nchi

  1. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini nchi jirani wanakabiliwa na wingi wa Yesu feki?

    Nchi hii jirani yetu imekuwa ikikumbwa na wimbi la ongezeko la ma Yesu feki kila kukicha.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nemes Tarimo alikuwa ni shujaa japokuwa alivunja sheria za nchi. Wasomi wengi hawana ajira na wapo frustrated, CCM hawajali

    Maisha yamekuwa magumu. Degree zimetapakaa uraiani kama njugu. Ajira hakuna. Mabazazi wa CCM wanakula nchi na familia zao. Vijana mashujaa wanajilipua huko nje kusaka maisha.
  3. marehem x

    JamiiForums Tanzania Nchi yangu nimeipenda bure. Leo vituo vingi vya redio vinamtakia Rais Samia heri ya siku ya kuzaliwa. Inapendeza Sana

    Si kila mara utapata upendo kutoka watu wako lakini hii ni dalili nzur na njema Kwa redio kulijua hili Mama ndiyo kila kitu. Sisi wengine kila mama ni mama yetu. Tunafarijika anapopendwa mama wa wenzetu Kwa kuwamama zetu wengine wapo mbele ya haki. Allah awape maisha yenye rehma. Ameen. Leo ni...
  4. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kama Lissu anapinga serikali isiweke Kodi yoyote ile kwa wananchi, yeye atatoa hela mfukoni kuendesha nchi?

    Kwa uelewa wangu, serikali inajiendesha kutokana na Kodi zinazolipwa na wananchi wake. Katika hotuba ya Lissu, alipinga Kodi zote ambazo serikali inazikusanya na kuzitumia kulipa polisi waliokuwa wanalinda mikutano yake, kujenga uwanja wa ndege, kulipa mishahara, kujenga lami ambayo wafuasi...
  5. comte

    JamiiForums Tanzania Kwa takwimu zilivyo na kwa hulka ya CHADEMA hakuna aliye hai leo atashuhudia CHADEMA inatawala nchi hii

    Harakati za CHADEMA kwenda ikulu na kupata nafasi ya kutawala nchi hii hazitakaa zifanikiwe sababu walianza na mguu mbaya. KWANZA - Kuweka misingi yao kwa kubadirisha wanaharakati na uanaharakati kuwa wanasiasa na siasa. huu mchakato huchukua mda mrefu kufaniakiwa. PILI - Kushobokea siasa za...
  6. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kusimamisha masomo ya PhD nje ya nchi ili nijitayarishe kwaajili ya kugombea ubunge 2025 katika jimbo la Mbozi Mashariki

    Habari za leo watanzania wenzangu, Mimi rafiki yenu na kijana mwenzenu nilishafungua moyo wangu kuwatumikia watanzania katika kiti cha ubunge. Kama kuna wabunge humu naomba watanishauri zaidi ila ni jambo ambalo nalipenda na nina uzoefu nalo kidogo. Muda wangu sahihi wa kujitokeza hadharani...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Nchi zinazopinga ushoga zinatumia kigezo gani? Mbona hazipingi ukahaba na uasherati?

    Ukifuatilia sababu kubwa inayotolewa na nchi nyingi ikiwemo Tanzania ktk kupinga ushoga wanadai ni chukizo kwa Mungu. Ndipo sasa najiuliza chukizo kwa Mungu ni ushoga peke yake? Kwann haziharamishi ukahaba na ufuska kama ilivyofanya Indonesia? Indonesia wamepitisha Sheria kuwa mwanamke kuzaa...
  8. NASIRIYA

    JamiiForums Tanzania Marufuku Mtanzania kujiunga Jeshi la nchi nyingine

    Tax apiga marufuku kwa watazania kujiunga na la Jeshi la nchi nyengine. Alisema kwa mujibu wa sheria zao Mtanzania yoyote haruhusiwi kujiunga na Jeshi la nchi yoyote isipokuwa Jeshi la Tanzaia tu na kufanya hivyo kuvunja sheria za nchi. --- SERIKALI: ‘Fuateni sheria na taratibu mkiwa nje ya...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Safari za nje ya nchi

    Inakuaje sikuizi watu wengi wanataka kusafiri nje sanasana kwa ajili ya kazi. Magroup ni mengi na wahamasishaji ni tele pia. Sasa nikupashe labda uwe na ndugu zako nje au umepata mpenzi la sivyo watakao tokea kukusaidia ni wachache. Nyakati zimebadika njia rahisi ya kwenda nje ni either utalii...
  10. Webabu

    JamiiForums Tanzania Nchi zilizotawaliwa na Ufaransa zimejitambua, bado sisi

    Nchi zjilizowahi kutawaliwa na Ufaransa miaka ya nyuma zile za magharibi na kaskazini ya Afrika kwa sasa zimetia akili na kukataa kufanywa kama watoto wa dola hilo korofi. Katika kipindi cha miaka 20 iliyopita taifa hilo limesababisha hasara kubwa ya maisha na uharibifu wa mali wa mataifa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ukoloni unavyozidi kuwaangamiza Waafrika kwenye nchi zao

