea pensheni yake. Kwa mujibu wa wachunguzi, mama huyo alifariki mwaka 2022, lakini kifo...
  20. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo amuaga balozi wa Sweden hapa nchini

    WAZIRI KOMBO AMUAGA BALOZI WA SWEDEN HAPA NCHINI. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Dkt. Mahmoud Thabit Kombo (Mb), tarehe 17 Julai, 2026 amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Sweden hapa nchini Mhe. Charlotta Ozaki Macias, ambaye anamaliza muda wake...
Back
Top Bottom