nchi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Hii dhana ya kuifungua nchi ni kujidhalilisha: Kwani nchi ilikuwa imefungwa? kuna vitu watu wanasema bila kufikiri!

    Kuna hii dhana ya kumsifia kiongozi fulani eti anaifungua nchi, kitu ambacho hata mwenyewe bila hata yeye mwenyewe anashangaa!!nchi ilifungwaje? nani aliifunga? maana serikali haijabadilika! Ilani ya uchaguzi inayotekelezwa haijabadilika!! Tatizo ni watu kujaribu kujikomba bila aibu...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu ni kuwa Tundu Lissu hawezi kuwa Rais wa nchi hii, hana sifa za kuwa Mkuu wa Nchi

    Tundu lisu Hawezi akawa Rais wa Nchi hii ya Tanzania, Hata Kama angezaliwa kabla ya Uhuru na kuwepo wakati huo na ikatokea uchaguzi ,bado Lisu asingepewa nafasi ya kuwa Mkuu wa nchi hii ya Tanzania kwa kuwa Lisu anakosa sifa za kiuongozi anazopaswa kuwa nazo Mkuu Wa nchi. Tundu Lisu ni Mtu...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania TOP 10: Nchi za Afrika zenye Internet yenye kasi kubwa ku"download"

    Sekta ya mawasiliano barani Afrika kwa namna fulani inakabiliwa na mapinduzi kila kukicha. Kuna mahitaji makubwa ya huduma za 5G kutokana na kasi ya mtandao inayoibuka duniani. Lakini wakati 5G bado haijaingia kikamilifu katika soko la Afrika, kiwango cha teknolojia ya kizazi cha 4 kwa mitandao...
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania TOP 10: Nchi 10 tajiri zaidi barani Afrika

    Pato la Taifa kwa kila Mwananchi ni mojawapo ya vipimo bora zaidi vya utajiri wa nchi kwani hutoa uelewa wa jinsi raia wa kila nchi wanavyoishi kwa wastani, ikionesha uwakilishi wa wingi wa bidhaa na huduma zinazopatikana kwa kila mtu. 1. Seychelles GDP Per Capita (in US$): $12,648 2...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Tsh. Bilioni 3 kutumika kusaidia Samia Scholarship

    Jumla ya Sh3 bilioni zimetengwa kwa ajili ya kuwasomesha wanafunzi waliopata ufaulu wa juu katika masomo ya sayansi katika mitihani yao ya kidato cha sita. Ufadhili huo ambao unaanza mwaka 2022/2023 unafanyika chini ya mpango unaojulikana kama Samia Scholarship. Akizungumza hayo leo Jumapili...
  6. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Nchi ambazo huwa zinabana polisi hali ya usalama huwa mbaya sana

    Wanasema barabara ya kuzimu imesakafiwa kwa nia njema. Watu wanaopinga mauaji yanayofanywa na polisi kwa washukiwa wa uhalifu wana nia njema sana. Na ni kweli kuna polisi waovu na wanatakiwa kudhibitiwa na kushughulikiwa. Lakini hili ni suala la kuangalia kwa makini sana. Ukishaanza kuwabana...
  7. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Tunapokuwa na taifa ambalo mkuu wa nchi anakaa kimya pale raia wake wanapouliwa kinyume cha sheria hilli Tataizo kubwa. Kwanini yupo kimya?

    Kila mtanzania ana haki ya kuishi. Awe ni mharifu sio mhalifu hii ni kwa mujibu wa ibara ya 14 ya katiba JMT. Kama ni mahalifu basi apelekwe mahakamani kwa kwa mujibu wa ibara ya 13 ya katiba ya JMT. Hii kamata kamata ya kulazimishana kuvua nguo ili binti na baba yake walalane imetoka wapi...
  8. technically

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu atakuja kuwa Rais wa nchi hii

    Nawaambia Kama ilivyoandikwa kwenye Vitabu vitakatifu Biblia na Quran Kuna siku yaja Tundu Lissu atakuja kuwa Rais wa nchi hii. Kama ambavyo Mkapa, Kikwete na Magufuli walipambana na Tundu Lissu wakashindwa. Ila Rais Samia yeye ataanguka kabisa iwepo Katiba mpya au isiwepo Tundu Lissu will...
  9. DENG XIAOPING

    JamiiForums Tanzania Rais, Makamu wake na Waziri Mkuu wote wapo nje ya nchi?

    Habari za sasa wanajamii , natumai ni nzuri. Nilikuwa na maswali kadhaa kuhusu ziara za viongozi wetu wakuu wa nchi wa tatu (Rais, Makamu wa Rais, na Waziri mkuu) 1. Je ziara za viongozi wetu hawa kwa mataifa waliyo enda kuzuru zitatamatika lini kwa kila mmoja? 2. Kulikuwa na umuhimu gani kwa...
  10. Kinyungu

    JamiiForums Tanzania Mwonekano wa Mipaka ya Nchi Mbali mbali

    Hizi ni picha za mipaka ya nchi mbali mbali duniani....kama na wewe unayo unaweza itupia hapa (hizi mm nimezipata Quora)
  11. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    JamiiForums Tanzania Nchi yetu haiwezi kuendelea kama fedha NYINGI Sana zinawekezwa kwenye siasa kulipa MISHAHARA na posho kubwa kubwa!

