Kura za kanda ya ziwa huwa zinatoa maamuzi makubwa kwenye uchaguzi mkuu hapa nchini. Mwaka 2010 watu wa kanda ya ziwa waliikataa CCM dhidi ya upinzani

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Oct 2, 2020
3,735
5,863
Nani anajifanya kusahau juu ya uchaguzi wa 2010?

Wananchi wa kanda ya ziwa waliikataa CCM ya kifisadi na matokeo ya uchaguzi yalikuwa juu kwa upinzani hasa Chadema.

Upinzani ulipata madiwani, wabunge na kura nyingi za urais toka kanda ya ziwa.

Mwaka 2025 utathibitisha hili bila chenga. Tuombe uzima na yetu ni macho.
 
Moisemusajiografii

JF-Expert Member
Nov 3, 2013
23,579
32,237
Hadi sasa huyu mama tushamkataa kanda ya ziwa, hata akitumia policcm na TICCM lazma ieleweke kura zetu tutampa mtu ambaye atapambana nae 2025.

Sio kwa matusi haya kwa Hayati JPM anaongea kana kwamba hakuwa msaidizi wake wa karibu, shame on Her.
Kwani msemwaji alikuwa malaika?😂😂😂😂
 
Moisemusajiografii

JF-Expert Member
Nov 3, 2013
23,579
32,237
Hapana yeye anaongea sana ndo maana kama umeangalia video alipokuwa anaongea watu wanamwangalia tu! Kwa kifupi huyu ndo alikuwa adui mkunwa wa JPM anajitia kuwa yuko halo kwa kukubalika!
Mnapandisha mapigo ya moyo bure.Yule "mpendwa" wenu hakuwa mtakatifu.Ifike mahali mkubali kwamba kuna mambo alipuyanga sana kwa udhaifu wa kibinadamu.😂😂😂😂
 
Tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
49,902
86,066
Nani anajifanya kusahau juu ya uchaguzi wa 2010?

Wananchi wa kanda ya ziwa waliikataa CCM ya kifisadi na matokeo ya uchaguzi yalikuwa juu kwa upinzani hasa Chadema.

Upinzani ulipata madiwani, wabunge na kura nyingi za urais toka kanda ya ziwa.

Mwaka 2025 utathibitisha hili bila chenga. Tuombe uzima na yetu ni macho.

Dhalimu ameshanajisi box la kura, hakuna mwananchi anayejtambua ana muda tena na kupiga kura. Dhalimu mwenyewe hakushinda kwa kura halali 2020. Na kwa taarifa yako ile mbegu mbaya aliyootesha dhalimu kwenye chaguzi za nchi hii, ccm haitakaa iheshimu tena box la kura, labda yatokee machafuko. Hiyo kusema kanda ya ziwa sijui ina kura nyingi ni kujilisha upepo tu na kutishia watu wazima nyau.
 
mwanawao

JF-Expert Member
Aug 18, 2010
2,894
5,041
Nani anajifanya kusahau juu ya uchaguzi wa 2010?

Wananchi wa kanda ya ziwa waliikataa CCM ya kifisadi na matokeo ya uchaguzi yalikuwa juu kwa upinzani hasa Chadema.

Upinzani ulipata madiwani, wabunge na kura nyingi za urais toka kanda ya ziwa.

Mwaka 2025 utathibitisha hili bila chenga. Tuombe uzima na yetu ni macho.

Mnajidanganya sana, hii nchi sasa hiv ina amani siyo kwa upendeleo ule kwa kweli,

Mama atapiata 2025 kwa kura nyingi tu!! Hakuna wa kuiondoa CCM madarakani,
 
15 Reactions
Reply
Top Bottom