Nchi yangu nimeipenda bure. Leo vituo vingi vya redio vinamtakia Rais Samia heri ya siku ya kuzaliwa. Inapendeza Sana

marehem x

JF-Expert Member
Dec 28, 2022
515
786
Si kila mara utapata upendo kutoka watu wako lakini hii ni dalili nzur na njema Kwa redio kulijua hili Mama ndiyo kila kitu.

Sisi wengine kila mama ni mama yetu. Tunafarijika anapopendwa mama wa wenzetu Kwa kuwamama zetu wengine wapo mbele ya haki. Allah awape maisha yenye rehma. Ameen.

Leo ni mama day nashuhudia vituo vya redio baadhi vikimumshangilianmama Kwa kweli nchi yangu nimeipenda bure. Leo vituo vingi vya redio kucheza na kumu wish Mh Rais birthday. Inapendeza Sana. Asanteni wote.
 
Chawise aka vyawa ama akiwa mmoja CHAWA, ndio akili zilikofikia hapo hakuna tena mawazo chanya wala ubunifu, then mnaanza kuuliza ooh mbona tuna rasilimali lukuki lakini bado masikini na bei za vitu zinapaa kila uchao.
 
Back
Top Bottom