    Nitaendelea kuuimba huu wimbo Hadi DOLA (the state) wausikie! Kama mishahara ya kufuru na maposho ya makubwa yataendelea kumwagwa kwenye siasa zetu tusahau MAENDELEO ya kweli KWA nchi yetu! Kama ma PhD holders na maprofesa wataacha kufanya tafiti zao na kukimbilia siasa Ili wapate MAPESA...
  12. MK254

    JamiiForums Tanzania Toyota yaihama Urusi rasmi, kisa vikwazo vilivyowekewa nchi hiyo

    Kama ambavyo imekua desturi sasa, Toyota ni mojawapo wa makampuni ambayo yamehama Urusi rasmi, nchi inaendelea kutumbukia kwenye shimo kiuchumi, huku Putin akikusanya wanywa gongo wakapambane pale wanajeshi rasmi wameshindwa..... Amid Russia's ongoing war with Ukraine, Toyota announced it will...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mzee wa Upako: Watanzania hawana ustashi kuchangia maendeleo ya nchi yao

    Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC) nchini Tanzania, Anthony Lusekelo ‘Mzee wa Upako’ ameonyesha sura mbili katika sakata la tozo za miamala ya kielektroniki. Amesema Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan imeonyesha usikivu kwa umma baada ya kupungua na kufuta...
  14. figganigga

    JamiiForums Tanzania Rais Samia katuaibisha nje ya Nchi tena. Hizi si Mila za Mtanzania

    Salaam Kitendo cha Kumnywesha juisi Mwanaume kwa glasi anayotumia na yeye akatumia hapo hapo mwanaume alipotoa Mdomo, imetufedhehesha sana Sisi Waisilam na Jamii ya Afrika Mashariki Haya angeyafanya nje ya Camera. Mahaba gani haya jamani? Kumbuka rais wetu ni Mke wa Mtu. Kiprotocal hii...
  15. Execute

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa kike nao huandaliwa dogodogo pale wanaposafiri nchi nyingine?

    Kuna nchi huwa viongozi wa kiume wanaandaliwa binti mmoja wa kumpa kampani awapo ugenini. Sasa nauliza huu utaratibu upo pia kwa jinsia ya kike?
  16. MK254

    JamiiForums Tanzania Tiketi za ndege zimekwisha, Warusi wanaitoroka nchi yao baada ya hotuba ya Putin

    Putin ametoa hotuba itakayoanza kulazimisha wanajeshi wa akiba.... Tiketi za ndege zimeisha, hamna ndege, watu wanaikimbia nchi, tatizo ni mataifa machache yanawapokea Warusi kwa sasa.... Russian President Vladimir Putin has announced the partial mobilization of his country's reservists...
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Kwanini viwango vya kubadilisha fedha vya nchi za Afrika Mashariki viko juu sana?

    Wachambuzi wa masuala ya Uchumi wamesema viwango vya juu vya ada za kubadilisha fedha wakati wa malipo ya miamala ya kuvuka mipaka inaathiri sana biashara ya kikanda. Kutokuwepo kwa sarafu moja ya Jumuiya ya Nchi 7 za Afrika Mashariki na kushindwa kuoanisha mfumo wa malipo ni miongoni mwa mambo...
  18. Zainab j

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo Qatar; Ina mafuta imenyimwa chakula

    Hii ndiyo Qatar; Ina mafuta imenyimwa chakula TUESDAY SEPTEMBER 20 2022 Naam, watu wamezidi kuongezeka nchini Qatar na wingi huo unatokana na michuano mikubwa ya Kombe la Dunia inayokwenda kufanyika nchini humo. By Mustafa Mtupa Doha, Qatar. Naam, watu wamezidi kuongezeka nchini Qatar...
  19. L

    JamiiForums Tanzania China yaziongoza nchi kubwa duniani kuratibu uhusiano na nchi za Afrika

    Katika miaka ya hivi karibuni uhusiano kati ya China na nchi za Afrika umekuwa ukifuatiliwa na nchi nyingi duniani. Ufuatiliaji huo umekuwa na malengo tofauti, kuna ule unaotokana na kuiga mtindo wa China wenye uratibu mzuri na maendeleo ya kunufaisha kati ya China na Afrika, na mwingine una...
  20. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Afadhali huu Msiba wa Malkia Elizabeth umemkuta Rais Samia. Dkt. Magufuli ninavyomjua asingeenda. mama kafungua nchi

    Nafarijika sana napomuona Rais wangu samia anajichanganya. Anafungua nchi sana aisee... Nimemwona kwenye mwendokasi la huko England akienda msibani kwa Malkia Elizabeth. Afadhali Malkia kafa kipindi hiki. Ingekuwa miaka miwili ago. Magufuli namjua asingeenda. Hivyo nchi isingefunguka...
Back
Top Bottom