    Kwanza Namshukuru' mwenyezi Mungu mwingi Rekhma kunifikisha siku ya Leo, pia nawaombea wote wanaochukia uzembe, wizi, ubabaishaji na unyumbu. Moja ya maswali ninayojiuliza kila siku ni kwamba kama miaka ya 1500 wazungu waliizunguka dunia kutafuta fursa, sisi ngozi nyeusi hasa watanzania...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Polisi ni rafiki kipindi hiki cha awamu ya sita

    Nilichogundua ni kwamba Tanzania ya sasa sio kama ya zamani Tanzania ya Rais Samia Suluhu ni ya amani miaka 5 iliyopita mpinzania alikua nia adui mkubwa wa polisi lakini sasa baada ya maridhiano yaliyofanywa tunaona polisi amerejea kwenye kazi yake ya kulinda amani ya mwananchi. BEFORE...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Hospitali ya Mloganzila imeanza kupokea wagonjwa kutoka nje ya nchi

    Kutokana na juhudi za serikali kuboresha huduma za afya nchini, Hospitali ya Taifa ya Muhimbili-Mloganzila imeanza kupokea wagonjwa kutoka nje ya nchi wanaofuata huduma za kibingwa, ikiwemo huduma tiba ya kuweka puto kwenye tumbo la chakula (Intragastric balloon), ili kusaidia watu wenye uzito...
  14. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hela inayotumwa na Wakenya walio nje ya nchi yapita mapato mengine yote

    Uraia pacha unazidi kuinemeesha Kenya, Wakenya wanapiga hela huko na kuzituma balaa, yaani wamepitiliza kila aina nyingine ya mapato ya nchi... Kenya is now earning more foreign exchange from diaspora remittances than each of its major exports – coffee, tea and horticulture – in spite of...
  15. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania Kuna baadhi ya maeneo ya nchi fulani ingekuwa inawezekana ningewashauri wauzie hata nchi jirani wagawane fedha

    Nchi nilipo sasa hivi kweli Ni kubwa lakini watu waishio huku wanapata tabu maji shida, barabara taabu, Afya shida, umeme ndo kabisa ukiwauliza habari ya matumizi ya gesi ya kupikia hawaelewi kabisaa. Jamani kuna maeneo bado loh! Picha nimekatazwa kupiga.
  16. I

    JamiiForums Tanzania Nchi ambazo idadi ya watu inatarajiwa kupungua

    Nchi nyingi -- haswa za Ulaya na Asia -- zitaona idadi ya watu ikipungua katika miongo ijayo, ikiwa utabiri wa 2100 uliochapishwa na UN Julai iliyopita utathibitishwa. Katika maeneo mengine, idadi ya watu tayari inapungua. Idadi ya watu tayari imepungua Nchi nane zenye wakazi zaidi ya milioni...
  17. Anna Nkya

    JamiiForums Tanzania Joseph Mbilinyi (Sugu) alikuwa sahihi, Rais Samia anaendesha nchi vizuri

    Januari 12,22023 , Mbunge mstaafu wa Mbeya kwa tiketi ya CHADEMA , Joseph Mbilinyi alitweet" Nchi inaenda, so far so good. Hakuna tena kuokota viroba Coco, wala raia kutekwa ovyo na state. Mengine yote yanazungumzika,na tutakutana kwenye mikutano ya hadhara soon. Mungu aendelee kuwapa busara...
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Tanzania imetumia Hekta Milioni 10.8 tu kati Milioni 44 za ardhi inayofaa kwa Kilimo hadi sasa

    Akizungumza na Vyombo vya Habari, Msemaji Mkuu wa Serikali amesema Tanzania ina hekta Milioni 44 za ardhi inayofaa kwa kilimo na kati yake ni hekta Milioni 10.8 ndizo zinalimwa na kuongeza kuwa Serikali ya Awamu ya Sita kwa kutambua kuwa kilimo ndicho kinaajiri zaidi ya asilimia 60 ya Watanzania...
  19. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Ugumu wa Maisha: CHADEMA hamasisheni tuandamane nchi nzima

    Kwa ufupi sana Nimesoma mikutano itaanza hivi karibuni. Katika mikutano yenu mtaeleza ajenda mbalimbali ikiwemo katiba mpya na ugumu wa maisha. Hayo yote tunayajua. CCM wanajua vyote hivyo ila wamekaza mashavu. Kwa hiyo kusema tu haitoshi inatakiwa twende extra miles. Hamasisheni maandamano...
  20. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Watu wa vijijini ndiyo huwa wanalipa mikopo nchi hii, wanatakiwa kupewa kipaumbele kwenye matumizi ya hiyo mikopo

    Karibu asilimia mia moja ya mikopo ya nchi hii inalipwa na toka uhuru imekuwa inalipwa na watu wa vijijini. Unapoenda kulipa mikopo lazima utumie fedha ya kigeni, yaani dola. Sasa nchi yetu inapataje dola? Ni kwa kuuza bidhaa nje ya nchi. Wazalishaji wa viwanda vya ndani ambao wanauza humuhumu...
Back
Top Bottom