nchi

  1. JamiiForums Tanzania Wadau hivi hapa Bongo unaweza kutoa fedha kupitia ATM kwa kutumia Card za bank za nje ya nchi ?

    Wadau hivi hapa Bongo unaweza kutoa fedha kupitia ATM kwa kutumia Card za bank za nje ya nchi ? Na kiwango cha mwisho cha kutoa ni tsh ngapi kwenye ATM mashine kwa siku?
  2. JamiiForums Tanzania Ni lini nchi yetu itaanza kulipa watumishi kwa masaa badala ya malipo kwa mwezi?

    Serikali inatakiwa ibadili mfumo mzima wa maisha ya nchi hii na kwa wananchi wake. Hiyo mambo ya mwisho wa mwezi ni zilipendwa. Tumeshiklia kanuni za mkoloni zile zile kubadilika hatutaki. Serikali haina plan B miaka nenda miaka rudi. Sasa hivi watu wanajifanyia kazi kwa mazoea tu na si kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Maoni ya Director General wa WHO kuhusu lockdown kwa nchi masikini kama Tanzania

    Habari za mida hii wakuu. Kufuatana na janga hili la ugonjwa wa COVID 19 unaosababishwa na kirusi cha corona, Kumekuwa na mjadala kuhusu lockdown ya nchi nzima ambapo baadhi ya watu wanamtaka Rais wa nchi aidhinishe total lockdown. Na wengine wakitaka hali iwe hivi hivi ilivyo. Ninadeclear...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Jema ni lipi jamani

    Kwa mda tokea janga LA covid 19 liingie nchini serikali imechuku hatua mbali mbali kwa ajili ya kupunguza au kuzuia lisienee sana.zifuatazo ni hatua mbali mbali zilizochukuliwa -kuelimisha jamiii mini maaana ya covid 19 -kutoa maelekezo mbali mbali ya kuchukua ili kuepuka madhara zaidi - kuunda...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, pamoja na Corona unayo nafasi ya kuiunganisha nchi

    Rais Magufuli kwa mara nyingine nakuletea ushauri ambao ni nadra kuupata toka kwa wanaojipendekeza kwako kwa maslahi yao. Kwa bahati mbaya pana watu gonjwa hili la Corona wamelifanyia siasa kwa maslahi binafsi. Busara na hekima vimewekwa pembeni kujaribu kuifanya jamhuri ya Tanzania kuwa ni...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Mtazamo: Poor handling ya COVID-19 katika nchi fulani inaweza kuja kupelekea anguko kubwa la chama tawala katika Taifa hilo

    Kuna nchi moja (jina kapuni), viongozi wake wanaonekana kutokuwa serious kiasi cha kutosha katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa Corona kama ilivyo katika mataifa mengine duniani zikiwemo hata nchi zinazolizunguka Taifa hilo. Inaonekana hata hatua wanazochukua ni mradi na wao waonekane...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wakati nchi nyingine zinafikiria jinsi ya kusaidia biashara zisife, Serikali ya awamu ya 5 ndio inainyongelea mbali sekta binafsi

    Wandugu; ukisoma taarifa kutoka nchi mbali mbali utakutana na habari zinazoelezea hatua zinazochukuliwa na serikali za nchi zao kupunguza makali ya athari za corona. Hebu jisomee hapa: How countries are deploying stimulus packages in the fight Malaysia Issues Second Stimulus Package to Combat...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Je, kuna faida kusajili gari nje ya nchi

    Wakuu, kuna faida gani na risk nikinunua gari South Africa na nikisajili kule kisha nikaja nalo Tanzania nikawa natembelea huku kwa plate number za kule.
  9. JamiiForums Tanzania Nchi wanachama wa G20 kufanya mkutano kuijadili Corona

    Viongozi wa nchi zilizostawi kiviwanda na kiuchumi, G20, wanatarajia kukutana kwa mazungumzo kupitia video Alhamisi wiki hii kuhusu janga la kimataifa la Covid-19, Mkutano huo unakuja wakati viongozi kadhaa duniani wanalaumu kundi hilo la nchi zilizostawi kiviwanda na kiuchumi, G20, kwa...
  10. JamiiForums Tanzania Ama kweli nabii hakubaliki nyumbani. Je, Magufuli ni nabii? Tanzania wanambeza, Afrika wanamlilia! Tanzania yapigiwa mfano Magufuli awe Rais wa Afrika

