Upimaji wa Viwanja na Mashamba Waendelea Nchini

Upimaji wa Viwanja na Mashamba Waendelea Nchini

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
544
Reaction score
515
Katika mwaka wa fedha 2025/26, Wizara ilipanga kuratibu upimaji na uidhinishaji wa viwanja 500,000 na mashamba 500. Hadi Mei 15, 2026, jumla ya viwanja 193,317 vimepimwa na kuidhinishwa, sawa na asilimia 38.66 ya lengo, huku mashamba 515 yakiwa yamepimwa na kuidhinishwa, sawa na asilimia 103 ya lengo lililowekwa. Kwa mwaka wa fedha 2026/27, Wizara imepanga kuendelea na juhudi hizo kwa kulenga kupima na kuidhinisha viwanja 500,000 pamoja na mashamba 500.

IMG-20260529-WA0046.jpg
 
Back
Top Bottom