Dkt. Mwigulu arejea nchini akitokea mkutano wa AFDB, Congo

Dkt. Mwigulu arejea nchini akitokea mkutano wa AFDB, Congo

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
591
Reaction score
547
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amerejea nchini Tanzania akitokea jijini Brazzaville, Jamhuri ya Kongo alikomwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa 61 wa Mwaka wa Bodi ya Magavana wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB).

Dkt. Mwigulu aliagwa na Meya wa Jiji la Brazzaville, Dieudonné Bantsimba katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Maya Maya, Brazzaville Mei 27, 2026.
IMG-20260528-WA0009.jpg
IMG-20260528-WA0011.jpg
IMG-20260528-WA0013.jpg
IMG-20260528-WA0015.jpg
IMG-20260528-WA0017.jpg
IMG-20260528-WA0019.jpg
IMG-20260528-WA0021.jpg
IMG-20260528-WA0023.jpg
 
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amerejea nchini Tanzania akitokea jijini Brazzaville, Jamhuri ya Kongo alikomwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa 61 wa Mwaka wa Bodi ya Magavana wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB).

Dkt. Mwigulu aliagwa na Meya wa Jiji la Brazzaville, Dieudonné Bantsimba katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Maya Maya, Brazzaville Mei 27, 2026.View attachment 3596182View attachment 3596183View attachment 3596184View attachment 3596185View attachment 3596186View attachment 3596187View attachment 3596188View attachment 3596189
Welcome back home Dr Mwigulu Nchemba the PM of Tanzania,

we love you baba,
unafanya kazi nzuri sana Mzee 🐒
 
Aje aendelee na comedy zake
...tumezimis.

Anajitwika majukumu ya mahakama badala ya kuzinyoosha kwa kutumia wadhifa wake ili zitende haki.
 
Back
Top Bottom