    Wanabodi, Kila nipatapo nafasi, huwa naandika makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", makala hizi huwa zinachapishwa na magazeti mbalimbali, hivyo Wahariri kuweni free kuitumia makala yangu yoyote, na be free kui edit kwa kiwango chochote utakacho ona inafaa, maana hata mimi sitaki tena...
  11. JamiiForums Tanzania Ningekuwa kiongozi Afrika watu weupe/wanjano wangeshika adabu (waafrika wanavo baguliwa nchi za wazungu)

    umofia kwenu, Bara la Africa nadhani kweli bado tupo gizani,huwa sielewi kwanini wengi wa viongozi wetu huwa wanawakumbatia watu wa rangi tofauti na yetu,licha ya sisi kutendewa mambo ya ajabu na hawa watu tukiwa nchi zao.Sijui ni kuwa huwa tuna chagua na kuweka madarakani watu ambao hawana...
  12. JamiiForums Tanzania Nadhani watu wanaotaka kuleta taharuki ya tetesi za Lockdown nchi nzima wakamatwe na kuchukuliwa hatua kali za kisheria

    Yaani jitu kisa limeweza kuafford kununua smartphone na kuweka bando basi linatiririka tu tetesi za ajabu ajabu anazojitungia kichwani kwake bila kufikiria Impact yake, eti kwamba kuna total lockdown hivyo kila mtu ajaze mahitaji yake ndani! Jamani, hivi hayo mahitaji ya mwezi mzima huko...
  13. JamiiForums Tanzania China inaomboleza wahanga wa COVID-19 nchi nzima

    China leo imefanya maombolezo ya nchi nzima kuwakumbuka maelfu ya watu waliopoteza maisha kutokana na virusi vya corona. Bendera za taifa zimepepea nusu mlingoti nchi nzima pamoja na kusitisha shughuli zote za burudani. Siku hii ya maombolezo iliambatana na kuanza kwa sherehe za kila mwaka za...
  14. JamiiForums Tanzania Socialist Countries Zina Nafasi Kubwa Ya Kuishinda Vita ya CORONA Kuliko Democratic Countries

    Katika mwendelezo wa Vita ya kupambana na CORONA (COVID-19),inaonekana dhahiri kwamba nchi za Kidemocrasia (Democratic countries) zimelemewa mno na hili janga zikiongozwa na Marekani na Ulaya kwa Ujumla,tofauti na mitazamo ya wengi hapo mwanzo kwamba pengine China kama Epicenter ya mlipuko huu...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini wenzetu wameweza kujenga uchumi wa nchi zao nchi za Afrika zimefeli wapi?

    hivi ni kwanini mpaka leo bajeti zetu zinategemea misaada ya nje? kwanini mpaka leo tumeshindwa angalau kucopy kwa wenzetu wao wamefanyeje kujenga uchumi wao? mbali na kwamba sisi hatuna technolojia kama wao lakini kwanini tumeshindwa japo kuweka mifumo sahihi ya ukusanyaji kodi ili kwamba kila...
  16. JamiiForums Tanzania Nchi ya Rwanda na Rais wake Paul Kagame wamekuwa mfano bora na wa kuigwa katika kupambana na COVID-19

    Serikali ya Rwanda kupitia Rais wake imefanya yafuatayo.. 1. Inawajali Wananchi wake mara kwa mara juu ya Ugonjwa 2. Inatoa Msaada wa Vyakula bure kabisa kwa Wananchi wake 3. Inatoa bure kabisa Vifaa vya Kujiinga na Ugonjwa kwa Wananchi wake 4. Waziri wake wa Afya hana Unafiki katika Kutoa...
  17. JamiiForums Tanzania Maganja: Zitto hafai kuwa Rais, akipewa nchi atauza hadi watu wake

    Jamaa kajitoa.
  18. JamiiForums Tanzania Covid-19 ikifikia hatua ya nchi kuingia kwenye lockdown, haya ndio mapendekezo yangu

    Mosi. Inabidi tukubali kuwa tayari nchi haina ujanja wowote wa kuepukana na janga hili kwani tayari wagonjwa tunao zaidi zaidi zitafutwe mbinu tu za kupunguza maambukizi. Pili Isifungwe miji yote bali baadhi ya miji ambayo itaonekana kinara wa maambukizi Hii itasaidia shughuli kuendelea...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania hatuwezi kuiga lockdown kama nchi za Ulaya

    Wana JF, Heshima kwenu wote Naona mitandaoni na baadhi ya wanasiasa wetu hapa bongo wakionekana kutamani nchi yetu iige kufanya lockdown kama walivyofanya Ulaya, Marekani na nchi nyingine tajiri zilizofanya hivyo. Ukweli ni kwamba hayo ni mawazo ya kipuuzi na ya kipunguani ambayo sijui mtu...
  20. JamiiForums Tanzania Uthibitisho rasmi wa CCM kuitawala nchi ya Asali na maziwa daima huu, Hapa

    Baada yakufanya tathmini isiyo rasmi...nimegundua sehemu ...ambayo CCM wamewekeza mtaji wao mkubwa ni vijijini. Hapa CCM wanachofanya sio..Miujiza ni njia kama za Akina late Mugabe , Mseven na wazee wengineo ambao wako ..radhi wafie madarakani lakin ..sio kuwapa kijiti wapinzani. Kwa upande wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…