nchini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania CCM yatoa maelekezo matatu kwa Serikali, ahueni kwa wakulima wa mahindi nchini

    CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) CHATOA MAELEKEZO MATATU KWA SERIKALI, AHUENI KWA WAKULIMA WA MAHINDI NCHINI. Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetoa maelekezo matatu kwa Serikali kuhusu ununuzi wa mahindi ya wakulima, vituo vya kununulia mahindi pamoja na bei ya mbolea nchini. Maelekezo hayo yametolewa...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Sifa yetu mbaya kwenye utoaji wa Demokrasia na Haki za Raia ndio zitapunguza idadi ya watalii nchini

    Tunapoteza mabilioni kutembeza msafara wa rais nchi nzima kutangaza vivutio vyetu vya utalii!? Tumesahau kwamba utangazaji wa vivutio vya kitalii ni fani inayofanywa na wenye weledi mkubwa na pia watu wenye kukubalika duniani sio kwa madaraka yao bali kwa moral authority yao. Ni vizuri rais...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa baadhi ya mabalozi wa nje wanaowakilisha mataifa yao nchini Tanzania

    NINASTAAJABISHWA sana na mwenendo wa kushtusha wa baadhi ya Mabalozi walioko Tanzania kwa kusigina kiwazi wazi maadili ya kazi zao. Tanzania ni nchi yenye upendo mwingi. Watu wake ni wakarimu sana na wanawaamini wageni, ikiwa ni pamoja na Mabalozi wa Mataifa ya kigeni hapa nchini. Mabalozi...
  4. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Je, Kuna watumiaji wa cocaine hapa nchini, wanaokamatwa nayo wanabambikiwa au?

    Nimetoka kuangalia makala hapa inayohusu mambo ya cocaine na ninmegundua ya kwamba aina hii ya madawa ni bei mno. Hapa nazungumzia cocaine yale madawa yanayovutwa kwa pua (kusniff) Madawa haya bila uwezo wa kutoa laki kila siku huwezi kuyapata Nimeona watuamiaji wa bangi na mateja wanaotumia...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Kilio cha akina Mama Kisutu kitaondoka na nafsi ya kiongozi mkubwa nchini

    Tunaoamini Kwenye imani ya dini tunajua namna kilio Cha wanawake pale wanapodai haki kinavyoleta laana Kwenye familia. Haiwekani wale wakina Mama wakatoa machozi Yakapita bila kuleta madhara. Ni maoni yangu tuombe toba hasa viongozi ambao machozi yalielekezwa kwako la sivyo tunakwenda...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Je, udhalilishaji huu wa Taaluma ya Uandishi wa Habari nchini unaofanywa na GSM ni kwamba MCT ya Mukajanga na TEF ya Balile wameubariki?

    Kama kwa muda mrefu ulikuwa ukijiuliza ni kwanini Waandishi wa Habari wengi pamoja na Vyombo vyao vya Habari nchini Tanzania vinaipamba sana Yanga SC kwa Gharama ya Kuichafua Simba SC huenda leo ukapata Majibu. Baada ya Mightier Mimi kuliona tatizo hili ambalo pia ni Kinyume na Taaluma, Misingi...
  7. share

    JamiiForums Tanzania Kwa dhuluma kubwa iliyopo sasa nchini kutoka vyombo vya dola, tunahitaji mabadiliko haya.

    RAIS MPYA WA ZAMBIA AMFURUSHA OFISINI MKUU WA POLISI (IGP), MKUU WA MAJESHI (CDF) na DPP, AAHIDI KUMALIZA UTAWALA KANDAMIZI WA MTANGULIZI WAKE RAIS mpya wa Zambia Hakainde Hichilema jana Jumapili August 29,2021 ameteua wakuu wapya wa jeshi na kuwaondoa wakuu wote wa polisi akiwemo IGP na...
  8. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Hali ya Shule maalumu za viziwi zilizopo nchini Tanzania

    Ripoti ya utafiti wa Hali ya Maisha ya Vijana Viziwi Tanzania uliofanywa na Mwanafunzi wa Sayansi ya Jamii Monica Har kutoka Loma Linda University (2011) ilionyesha changamoto wanazokumbana nazo viziwi kwenye kupata elimu Tanzania. Malengo ya Milenia ya Umoja wa Mataifa (UN) unazitaka nchi kuwa...
  9. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya haki ya Afrika: Wagombea huru ruksa nchini Tanzania

    Ile kesi ya mda mrefu ilieanzishwa na Mchungaji Mtikila imepatiwa ufumbuzi na Sasa serikali ya Tanzania inatakiwa iruhusu Wagombea huru kwenye chaguzi zetu ikiwemo wa uraisi === Baada ya Mahakama ya Rufani mwaka 2009 kutengua uamuzi wa Mahakama Kuu uliotamka kuwa wagombea binafsi wana haki ya...
  10. M

    JamiiForums Tanzania TOZO|CORONA: Idadi ya watali nchini imepungua kwa 77%, Mapato yatokanayo na utali yameshuka kwa 87%, Je mnaopinga tozo hadi leo mnalijua hili?

