nchini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Miss Zomboko

    Balozi Saidi Othman Yakub ateuliwa kuwa Balozi wa Tanzania Nchini Comoro

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi Said Othman Yakub kuwa Balozi wa Tanzania nchini Comoro. Balozi Yakub anachukua nafasi ya Balozi Pereira Ame Silima ambaye amemaliza muda wake. Uteuzi huu unaanza mara moja.
  2. Richard

    Vietnam waonyesha njia, fisadi wa kike ahukumiwa kifo baada ya kupiga dola bilioni 12.5 ambazo ni asilimia 3 ya pato la Taifa

    Mwanamke mmoja wa Vietnam mfanyabiashara tajiri wa kutupwa anefanya biashara ya kuuza nyumba na majengo (Estate and property Developer) amehukumiwa kifo baada ya kupiga fedha kiasi cha dola bilioni 12.5 Katika kesi kubwa ya ufisadi na upigaji ilomkabili mwanamke huyo Truong My Lan, imedaiwa...
  3. M

    Je Wajua Mchezo wa Mieleka Uliwahi Kuwepo Hapa Nchini?

    Kijana wa leo akisikia mieleka anaweza kudhani ni mchezo unaochezwa tu huko marekani na akina John Cena, The Undertaker, CM Punk n.k. Nipo hapa kukujuza kuwa huo mchezo ulikuwa moja ya michezo maarufu hapa nchini miaka ya nyuma (hadi kufikia miaka ya tisini hivi). Mchezo ulichezwa kwenye...
  4. B

    Barrick yadhamini kongamano la wanafunzi vyuo vikuu nchini (AIESEC)

    Mratibu wa mafunzo (Supervisor Learning And Development) wa Barrick Tanzania, Elly Shimbi akiongea na Wanafunzi wa Vyuo vikuu wakati wa kongamano la kuwajengea uwezo wa kuhimili ushindani wa ajira na kujiajiri lililoandaliwa na taasisi ya kuchipua na kuendeleza vipaji vya uongozi kwa vijana...
  5. Fredrick Nwaka

    Kumbukumbu ya miaka 30 tangu kutokea mauaji ya Kimbari dhidi ya watutsi nchini Rwanda

    Nchi ya Rwanda inaadhimisha miaka 30 tangu kutokea kwa mauaji ya kimbari dhidi ya watutsi mwaka 1994. kumbukumbu inayofanyika Jijini Kigali na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali kutoka barani Afrika, Ulaya, Amerika na Asia wakiongozwa na Rais Paul Kagame. Ishara ya kuanza kwa kumbukumbu ya...
  6. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    Kesho tarehe 07/04/2024 ni siku rasmi ya Uzinduzi wa shughuli za D. P. WORLD nchini Tanzania

    Kesho ni siku rasmi ya Uzinduzi wa shughuli za D P. WORLD nchini Tanzania. Tayari wameshaleta watu wao tayari kwa kuanza kazi baada ya mamia ya wafanyakazi wa TPA kugoma kujiunga na D. P. World. Tayari D. P. World wamepewa vitendea kazi vyote vilivyokuwa vya TPA zikiwemo mashine na mitambo...
  7. Pfizer

    Waziri wa Maji Jumaa Aweso asisitiza Mamlaka za Maji nchini, kufunga mita za malipo ya kabla

    WAZIRI AWESO ASISITIZA UTEKELEZAJI AGIZO LA RAIS KWA MAMLAKA ZA MAJI NCHINI Ahimiza ufungaji wa mita za malipo ya kabla Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) amesisitiza Mamlaka za Maji Nchini ikiwemo Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kuhakikisha agizo la Mhe...
  8. Ritz

    Mlipuko wa bomu la gari wadaiwa kutokea nchini Israel

    Wanaukumbi. MLIPUKO KATIKA ISRAEL Ripoti zinaibuka kuhusu mlipuko wa bomu lililotegwa kwenye gari kwenye makutano ya Dove Haz katika makazi ya Bat Yam. Maelezo bado yanaendelea, na hali inaendelea. Watu wana test mitambo...
  9. Tlaatlaah

    Chemistry ya waandamizi wateule CCM ni moto mkali kwa upinzani dhaifu sana nchini

    Wanajuana vizuri, wana mtindo wa uongozi unaofanana, wana uwezo wa kuongea, wanaijua vyema CCM, wanawajua vyema upinzani na kwakweli wana uwezo wa kuwajibu wapinzani visingizio na malalamiko yao.. Na Chini ya Katibu mkuu DR. Emanuel Nchimbi, kiongozi mtendaji wa chama, muawajibikaji sana...
  10. B

    GEF kupitia UNDP yatoa zaidi ya shilingi bilioni 4 kwa CSOs 44 nchini kutekeleza miradi ngazi ya jamii

    Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam. Mfuko wa Mazingira Duniani (GEF) kupitia Programu ya Ruzuku ndogo inayotekelezwa na Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) limesaini makubaliano ya kutoa sh 4.04 bilioni kwa mashirika yasiyo ya kiserikali 44 nchini ili kutekeleza miradi ya Uhifadhi wa...
  11. BARD AI

    Air Tanzania yakanusha ndege yake kumtelekeza Abiria nchini China

    Kampuni ya Ndege ya Tanzania (ATCL) imekanusha taarifa inayodaiwa kusamba na Mtanzania aitwaye Issa Azam aliyedai kuna raia wa Tanzania ambao walikuwa Abiria waliotelekezwa na Ndege hizo katika jiji la Guangzhou
  12. Escotter20

    Mtabiri nchini Libya aitabiria Simba kuingia nusu fainali

    Mtabili maarufu wa nchini Libya Aboubakar El Han ametabili mechi za Caf champions league Huku akiwashtua watu wengi baada ya kusema Al Ahly ya Misri itatolewa na Simba kwenye mashindano hayo, Timu alizozitabilia kuingia nusu fainali nazo ni Simba Mamelody Esperance Tp mazembe Je, atafanikiwa.
  13. W

    Davido akanusha mzaha wa tuhuma za kukamatwa na dawa za kulevya nchini Kenya siku ya wajinga

    Mwanamuziki kutokea nchini David Adeleke, maarufu kama “Davido”, amekanusha uvumi kwamba amekamatwa nchini Kenya alipokuwa katika ziara ya muziki Aprili 1, 2024 baada ya dawa za kulevya kupatikana kwenye ndege yake binafsi. Kufuata uvumi huo mwimbaji huyo wa Nigeria amesema atachukua hatua za...
  14. ze kokuyo

    Iran yataka Umoja wa mataifa (UN) kulaani shambulizi la Israel nchini Syria

    Iran kupitia balozi wake wa Umoja wa mataifa umeitaka UN kulaani shambulizi lililofanywa na Israel kwa kushambulia ubalozi wake uliopo Syria. Iran imesema Israel ni tishio kubwa mashariki ya kati huku ikiapa kulipa kisasi. Hapo Jana waziri wa ulinzi wa Israel alisema Taifa hilo lipo tayari kwa...
  15. BAKIIF Islamic

    Jamaa aliyechoma Qur'ani Tukufu Salwan Momika, amekutwa amekufa nchini Norway

    Salwan Sabah Matti Momika ni mkosoaji wa Uislamu. Anajulikana kwa kupanga maandamano nchini sweden ambapo alichoma Quran hadharani. Momika alizaliwa katika familia ya Kikristo, lakini alibadilika na kua mtu asiyeamini uwepo wa Mungu. Mnamo 2023, Momika alipanga mfululizo wa maandamano kama...
  16. H

    Uzi maalumu wa wenye maduka ya spare za pikipiki nchini

    Huu ni uzi wa wenye maduka ya spare za pikipiki jumla na rejareja,tupeane connections,uzoefu,changamoto Na faida ya biashara hii. karibuni kwa mdaharo
  17. R

    Watanzania wameendesha makampuni ya usafirishaji abiria nchini lakini Serikali inaamini hawawezi kuendesha kampuni ya Mwendokasi

    Sikutegemea Mradi wa kubeba abiria Dar es Salaam akabidhiwe kampuni ya kigeni. Usafirishaji ni sekta ambayo Watanzania wanafanya vizuri sana. Nchi nzima mabasi yanamilikiwa watanzania wenzetu. Wanasafirisha abiria bila kelele wala malalamiko tena kwa mabasi mazuri yenye huduma zote. Kafulila na...
  18. kirengased

    Ninayo maswali kuhusu mazingira ya uwekezaji nchini

    Naiuliza serikali LAKINI pia wadau woote wa maendeleo; Iwapo tunamazingira mazuuuri ya uwekezaji Tanzania nikwavipi serikali inapata hasara kuuubwa tena ya aibu ya mabilioni katika uwekezaji wake? Serikali imewekeza kwenye sekta muhimu saana kama mafuta(TANOIL), MAWASILIANO(TTCL), usafirishani...
  19. GENTAMYCINE

    Watanzania mlioko sasa nchini Uganda naomba Majibu ya haya Maswali yangu muhimu yafuatayo....

    1. Kwa Kodi ya Shilingi Milioni Moja za Uganda ( Tanzania Shilingi Laki Tano ) nitapata Nyumba ya Hadhi gani ya Kupanga? 2. Je, mfumo wa Ulipaji Kodi huko ni kama wa huku Tanzania wa Miezi Mitatu, Sita na Mwaka au unaweza ukalipia hata Kodi ya Mwezi Mwezi? 3. Gharama za Maisha kwa sasa nchini...
Back
Top Bottom