nchini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Orodha Rasmi ya watu wanaopitia Maisha magumu nchini Tanzania

    Wakuu Kwema! Ifuatavyo ni orodha Rasmi ya Watu wanaopitia Maisha Magumu katika nchi yetu ya Tanzania. 1. Single Mother. Moja ya kundi linalopitia maisha magumu hapa nchini Tanzania ni Dada zetu waliopata watoto kabla ya kuolewa. Ugumu wa maisha yao unatokana na mtazamo wa jamii dhidi Yao, pia...
  2. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Picha za Satelite zaonesha harakati za kijeshi nchini Urusi

    Picha za hivi karibuni zilizotolewa na kampuni ya ujasusi ya teknolojia ya anga ya Marekani Maxar zinaonyesha kwamba shuguli za kijeshi za jeshi la urusi zimeendelea kuwepo karibu na mipaka yake na Ukraine, licha ya madai ya hivi karibuni ya Urusi ya kuondoa vikosi vyake kwenye mipaka hiyo...
  3. mama D

    JamiiForums Tanzania Kufufuka kwa wafu - Ni maajabu yanayoendelea kwa kasi nchini huku wanahabari/jamii wakizipa nafasi ndogo kama habari zinazohitaji uchunguzi wa kina

    Habari za watu kufa na kuzikwa na baadae kupatikana wakiwa hai ni za kushangaza mnooo. Yaani mtu amekufa kwa kuugua au ajali au ghafla tuu, hospitalini wanahakikisha amekufa na wanatoa cheti cha kifo na mwili mnakadhiwa, mnaenda kuzika na viongozi wa serikali za mtaa, viongozi wa dini na...
  4. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania TFF ndiyo wanamiliki soka hapa nchini?

    Nimesikia TFF wamemfungia Shafii Dauda kujihusisha na soka ndani na nje ya nchi kwa miaka mitano. Imekuwa ikifungia watu wengi sana. Naomba kujua kama TFF wana monopoly ya soka nchi, yaani kama TANESCO walivyo na monopoly kwenye kuzalisha na kuuza umeme? Kwamba ukitaka kufanya shughuli zozote za...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuanza kuzalisha chanjo zake za COVID-19

    Rais Samia amesema Tanzania ina mpango wa kuanzisha kiwanda cha kutengeneza chanjo za UVIKO-19 ikiwa ni juhudi za kupambana na janga hilo pamoja na magonjwa mengine. Rais Samia amesema hayo wakati akifanya mazungumzo na Rais wa Baraza la Ulaya, Bw. Charles Michel, jijini Brussels nchini...
  6. Chachu Ombara

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Raila Odinga atoa wimbo wakati kampeni za uchaguzi zikishika kasi

    Magombea Urais nchini Kenya, Raila Odinga ametoa video ya wimbo alioshirikishwa, wakati kampeni za uchaguzi nchini humo zikishika kasi. Odinga ambaye ndiye mpinzani mkuu kwenye uchaguzi huo ametoa video hiyo ya wimbo unaokwenda kwa jina la Leo ni Leo (Remix).
  7. JABALI LA KARNE

    JamiiForums Tanzania Vijana wa kiume kwa mfumo huu uliopo nchini chukueni maamuzi magumu

    Vijana tegemezi wa kiume ambao ni graduates wanaongezeka sababu kazi zao zimeshikwa na dada zao wanaobebwa na mfumo wa Huyu ni Mwanamke, tumpe nafasi mwanamke, Haki sawa, Usishindane na mwanamke n.k. Mabinti graduate wanapata kazi mapema kuliko vijana wa kiume, matokeo yake hata waoaji...
  8. Mwanamaji

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais Samia nchini Ufaransa: Nini maana ya Uchumi wa bluu, Je, ni muhimu kuhudhuria? Pata shule fupi

    Utangulizi: Kijiografia bahari zinachukua takriban 71% ya eneo lote la uso wa Dunia yetu na kwa nadharia za kisayansi inaaminika kwamba maisha ya viumbe yalianzia baharini. Hivyo basi, kwa vyoyote vile iwavyo, bahari imekua sehemu muhimu kabisa ya maisha ya kila siku ya binadamu. Binadamu...
  9. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Wafungwa wapatao 130 watoroka jela nchini Ethiopia

    Takriban nusu ya wale waliotoroka kutoka jela nchini Ethiopia mapema asubuhi ya Jumatano bado hawajapatikana. Kwa jumla, wafungwa 130 walitoroka jela katika mji wa Nefas Mewcha katika eneo la Amhara. Walisaidiwa na wale wanaodai kuwa wanachama wa wanamgambo wa Fano ambao wamekuwa wakipigana...
  10. kavulata

    JamiiForums Tanzania Wadhamini wote wa mpira nchini wanazilenga Simba na Yanga, TFF lifahamu hilo

    Kila mtu, kampuni au taasisi yoyote inayodhamini timu yoyote inayoshiriki LigiKuu inafanya hivyo kwa kuzilenga Simba na Yanga ziwape faida kwenye biashara zao. Hata yule atakaetoa udhamini kwa timu ndogo kama Geita Gold lengo lake ni simba na yanga wamtangaze siku kitimu hicho kitakapocheza...
  11. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere akipokelewa na Bi. Indira Ghandi nchini India

