nchini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Mwaka 1958 Pele akiwa na umri wa miaka 17 nchini Sweden kabla ya World Cup

  2. T

    JamiiForums Tanzania Suluhisho la wamachinga halina wala halijawahi kuwa na uhalisia hapa nchini! Tuache kujidanganya

    Kundi la vijana wasio na ajira rasmi linaongezeka kwa kasi kubwa sana, kila kukicha wanakuwa wengi leo kuliko jana. Mzee kikwete alikuja na ufumbuzi eti wa kujenga machinga complex ambayo matokeo yake haijapunguza tatizo hata tone moja. Namuona rais wa sasa anajaribu kupitia njia ileile eti...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Ni Chama kipi kinakidhi vigezo vya kuiletea Nchi yetu maendeleo ya haraka?

    Kwa kuwa chama kina dhamana ya kuiweka serikali madarakani na kuisimamia, kubuni na kuitekeleza ilani ili kutatua kero za wananchi na kuwaletea maendeleo. Kwa maoni yako unadhani ni chama gani kwa hivi tulivyonavyo sasa kwa muundo wake kikatiba kwa dira yake na kwa utamaduni wake kinakidhi...
  4. Fatma-Zehra

    JamiiForums Tanzania Huu mfumuko wa bei unaoendelea nchini utaliangamiza Taifa kiuchumi na kiusalama

    Kwa sasa kila kitu kimepanda sana. Hali ya maisha inazidi kuwa mbaya. Baada ya mwaka mmoja, kama hali itaendelea kuwa hivi, uchumi wetu utaanguka. Hali mbaya ya kiusalama inayochochewa na uchumi ulioanguka kutokana na mfumuko wa bei itakuwa dhahiri. Serikali na Taasisi zake, kwa bahati mbaya...
  5. Influenza

    JamiiForums Tanzania 16 - 22 Oktoba: Dar yarekodi Wagonjwa wengi wa #COVID19 Kimkoa. Waliougua nchini wafikia 26,154

    Taarifa ya mwendelezo wa mwenendo wa #COVID19 iliyotolewa na Wizara ya Afya inaonesha kuwa kwa wiki ya kuanzia Oktoba 16 - Oktoba 22, 2021 hakuna kifo kilichoripotiwa nchini Taarifa hiyo inaonesha kuwa mikoa 10 kati ya 26 imerekodi jumla ya wagonjwa 39 huku mkoa wa Dar ukiwa na wagonjwa wapya...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Tuutambue mzizi wa machungu yetu nchini

    Tanzania ni nchi moja katika zinazoangukia kwenye ule ukanda ambao wananchi wake hawana furaha katika nchi zao wenyewe. Pamoja na sisi ni Uganda, Rwanda, Burundi na Zimbabwe. Hawa wengine si wenzetu tena: Kenya, Zambia, Malawi au Afrika Kusini. Itoke wapi furaha kwetu wakati pasipo na uhalali...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Serikali kufuta zaidi ya kesi mia nne ndani ya miezi Saba nyingi za watuhumiwa wa uhujum uchumi,mahakama ina umuhimu gani nchini?

    Kesi nyingi zilizofunguliwa na awamu ya JPM zimefutwa, watuhumiwa wengi tulioambiwa walihujumu uchumi wakanyimwa dhamana wameachiwa kwa maelezo kwamba serikali haina umuhimu wakuendelea na kesi hizo. Awali tuliambiwa wanazungumza na DPP wanalipa lakini Leo hii hakuna anayezungumza na DPP Wala...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania TFF inajua sana 'kuidhalilisha' na 'kuisanifu' klabu moja kubwa na kongwe mno nchini Tanzania

    Kuna muda ilitoa Maamuzi (Taarifa) fulani kuwa Wao ndiyo wameongoza sijui kwa kujaza Watu Uwanjani na kama kawaida yao Washamba na Mashabiki zao 'Oya Oya' wengi 'Wakashangilia' Mwezi mzima utadhani ndiyo wamebeba Kombe la VPL. Hatimaye leo ndiyo TFF katika Utoaji wa Tuzo zake imeamua kuwafanyia...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Hivi mahindi ndio kipimo cha njaa au chakula kuwepo nchini?

    Mzuka wanajamvi! Serikali au wadau mbalimbali wakitoa data kuhusu upungufu ama chakula kuwepo wanatumia mahindi. Baa la njaa ikiikumba nchi mahindi yanatumiwa kama kipimo cha chakula pekee kuonesha kama kuna njaa au la. Tuna ona serikali kupitia wizara ya kilimo inanunua mahindi tu meengii...
  10. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania TBS: Juisi ya Ceres yenye sumu haijaingia nchini

    Shirika la Viwango Tanzania (TBS) wamesema sharubati(Juisi) ya Ceres ambayo ilitahadharishwa kuwa na sumu kuvu haijaingia nchini Tanzania Mamlaka ya Kimataifa ya Kudhibiti Usalama wa Chakula(INFOSAN) ambayo ipo chini ya FAO na WHO walitahadharisha kuhusu juisi hiyo TBS walichukua hatua ya...
  11. BAK

    JamiiForums Tanzania Hukumu ya Sabaya, Udikteta na madai ya Katiba Mpya nchini Tanzania

