Ripoti: Tanzania yatajwa kwenye orodha ya Nchi zisizo na Furaha Duniani

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,120
68897285-11880723-image-a-25_1679312535065.jpg
Ripoti ya Dunia ya Furaha 2023 imetolewa. Kwa mujibu wa viwango vya Dunia Vya Furaha kwa mwaka 2023, Finland ndiyo nchi yenye furaha zaidi duniani kwa mwaka wa sita mfululizo. Wakati huo Tanzania imetajwa kuwa kati ya Nchi zenye Watu wasio na Furaha duniani.

Orodha kamili hii hapa

Nchi 10 Zisizo na Furaha Duniani

1. Afghanistan
2. Lebanon
3. Sierra Leone
4. Zimbabwe
5. DR-Congo
6. Botswana
7. Malawi
8. Visiwa vya Comoro
9. Tanzania
10. Zambia

Chanzo: World Happines/ UN

Nchi 10 Zenye Furaha Duniani

1. Finland
2. Denmark
3. Iceland
4. Israel
5. Netherlands
6. Sweden
7. Norway
8. Switzerland
9. Luxembourg
10. New Zealand

Chanzo: World Happines/ UN
Screenshot 2023-03-20 215913.png

================

Finland was today named the world's happiest country — once again.

The nation, home to 5.5million people, has now held the title for six years running.

Meanwhile, Afghanistan remains bottom of the World Happiness Report, a league table of almost 140 countries.

The UK dropped two places to 19th — while the US jumped up one place to 15th in the annual UN-sponsored index. France dropped out of the top 20.

As well as producing the rankings, scientists behind the report concluded that the Covid pandemic has not made us unhappier.

Self-reported satisfaction remained 'remarkably resilient' worldwide between 2020 and 2022 – despite the pandemic, results revealed.

Scroll down to view the full ranking list of the 137 countries involved.

Despite several overlapping global crises between 2020 and 2022, including Covid and war in Ukraine, most countries logged global life satisfaction scores that were just as high as those in the pre-pandemic years, the researchers found.

Interviews with more than 100,000 people across 137 countries revealed that people self-reported significantly higher levels of benevolence — acts of kindness — than before 2020.

The World Happiness Report, now in its 11th year, is based on people's own assessment of their happiness, as well as economic and social data.

It assigns a happiness score on a scale of zero to ten, based on an average over a three-year period.

This year, the authors also used data from social media to compare people's emotions before and after the Covid crisis.

WORLD HAPPINESS/ UN 2023
 
Attachments

  • WHR+23_Ch0.pdf
    971.9 KB · Views: 12
68897285-11880723-image-a-25_1679312535065.jpg
Ripoti ya Dunia ya Furaha 2023 imetolewa. Kwa mujibu wa viwango vya Dunia Vya Furaha kwa mwaka 2023, Finland ndiyo nchi yenye furaha zaidi duniani kwa mwaka wa sita mfululizo. Wakati huo Tanzania imetajwa kuwa kati ya Nchi zenye Watu wasio na Furaha duniani.

Orodha kamili hii hapa

Nchi 10 Zisizo na Furaha Duniani

1. Afghanistan
2. Lebanon
3. Sierra Leone
4. Zimbabwe
5. DR-Congo
6. Botswana
7. Malawi
8. Visiwa vya Comoro
9. Tanzania
10. Zambia

Chanzo: World Happines/ UN

Nchi 10 Zenye Furaha Duniani

1. Finland
2. Denmark
3. Iceland
4. Israel
5. Netherlands
6. Sweden
7. Norway
8. Switzerland
9. Luxembourg
10. New Zealand

Chanzo: World Happines/ UN
View attachment 2559746
================

Finland was today named the world's happiest country — once again.

The nation, home to 5.5million people, has now held the title for six years running.

Meanwhile, Afghanistan remains bottom of the World Happiness Report, a league table of almost 140 countries.

The UK dropped two places to 19th — while the US jumped up one place to 15th in the annual UN-sponsored index. France dropped out of the top 20.

As well as producing the rankings, scientists behind the report concluded that the Covid pandemic has not made us unhappier.

Self-reported satisfaction remained 'remarkably resilient' worldwide between 2020 and 2022 – despite the pandemic, results revealed.

Scroll down to view the full ranking list of the 137 countries involved.

Despite several overlapping global crises between 2020 and 2022, including Covid and war in Ukraine, most countries logged global life satisfaction scores that were just as high as those in the pre-pandemic years, the researchers found.

Interviews with more than 100,000 people across 137 countries revealed that people self-reported significantly higher levels of benevolence — acts of kindness — than before 2020.

The World Happiness Report, now in its 11th year, is based on people's own assessment of their happiness, as well as economic and social data.

It assigns a happiness score on a scale of zero to ten, based on an average over a three-year period.

This year, the authors also used data from social media to compare people's emotions before and after the Covid crisis.

WORLD HAPPINESS/ UN 2023
Furaha ni kuwa na marafiki, Furaha kulewa na marafiki...

Sisi ni walevi sisi ni walevi
 
Vigezo ni vya tamaduni za watu wa Ulaya. Haviko objective.

Tukitumia vigezo vyetu, majibu yatayotokea ni kuwa wale 10 bora ni Mashetani
 
Nchi 10 Zenye Furaha Duniani

1. Finland
2. Denmark
3. Iceland
4. Israel
5. Netherlands
6. Sweden
7. Norway
8. Switzerland
9. Luxembourg
10. New Zealand
Hizi nchi alizitaja jamaa humu sasa nimekuelewa zaidi soma na wewe hapa
 
Ili kesho ule, lazima leo utoke...
Unaomba na kusali watoto wasiumwe, wewe hata ukiumwa utavumilia...

Hiyo furaha uipate wapi.
Mkuu umeongea neno la maana sana daily tinapiga goti kuomba Mungu tusiumwe

Ukiugua unajua tayari mwendo unaenda kuumaliza very soon

Furaha itoke wapi?
 
Hii ni kweli kabisa Sukuma Gang hatuna furaha kwa yanayoendelea nchini
 
Back
Top Bottom