  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Bilioni 2.4 kuboresha makumbusho ya Taifa nchini

    BILIONI 2.4 KUBORESHA MAKUMBUSHO YA TAIFA NCHINI • Makumbusho ya Taifa nchini imepatiwa shilingi Bilioni 2.4 ili iweze kutekeleza miradi 15 inayotekelezwa kwa fedha za Miradi ya Ustawu wa Nchi na Mapambano dhidi ya UVIKO 19, katika vituo vyake sita kikiwepo cha Azimio la Arusha Jijini Arusha. •...
  13. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Mamia ya watoto watoweka jela nchini Syria

    Mamia ya wavulana wametoweka kwenye Gereza la Kikurdi nchini Syria ambalo linawazuia wapiganaji wa Kundi linalojiita Dola la Kiislamu - IS na familia zao. Hii ni baada ya wanajeshi wa Kikurdi wanaoungwa mkono na Marekani wakipigana na wanamgambo wa IS kwa siku kumi ili kuikomboa jela hiyo...
  14. M

    JamiiForums Tanzania CCM45: Chama cha Mapinduzi chavisihi na kuviomba vyama vya siasa nchini kuendeleza umoja wa kitaifa, kuthamini na kukuza ustawi wa demokrasia iliyopo

    ==== Tarehe 5 Novemba, 1976 Mkutano wa pamoja wa Halmashauri Kuu za Taifa wa vyama vya TANU na ASP uliofanyika mjini Zanzibar, uliamua kuvivunja vyama hivyo ili kuunda chama kipya, Chama Cha Mapinduzi (CCM). Vyama hivyo vya ukombozi vilivunjwa kwa heshima na taadhima kubwa, si kwa sababu...
  15. Informer

    JamiiForums Tanzania Balozi wa Marekani nchini Tanzania atembelea Ofisi za JamiiForums

    Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Mhe. Donald Wright leo Februari 4, 2022 ametembelea Ofisi za JamiiForums na kukutana na watendaji na mwakilishi wa Bodi ya Wakurugenzi Balozi Wright na timu yake wamepata kuelezwa namna Jamii Forums ambayo ni Asasi ya Kiraia inavyoendesha shughuli zake katika...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya China yaanzisha kiwanda cha kutengeneza magari ya betri nchini Rwanda

    Kampuni ya China ya Tailing Electric Vehicle imeanzisha kiwanda cha kutengeneza pikipiki na baiskeli za magurudumu matatu nchini Rwanda kwa nia ya kuchangia kupunguza hewa chafu duniani na kukuza uchumi wa kijani. Kiwanda hiki kilichopo eneo la viwanda la Gahanga, wilayani Kicukiro kimeanza...
  17. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Tom Mboya, mwanasiasa maarufu kuuawa nchini Kenya

    Tom Mboya Tom Mboya aliuawa tarehe July 5 1969 Mimi nilikuwa darasa la sita hapa Dar es salaam na siku hiyo kupitia vyombo vya habari, tukapata habari za kusikitisha Afrika Mashariki kuwa, Thomas Joseph Odhiambo Mboya, aliyejulikana zaidi kama Tom Mboya ameuwawa mjini Nairobi. Wazazi wetu...
  18. Tempus Fugit

    JamiiForums Tanzania Yajue mambo matano (5) yanayoweza kufanya kampuni yako ifutwe na mamlaka nchini Tanzania

    Mnamo mwaka 2019 Tanzania ilifanya marekebisho ya sheria yake ya Makampuni ya mwaka 2002 na kuleta mambo kadhaa mapya. Marekebisho hayo yaliletwa na sheria ya “The written laws (Miscellaneous Amendments) (No.3) Act, 2019" Kifungu cha 10 cha sheria hii kilileta kifungu kipya cha 400A katika...
  19. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Urusi kupeleka majeshi yake na silaha nzito nchini Cuba na Venezuela kama Marekani itaendelea na kujiingiza Ukraine

    Huenda dunia ikarudi tulikotoka 1962,baada ya uoga wa Marekani dhidi ya USSR na kuamua kupeleka silaha za nyukilia nchini uturuki ili kuivizia USSR, nayo USSR haikua mvivu, ikapeleka silaha zake nzito nchini Cuba ili kuidhibiti Marekani. Leo Tena Marekani na mpango wake wa kutaka kuikaribia...
  20. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Jeshi nchini Burkina Faso latangaza kurejesha Katiba

    Jeshi la Burkina Faso limetangaza kurejesha katiba, wiki moja baada ya kutwaa mamlaka katika taifa la ukanda wa Sahel. Tangazo hilo limetolewa katikati mwa mazungumzo baina yake na wapatanishi wa kimataifa. Waziri wa mambo ya kigeni wa Ghana ambaye anaongoza ujumbe wa Jumuiya ya kiuchumi ya...
Back
Top Bottom