    HUKUMU YA SABAYA, UDIKITETA NA MADAI YA KATIBA MPYA NCHINI TANZANIA Huko nyuma, sisi Askofu tulionya mara nyingi kuwa nchi yetu ilikuwa imeabiri meri iliyokuwa inatupeleka katika ng'ambo ya Udikiteta na Ufashisti. Tulikemea vitendo vya watendaji kudhalilishwa hadharani katika mikutano ya...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Mganga wa jadi nchini Ghana ameibuka na kudai kwamba yeye ndio alisababisha mchezaji wa zamani wa @ChelseaFC, @MichaelEssien kushuka kiwango

    Mganga wa jadi nchini Ghana ameibuka na kudai kwamba yeye ndio alisababisha mchezaji wa zamani wa Chelseafc, @MichaelEssien kushuka kiwango. Mganga huyo wakati anafanya interview na mtangazaji Arnold Mensah Elavanyo katika kipindi cha Vibes in 5, alisema kwamba alishusha kiwango cha Essien...
  13. covid 19

    JamiiForums Tanzania Mchango na nafasi ya vijana wasomi kwenye maendeleo nchini

    Habari ndugu, wana jf katika kuadhimisha kumbukumbu ya mwalimu. Nyerere baba wa taifa nimeona nilete mada hapa ili tuijadili kwa pamoja kuhusu "mchango na nafasi ya vijana wasomi kwenye maendeleo nchini". Kwanza ifahamike kwamba kwa tanzania kijana msomi ni yule aliyepata cheti cha elimu...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Peter Kupaza, Mtanzania aliemuua dada yake nchini Marekani

    Mimi ni mpenzi wa makala ama documentaries, leo wakati naangalia documentaries za The New Detective, nikakutana na stori ya Mtanzania Peter Kupaza ambae alimbaka na kumkata kata vipande dada yake na kuvitupa mtoni huko nchini Marekani na hatimae akakamatwa na kuhukumiwa Maisha. Kuna hii story...
  15. mgt software

    JamiiForums Tanzania Waziri Prof.Mkenda, umekwepa Maswali Bungeni unatuachia hatari wakulima wa Vanilla nchini

    Wana JF. Waziri wa Kilimo Mkenda ameonyesha ubingwa wa kukwepa maswali au kutoa majibu mepesi kuhusu mikakati ya kuimiza na kuboresha zao jipya la vanilla katika kuleta maendeleo ya nchi na wakulima, yeye jinsi alivyojibu unaweza Ukakaa chini ukalia. Yale matatizo wapatayo wakulima wa korosho...
  16. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Barrick yaendelea kufanya makubwa. Yaleta mtambo wa 'PhotonAssay' unaotumia Roboti. Ni wa kwanza barani Afrika na upo Tanzania Pekee!

    Wanabodi, Mambo mengine wala hata hatujui Kiswahili chake, hivyo wale wenzangu na mimi ambao lugha za watu hazipandi, mnisamehe. NEWS OCTOBER 10, 2021 Barrick Commissions Africa’s First PhotonAssay Laboratory Press Release All amounts expressed in US dollars unless stated otherwise Bulyanhulu...
  17. beth

    JamiiForums Tanzania Vifo Nchini Brazil vyafikia 600,000

    Taifa hilo limerekodi zaidi ya vifo 600,000 vya COVID19, ikiwa ni Nchi ya pili duniani kufikisha idadi hiyo baada ya Marekani ambayo imerekodi vifo 672,196 tangu kuanza kwa mlipuko Brazil imerekodi visa vipya 18,172 na vifo 615 kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa na Wizara ya Afya =======...
  18. JABALI LA KARNE

    JamiiForums Tanzania Mchango wa wanyonge wanaotetewa sana hapa nchini ni upi?

    Mnyonge anachangia Tsh ngapi kwenye fedha za Taifa ambayo huwa anatetewa nayo sana na wale wanaojiita wazalendo ambao mwenye fedha kwao ni fisadi? Ukiachana na misaada: Kodi imekuwa ikilipwa na wenye fedha sio wanyonge Bandari zilijengwa na wenye fedha kupitia kodi zao sio wanyonge Mbuga za...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania EWURA: Serikali imerekebisha tozo mbalimbali kwa taasisi zote zinazotoza tozo kwenye biashara ya mafuta hapa nchini

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Katika kukabiliana na kupanda kwa bei za mafuta katika soko la dunia, Serikali imerekebisha tozo mbalimbali kwa taasisi zote zinazotoza tozo kwenye biashara ya mafuta hapa nchini. Uamuzi huo ulifikiwa leo, tarehe 5 Oktoba 2021, baada ya Mhe. Samia Suluhu Hassan...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Mabibo,Manzese,Mburahati : Kisima cha mabondia nchini Tanzania

    Nimefanya uchunguzi na kugundua maeneo hayo tajwa yamesheni mabondia chipukizi waliofufua mchezo wa ngumi kupitia Azam Tv inayoonesha mapambano ya ngumi moja kwa moja chini ya promota Selemani Semunyu. Vijana wengi wanaocheza mchezo wa ngumi wamepata mafanikio makubwa katika mchezo huu hasa ktk...
Back
Top Bottom