Japani suala la usafi ni la lazima, kila sehemu unayoitumia ni lazima iwe safi, wao imo kwenye katiba ya nchi.Kama vile wa-Korea kipindi kilichopita Mashabiki wa Japan walibaki Uwanjani kusafisha Uwanja...... Hizi ndio Sifa zinazotakiwa..., Sio Uchumi wa Kati wala Sijui tuna Nuclear Ngapi...