Utangulizi:
Kijiografia bahari zinachukua takriban 71% ya eneo lote la uso wa Dunia yetu na kwa nadharia za kisayansi inaaminika kwamba maisha ya viumbe yalianzia baharini. Hivyo basi, kwa vyoyote vile iwavyo, bahari imekua sehemu muhimu kabisa ya maisha ya kila siku ya binadamu. Binadamu...
Takriban nusu ya wale waliotoroka kutoka jela nchini Ethiopia mapema asubuhi ya Jumatano bado hawajapatikana.
Kwa jumla, wafungwa 130 walitoroka jela katika mji wa Nefas Mewcha katika eneo la Amhara.
Walisaidiwa na wale wanaodai kuwa wanachama wa wanamgambo wa Fano ambao wamekuwa wakipigana...
Kila mtu, kampuni au taasisi yoyote inayodhamini timu yoyote inayoshiriki LigiKuu inafanya hivyo kwa kuzilenga Simba na Yanga ziwape faida kwenye biashara zao. Hata yule atakaetoa udhamini kwa timu ndogo kama Geita Gold lengo lake ni simba na yanga wamtangaze siku kitimu hicho kitakapocheza...
BILIONI 2.4 KUBORESHA MAKUMBUSHO YA TAIFA NCHINI
•
Makumbusho ya Taifa nchini imepatiwa shilingi Bilioni 2.4 ili iweze kutekeleza miradi 15 inayotekelezwa kwa fedha za Miradi ya Ustawu wa Nchi na Mapambano dhidi ya UVIKO 19, katika vituo vyake sita kikiwepo cha Azimio la Arusha Jijini Arusha.
•...
Mamia ya wavulana wametoweka kwenye Gereza la Kikurdi nchini Syria ambalo linawazuia wapiganaji wa Kundi linalojiita Dola la Kiislamu - IS na familia zao.
Hii ni baada ya wanajeshi wa Kikurdi wanaoungwa mkono na Marekani wakipigana na wanamgambo wa IS kwa siku kumi ili kuikomboa jela hiyo...
====
Tarehe 5 Novemba, 1976 Mkutano wa pamoja wa Halmashauri Kuu za Taifa wa vyama vya TANU na ASP uliofanyika mjini Zanzibar, uliamua kuvivunja vyama hivyo ili kuunda chama kipya, Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Vyama hivyo vya ukombozi vilivunjwa kwa heshima na taadhima kubwa, si kwa sababu...
Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Mhe. Donald Wright leo Februari 4, 2022 ametembelea Ofisi za JamiiForums na kukutana na watendaji na mwakilishi wa Bodi ya Wakurugenzi
Balozi Wright na timu yake wamepata kuelezwa namna Jamii Forums ambayo ni Asasi ya Kiraia inavyoendesha shughuli zake katika...
Kampuni ya China ya Tailing Electric Vehicle imeanzisha kiwanda cha kutengeneza pikipiki na baiskeli za magurudumu matatu nchini Rwanda kwa nia ya kuchangia kupunguza hewa chafu duniani na kukuza uchumi wa kijani.
Kiwanda hiki kilichopo eneo la viwanda la Gahanga, wilayani Kicukiro kimeanza...
Tom Mboya
Tom Mboya aliuawa tarehe July 5 1969
Mimi nilikuwa darasa la sita hapa Dar es salaam na siku hiyo kupitia vyombo vya habari, tukapata habari za kusikitisha Afrika Mashariki kuwa, Thomas Joseph Odhiambo Mboya, aliyejulikana zaidi kama Tom Mboya ameuwawa mjini Nairobi.
Wazazi wetu...
Mnamo mwaka 2019 Tanzania ilifanya marekebisho ya sheria yake ya Makampuni ya mwaka 2002 na kuleta mambo kadhaa mapya. Marekebisho hayo yaliletwa na sheria ya “The written laws (Miscellaneous Amendments) (No.3) Act, 2019" Kifungu cha 10 cha sheria hii kilileta kifungu kipya cha 400A katika...
Huenda dunia ikarudi tulikotoka 1962,baada ya uoga wa Marekani dhidi ya USSR na kuamua kupeleka silaha za nyukilia nchini uturuki ili kuivizia USSR, nayo USSR haikua mvivu, ikapeleka silaha zake nzito nchini Cuba ili kuidhibiti Marekani.
Leo Tena Marekani na mpango wake wa kutaka kuikaribia...
Jeshi la Burkina Faso limetangaza kurejesha katiba, wiki moja baada ya kutwaa mamlaka katika taifa la ukanda wa Sahel. Tangazo hilo limetolewa katikati mwa mazungumzo baina yake na wapatanishi wa kimataifa.
Waziri wa mambo ya kigeni wa Ghana ambaye anaongoza ujumbe wa Jumuiya ya kiuchumi ya...
Waziri wa mambo ya ndani mh Masauni amesema amewasikia kupitia mitandaoni mzazi wa polisi aliyefia mahabusu Mtwara na wazazi wa watu waliopotea Dar es salaam wakitoa malakamiko yao, na ameahidu kulifuatilia suala hilo kwani Serikali haiwezi kukaa kimya wakati wananchi wanapoteza maisha.
Masauni...
Kamati ya viongozi wa dini mkoa wa Mwanza imefanya mkutano wa kukemea hali ya mauaji yanayoendelea hapa nchini ambao wamekutana kwa ajili ya kujadili hali ya mauaji yanayoendelea.
Mbali na kamati ya viongozi wa dini mkoa pia wameshirikishwa viongozi wote wa dini wa mkoa wa Mwanza. Katika...
Rais SSH na Amiri Jeshi Mkuu wa Tanzania
Kwa mujibu wa utafiti wa Kitengo cha takwimu cha Taifa wa mwaka 2020, yaani NBS, takwimu za uhalifu nchini Tanzania zinaonyesha kuwa katika makosa ya jinai dhidi ya bnadamu, uhalifu wa mauaji unaongoza tangu 2016 hadi 2020.
Takwimu hizo ni kama...
Tahasisi ya Basata imeamua kurudisha tuzo za wanamziki ambazo kipindi fulani zilishindwa kufanyika kutokana na sababu mbalimbali.Ukiwa mdau mkubwa wa mziki wa Tz unaishauri Basata nini wafanye ili tuzo hizi ziwe Bora na ziwe na muendelezo mzuri?
Nimeona Basata wameita baadhi ya wasanii wakubwa...
Kama wewe ni mfanyakazi wa serikali au wa sekta binafsi,bila shaka utaungana nami kuwa mabenki ya humu nchini yamekosa kabisa ubunifu wa kuvutia wakopaji. Tuna utitiri wa mabenki, lakini hakuna benki ambayo ukieenda, utaona kitu cha tofauti sana na benki nyingine kuanzia kwenye riba na mambo...
JE SCHOLARSHIP NI MBINU YA KUTENGENEZA VIBARAKA WA KISIASA?
Anaandika Robert Heriel.
Scholarship inaweza kuwa na maana nyingi, mojawapo ni kumsaidia mtu/mwanafunzi kirasilimali aweze kupata elimu Fulani; Rasilimali hiyo inaweza kuwa Fedha, au mahali pa kuishi(makazi), au chakula, au vitendea...
Wajumbe wa Taliban wanakutana na maafisa wa nchi za magharibi nchini Norway kwa ajili ya mazungumzo ya kwanza Ulaya tangu kundi hilo lichukue udhibiti wa nchi ya Afghanstan.
Mazungumzo hayo, yaliyopangwa kufanyika kwa muda wa siku tatu, yatakijita katika suala la haki za binadamu pamoja na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.