Bunge la Kenya matatani na balozi wa Marekani kuhusiana na ushoga

Mr Why

JF-Expert Member
Nov 27, 2019
1,112
1,887
Nchi ya Marekani ndiyo muamuzi wa Dunia. Mbungea wa Kenya amemlaumu balozi wa Marekani kuwa ndiye anayeeneza ushoga nchini Kenya, pia amesema Marekani ndiyo inayoharibu dunia

Ukweli ni kuwa Kenya hailingani na Marekani hata theluthi hivyo haiwezi kupingana na Marekani, Marekani wakiamua Kenya iwe ya Mashoga basi itakuwa hivyo kwasababu wana nguvu kubwa duniani

Kwa kashfa alizopewa balozi wa Marekani nchini Kenya zitawafanya Marekani kuongeza kasi ya kuwabadilisha wakenya kuwa Mashoga kwasababu wao hawashindwi kufanya lolote watakalo hapa duniani

Kama ushoga ni agenda ya Marekani basi itafanikiwa kwasababu wana nguvu kubwa sana,

Museveni wa Uganga amepinga anaweza kufanikiwa lakini kama ni agenda ya Marekani hataweza kupingana nao sana sana ataishia kwenye matatizo makubwa sana kwasababu hakuna raisi aliyepingana na Marekani akabaki salama

Asante sana hawa ndo wabunge tunaowataka. Mungu ni muaminifu atawainua watu watusemee kukemea huu ujinga.
Amefanya vizuri lakini amejiingiza kwenye mgogoro mkubwa na Marekani ambao utamgarimu maisha yake, Marekani wana nguvu kubwa sana huwezi kuwasemesha hivyo
 
Una ongea utopia, zamani marekani ndio ilikuwa hivyo sasa hivi marekani ni mavimavi tu, ime kwishney kabisa walahi
Vladmir Putin ana mtandika vibaya sana hana hamu
North Korea
Kamtupia bomu la masafa marefu, yeye yuko kimya kama maji ya mtungi!
Hakuna vita hata mmoja aliyo shinda, yeye kazi yake ni kunena uwongo na kuwa lagahi watu kama wewe unae angalia movie za Hollywood na kuamini mambo ya FBI na CIA na kufikiri ni kweli.
Bado una mwendo mrefu sana wa kukuwa kijana mdogo ana good luck with that walahi
 
Marekani na Kenya wapi na wapi wao wakisema Kenya ifirane na itafirana wakatae wakubali😂
 
Amefanya vizuri lakini amejiingiza kwenye mgogoro mkubwa na Marekani ambao utamgarimu maisha yake, Marekani wana nguvu kubwa sana huwezi kuwasemesha hivyo
Wabongo banana!!! Eti amejiingiza kwenye mgogoro wa marekani... Huko ndani ya marekani watu wanamtukana raisi wao tena matusi ya nguoni na hakuna kitu wanafanya Tena kuna nyimbo kabisa za matusi zinaimbwa za kutukana serikali yote ya marekani sembuse huyu mbunge wa kenya
 
exactly! mtu ana mwili wake anataka kuutumia anvyoona, utamkatazaje?
Upo seriazi kweli ndugu kwa ulichokisema. Uhayawani huo usikemewe hata kama mwili wa mtu ni mali yake?

Kimila, kiutu, kimaadili, kwa Mwenyenzi Mungu n.k inakubalika kweli?

Acha masihara kwa masuala seriazi kama haya.
 
sidhani, ushoga ni mbaya, haufai kwa destuli na mila zetu, lakni those practicing it should not be intimidated
Haikubaliki katika jamii kwa mianaume yenye mindevu kibao kuatamiana na kupumuliana visogoni. Pia usagaji ni dhambi mbele za Mungu!
 
Nchi ya Marekani ndiyo muamuzi wa Dunia. Mbungea wa Kenya amemlaumu balozi wa Marekani kuwa ndiye anayeeneza ushoga nchini Kenya, pia amesema Marekani ndiyo inayoharibu dunia,
Ukweli ni kuwa Kenya hailingani na Marekani hata theluthi hivyo haiwezi kupingana na Marekani, Marekani wakiamua Kenya iwe ya Mashoga basi itakuwa hivyo kwasababu wana nguvu kubwa duniani,
Kwa kashfa alizopewa balozi wa Marekani nchini Kenya zitawafanya Marekani kuongeza kasi ya kuwabadilisha wakenya kuwa Mashoga kwasababu wao hawashindwi kufanya lolote watakalo hapa duniani
Kama ushoga ni agenda ya Marekani basi itafanikiwa kwasababu wana nguvu kubwa sana,
Museveni wa Uganga amepinga anaweza kufanikiwa lakini kama ni agenda ya Marekani hataweza kupingana nao sana sana ataishia kwenye matatizo makubwa sana kwasababu hakuna raisi aliyepingana na Marekani akabaki salama

Unajikuta fundi wa kueneza propaganda 😅😅
 
Mbona mtu akitaka kujiua anahukumiwa kufungwa hata maisha. Unamkatazaje mtu kuutumia mwili wake atakavyo?

Mbona madawa ya kulevya yanazuiliwa? Unammatazaje mtu kuutumikisha mwili wake atakavyo?
We sio TAI DUME, bali MWEWE JIKE kwa mawazo hayo. Tafakari.
 
Back
Top Bottom