nchi

  1. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Majini yanayoongoza kula pesa za wanawake nchi za dunia ya tatu

    Hawa ni majini, na kama tujuavyo majini kazi yao ni kuharibu na kupotosha. Hamna nyingine. 1. Waganga 2. Manabii wa uongo. 3. Saluni/Urembo na mavazi. Hawa ndiyo kwa kiasi kikubwa wanakula sana pesa za wanawake. Yaani nyumbani inawezekana kabisa ukawa huna pesa hata kidogo na mke anafanya kazi...
  2. M

    JamiiForums Tanzania MASTORI YA OSCAR: Kwanini Ofisa Habari wa klabu amzidi hadi Rais wa nchi kuongea?

    MOJA kati ya shida kubwa za maofisa habari wa klabu zetu ni kuongea sana. Ni rahisi sana kumuona ofisa habari wa Simba anakwenda kwenye chombo cha habari kuzungumzia timu kwa saa tatu. Ni jambo la kawaida kabisa kumuona ofisa habari wa Yanga akienda kufanyiwa mahojiano juu ya klabu yake kwa saa...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Takwimu zaonyesha Marekani ndio nchi inayoongoza kwa kuanzisha vita duniani

    Mwandishi huru wa habari za uchunguzi raia wa Marekani Benjamin Norton, hivi karibuni amenukuu nyaraka zilizotolewa na Bunge la Marekani akisema, kuanzia mwaka 1789 hadi mwaka 2022, Marekani imeanzisha vita 469 nje ya nchi. Katika miaka 240 tangu kuasisiwa kwa taifa la Marekani, ni miaka 16 tu...
  4. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Ndiyo kusema Tanzania imejiunga kwenye Umoja wa Nchi za Kiarabu kimya kimya?

    Nauliza swali hili kutokana na mabadiliko ya lugha katika baadhi ya bidhaa ambazo hapo kabla hazikutumia lugha ya Kiarabu. Ningeweza kuweka baadhi ya picha za bidhaa hizo, lakini kwa sababu za kibiashara nimeona si vyema. Kama tayari tuko kwenye umoja huo, tuambiwe ili tujue. Kwasababu hata...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Baada ya kauli ya Prof. Kabudi; Prof. Mruma na Prof. Ossoro wanyang'anywe vyeti walivyopewa na Magufuli

    Kama kumbukumbu zangu ziko sahihi, wasomi hawa wawili walitunukiwa vyeti na aliekuwa Rais wa Nchi hii Marehemu Magufuli. Kama niko sahihi kwanini wasomi hawa wasinyang'anywe vyeti walivyopewa na Magufuli baada ya Kabudi kudai madai yale ya kodi ya zaidi ya trilioni 30( kwa mujibu wa kamati ya...
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda ina Silaha za Kijeshi nyingi kuliko nchi zote Afrika Mashariki

    According to the publicly disclosed Military equipment, Uganda leads Kenya Hata hivyo, Uganda ina Budget ndogo zaidi kwa nchi tatu za Maziwa Makuu Kwenye upande wa viwango vya Rushwa
  7. mngony

    JamiiForums Tanzania Nchi ile iliacha kupata viongozi mwaka 2015. Waliofuatia...

    Habari Wakuu Binafsi naona nchi ile iliacha kupata viongozi kwa maana sifa za Uongozi mwaka 2015 Waliofatia wote,kila mtu anajionea. Wamekuwa wakali, hawana uvumilivu, hawana subira,hawataki kusikiliza maoni, hawataki kukosolewa, wapinzani cha moto wanakiona, visingizio na malalamiko mengi...
  8. Slowly

    JamiiForums Tanzania Jicho la Mwewe: Kufukuzwa kazi kwa Balozi Mulamula ni matokeo ya ziara za Rais nchi za nje

    Rais amekuwa akisafiri kwenda nchi za nje almost non stop tangu aingie madarakani kwa connection, mafanikio ya safari hizo kuanzia mapokezi, malengo n.k yalitegemea tu namna Waziri wa Mambo ya Nje alivyoyaandaa akiwa bega kwa bega na wenyeji wa nchi husika. Mapokezi mabovu na kuonekana kama...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Tusilifananishe hili la mabadiliko ya Mawaziri na kisa cha aliyekuwa Waziri katika Serikali ya nchi jirani. Zipo sababu za msingi

    Miaka kadhaa iliyopita (1980s) Rais wa nchi moja jirani aliyekuwa madarakani alienda ziarani Marekani na Waziri wake wa mambo ya nje (Kwa sasa wote wapate ku RIP). Wakiwa huko walifanya mkutano na waandishi wa habari wa huko. Baadhi ya maswali yaliyoulizwa kwa Rais yalimpa shida sana kujibu na...
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Nchi 10 za Afrika zenye viwango bora vya maisha vya kidijitali

    Hizi ndizo nchi kumi za Kiafrika zilizo na kiwango cha juu zaidi cha ubora wa maisha ya kidijitali kwa mujibu wa Surf Shark, na ndizo nchi pekee za Kiafrika katika 100 bora duniani isipokuwa Uganda na Ivory Coast, ambazo ziliingia katika nafasi ya 98 na 100 mtawalia Afrika Kusini: Ikikadiriwa...
  11. BigTall

    JamiiForums Tanzania Kodi za maskini nchi hii zinatumiwa na matajiri

    Nimekutana na andiko hili la ndugu yetu, nikaona si vibaya tukashea pamoja, maana naona kaandika vitu vingi vya msingi kwa mtazamo wangu, japo sikulazimishi kuamini kama ni kweli au la, msome ndugu Mushi.... 88888888888888 Na Thadei Ole Mushi Kama kuna jambo ambalo nitasimama kidete...
  12. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania Ni nchi gani tajiri barani Afrika lakini watu wake hawana akili?