    HII NCHI NGUMU SANA|WATU WANAPINGA TOZO ZA HIARI WANATAMANI ENZI ZA TRA NA MITUTU YA BUNDUKI, _________________________________ Kazi iendelee|Tozo ziendelee Sikilizeni, Mfano, kutoka Wizara ya Maliasili & Utalii FY2021/22 tulitegemea kukusanya jumla ya Tshs 2.7trl kama mapato...
  11. Influenza

    JamiiForums Tanzania Serikali yaeleza kusikitishwa na uamuzi wa Denmark kufunga ubalozi wake

  12. Mapank

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa Alibaba una magari ya bei nafuu sana, Sijajua ushuru wake kuyaingiza nchini

    Nimepitia mtandao wa Alibaba, naona kuna magari ya bei nafuu sana kuliko mitandao ya magari tuliyoizoea, Na kuna magari mengi ya umeme ya chini ya 5M Tzs, Sijajua ni kuna mlolongo upi wa manunuzi na masuala ya tax clearance kwenye bisahara ya magari huko Alibaba mpaka watu wanakomaa na mitandao...
  13. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Waziri wa zamani wa Mawasiliano wa Afghanistan anauza Piza nchini Ujerumani

    Maisha yana namna nyingi za kutufundisha kushikilia tulichokuwa nacho kwa wakati huo. Baada ya Kundi la Wanamgambo wa Taliban kuchukua utawala wa Afghanistan, aliyekuwa Waziri wa Mawasiliano wa taifa hilo, Syed Ahmed Shah Sadat ameonekana akitembeza Piza nchini Ujerumani. Gazeti la nchini...
  14. comte

    JamiiForums Tanzania Wasifu wa balozi mteule wa Marekani nchini Tanzania, Michael Battle

    Michael Battle is an educator, religious leader, and diplomat. Born on July 28, 1950, in St. Louis, Missouri, he was one of twelve children from Jessie Battle Sr., a Pentecostal pastor, and Mary Battle. Michael received his bachelor’s degree from Trinity College (1973), his Master of Divinity...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Taliban yapiga marufuku Waafghanistan kuondoka nchini humo kuanzia leo

    Taarifa za muda mfupi uliopita Msemaji wa Serikali ya Taliban amesema wamepiga marufuku Raia yeyote wa Afghanistan kuondoka nchini humo kuanzia leo Aidha ameongeza kuwa wamepiga marufuku Wanawake kutoka nje ya nyumba zao BBC
  16. Midevu

    JamiiForums Tanzania Nani mabingwa wa huduma kwa wateja nchini?

    Nadhani sote tunafahamu kuwa suala la huduma kwa wateja kwa asilimia kubwa ya biashara, mashirika na ofisi za umma ni janga la taifa. Unaweza kufika kwenye biashara ya mtu na ukaishiwa kupata maumivu mpaka ukajiuliza kati ya wewe mteja na mwenye biashara nani mtafutaji. Watoa huduma wanatoa...
  17. Tanzania Railways Corp

    JamiiForums Tanzania Behewa 44 za mizigo kuwasili nchini

    Picha tofauti zikionesha Behewa mpya 44 za Mizigo zilizonunuliwa na Shirika la Reli Tanzania - TRC kupitia Mradi wa Uboreshaji wa Reli ya Kati - TIRP zilipokuwa bandarini nchini China kabla ya kuanza safari kuja Tanzania. Meli yenye jina 'Kaley and IMO' iliyobeba Behewa hizo ilianza safari hivi...
  18. beth

    JamiiForums Tanzania Lockdown kuendelea Nchini New Zealand, visa vya Corona vyafikia 107

    Waziri Mkuu wa New Zealand, Jacinda Ardern amesema Lockdown Nchini humo itaendelea kuwepo hadi Agosti 27, na huko Auckland ambapo ndipo kitovu cha maambukizi, Kanuni za tahadhari zitadumu hadi Agosti 31. New Zealand ni moja kati ya Mataifa yanayosifika ulimwenguni kwa kudhibiti janga la Corona...
  19. Gama

    JamiiForums Tanzania Rwanda: Wakili wa Paul Rusesabagina afukuzwa nchini

    Wakili wa Paul Rusesabagina, anayeelezwa kuwa shujaa katika filamu ya mwaka 2004 ya Hollywood ya Hotel Rwanda kuhusu mauaji ya kimbari ya Rwanda" na ambaye anatuhumiwa kwa "ugaidi", amefukuzwa na mamlaka ya Rwanda Jumamosi jioni kwa "kukiuka sheria ya uhamiaji", kulingana na Mkurugenzi Mkuu wa...
  20. P

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwalimu Alex Kashasha, mchambuzi nguli wa Soka afariki dunia

    Mchambuzi nguli wa habari ya michezo maarufu kama mwalimu Kashasha amefariki dunia hivi punde alipokuwa amelazwa hospitali ya Kairuki. Chanzo mimi mwenyewe niko eneo la tukio. ---- Mchambuzi nguli wa soka nchini Tanzania, Mwalimu Alex Kashasha amefariki dunia leo Agosti 19, 2021 akipatiwa...
Back
Top Bottom