    Ndugu wanajf Africa Ni bara kubwa lenye nchi takriban 56 na watu wenye asili tofautitofauti Sasa je naomba kujua ni nchi ipi iliyo na rasilimali nyingi lakini watu wake hawana akili ya kuzitumia??
  13. T

    JamiiForums Tanzania Je, Ujasusi wa Nchi za Magharibi waweza kuwa moja ya ujasusi wakutisha zaidi ktk Karne ya sasa?

    Igweeee wana Jamii. Naipongeza sana Jamii forum kuwa sehem ya kila mtu wasilisha mawazo na fikra yake pasipo vunja sheria za nchi na kimataifa. Mimi leo nimependa kuchambuwa ujasusi wa Nchi za Magharibi ambao kwa sasa ndio Habari ya mjini. Uwenda unajuwa ama ujuwi ila Kuna jambo lakutisha sana...
  14. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Kauli ya vumbi la Congo kutoka kwa Mkuu wa Nchi inafikirisha sana

    Africans tunaswagwa Tu kama ng'ombe hatujui tunaelekea wapi. Ila anatuswaga ndo anajua anakotupeleka. Hoja ya msingi hivi ni kweli nguvu za kiume ndo tatizo kubwa kwa vijana wa kitanzania. Mkuu wa Nchi unaamka unauambia ulimwengu vijana wangu Wana upungufu wa nguvu za kiume kwamba nalo ni...
  15. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Nchi ya Uganda na Tanzania wameshindwa kuchanga $1 bilion kujenga refinery plant kwa pamoja

    Uganda na Tanzania wanauwezo wa kuchanga na kujenga refinery plant kwa ajili ya mafuta ya Uganda kuliko wanang'ang'ana na bomba la kusafirisha crude oil ambapo kuna figisu nyingi zimeanza kutoka kwa mabeberu. Kina faida nyingi kusafisha mafuta mwenyewe kuliko kuuza crude oil,ni sawa una alizeti...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Ukombozi wa nchi unahitaji watu waliodhamiria

    Mchakato wa kuitoa nchi katika hatua moja duni kwenda katika hatua nyingine bora zaidi kwa jina la ukombozi, unahitaji watu waliodhamiria kweli kweli. Jukumu hili haliwezi kuwa la kila mtu. Nyuso za watu hawa, maneno, (nyuzi, posts) na matendo yao hujionyesha. Inawezekana namna gani kuwasikia...
  17. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazosifika kwa utalii duniani, ushahidi huu hapa pichani.

    Habari zenu wana JF wenzangu, Kama muonavyo hapo pichani, huu ndio ukweli halisi kuwa huku nje watu wengi wamekuwa wakiifahamu nchi yetu kupitia mambo mbali mbali ya kitalii nk.
  18. Mr_Plan

    JamiiForums Tanzania Zifahamu nchi ambazo jua halizami

    Ni tamaduni kwa kila siku Jua kuchomoza alfajiri na kuzama jioni, kisha kiza kutawala. Lakini hii ni tofauti kwa baadhi ya nchi ambazo kwao jua kuzama ni kama maajabu kwao. Nchi hizo ni Sweden, Finland, Norway, Canada(Nunavut), Iceland na Alaska(Barrow). Sweden, kwao huweza kukaa mpaka miezi...
  19. Z

    JamiiForums Tanzania Nchi kama Tanzania zinazoamni katika ushirikina haziwezi kusonga mbele kiuchumi na kimaendeleo

    Nimesoma hii habari kuwa Tanzania ni nchi ya pili katika kuamini ushirikina nikashtuka sana. Lakini ni ukweli usiopingika kwamba hata mikoa inayoaminika kwa ushirikina haina maendeleo kivile mikoa hiyo ni pamoja na Kigoma, Sumbawanga nk!! Yaani mtu anaamnini katika mizimu kwamba inaweza...
  20. Jelavic

    JamiiForums Tanzania Ziko wapi nafaka za Ukraine mlizo dai ni kwaajili ya nchi masikin na zinazoendelea?

    Tukirudi nyuma kidogo, Tareh 22/6/2022 urusi na Ukraine kwa usimamizi wa uturuki na umoja wa mataifa waliingia mkataba wa makubaliano ambao urusi iliridhia nafaka za Ukraine ziruhusiwe kutoka Ukraine kupitia bahari nyeusi kwaajili program ya umoja wa mataifa ya kuhami nchi masikini dhidi ya...
Back
Top Bottom