Jibu: kwani wao hawaibi?
Viongozi wetu wakiwa na uchungu sana na hii nchi hata walio chini hawataiba watakuwa wazelendo. Kutwa kiongozi mkubwa ananazunguka kulinda pesa za nchi hii ataweza peke yake bila mfumo imara unawajibisha kila mtu kutii sheria?
Ni kweli... Jinsi tulivyofundishwa shuleni namna ambavyo WAKOLONI WAZUNGU HASA WAINGEREZA WALIKUWA NI WATU MAKATILI, WANYANYASAJI, WABAGUZI WASIOJALI...
nikajiuliza maswali... Ukiangalia viongozi wengi waliokuwa rika la MWALIM NYERERE na wenzake na wazee wengine... Wanatueleza historia za...
Tuvute kumbu kumbu:
Hawa ndugu na wadhamini wao wangalipo madarakani na kazi inaendelea. Maajabu ya Mussa!
Ama kweli kama nchi tuna matatizo!
Tunaridhiana nao nini hawa?
Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limesema limeandaa mpango maalumu wa kuanza kusambaza nishati ya gesi asilia kupitia mabomba makubwa kwa lengo la kuwafikia wateja wengi katika mikoa mbalimbali nchini.
Mtaalamu wa idara ya mafuta na gesi kutoka TPDC, Mhandisi Eva Swilla amesema...
Waziri wa Fedha na mipango Dr. Mwigulu Nchemba akizungumza na Clouds 360 asubuhi hii kuhusu Deni la Taifa amesema Tanzania ni nchi iliyo na sifa nzuri kimataifa, ikiwemo kuwa na uwezo wa kukopesheka pasipo vikwazo.
Akijibu swali la Mwandishi wa habari aliyetaka kujua kwanini anajisifu kuwa na...
Kwa mara nyingine tena China imeendelea kuonyesha udhati wake kwenye kuzipatia fursa nchi zilizonyuma kiuchumi, kwa kufungua zaidi soko lake na kupunguza masharti ya kuingia kwenye soko. Hatua mpya ya mwelekeo huu ni ile iliyotangazwa na kamisheni ya ushuru ya baraza la serikali ya China...
Sitasahau kama ilivyo kwa kila Mtanzania mwenye mapenzi mema na nchi hii.
Kulifanyika mambo ya ajabu sana yaliyotudhalilisha Watanzania na yaliyolidhalilisha taifa.
Kamwe tusirudie tena.
Pichani: Maafisa vipenyo wakiwa kwenye moja ya migahawa ya Bunge wakipima ukubwa wa samaki aliyepikwa.
Ni muda mrefu sasa watumishi nchini wamekuwa wakinyimwa haki zao ambazo zingine ni za kikatiba kabisa, kwa mfano kupewa nyongeza ya mishahara kila mwaka (annual incriment), upandaji wa vyeo, ulipwaji wa madeni na stahiki zingine, n.k.
Kutokana uwepo wa vyama vya wafanyakazi (trade unions) kama...
Ziara za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan kwenye mataifa mbalimbali duniani zimezaa matunda kwa kufanya idadi ya wawekezaji nchini kuongozeka.
Rais Samia amekua akiwahakikishia wawekezaji kutoka nje kuja nchini kwani kuna mazingira mazuri ya uwekezaji na pia...
Kuwa na Ofisi ni sehemu ya utambulisho wa mahali taasisi fulani inapatikana. Lakini kuwa na Ofisi hakuhusiani na uimara wa taasisi husika. Makampuni yanayofilisika au taasisi zinazoshindwa kujiendesha na hatimaye kufungwa, nazo pia huwa na Ofisi.
Wakati Serikali ilipoamua kuyaunganisha...
Hii nchi bhana!
Yaani zoezi likazinduliwa kwa mbwembwe na matangazo mengi, tena na Waziri Mkuu wa nchi lakini hadi leo hii hakuna mwalimu amepewa kishkwambi mpaka shule zinafungwa! Hakika hii nchi raha sana.
Ningependa kuwa karibisha wadau wote wa Jamiiforum watao penda kushiriki katika mjadala huu wenye swali liulizalo.
Je sisi kama taifa tuna kosea wapi katika wizara ya nishati kuelekea katika nchi ya kiviwanda na uwekezaji ?
Katika mjadala huu ningependa kutoa mfano utakao tupa mwangaza kidogo...
Siku ya jana katika maazimisho ya siku ya uhuru waziri wa habari na mawasiliano alifanikiwa kuzindua internet yenye kasi zaidi katika kilele cha Mlima kilimanjaro chenye urefu wa mita 5,895kutoka usawa wa bahari.
Huduma hii ya internet ni sehemu ya kuifungua zaidi Tanzania katika Nyanja za...
===
Baada ya kumsikiliza Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan hapo juu,Naomba nidondoe kidogo haya,
Wakati wowote kuanzia Sasa Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan anakwenda kufanya mabadiliko makubwa Serikalini na kwenye Chama, Mimi Wacha niwalaumu kidogo nyie maboss na endapo Kati yenu atasalia...
Leo watoto walitakiwa waone kwenye luninga historia ya taifa lao.
Lakini wewe na January mmekata umeme.
Kwa nini msituonee huruma japo hata kwa leo tu siku ya uhuru.
Watu wapo nyumbani wanahitaji kuangalia luninga na kujikumbusha na uhuru wa taifa lao
Mazungumzo ya siri yanaendelea kwa Venezuela kuwa tayari kupokea viongozi wa Iran kama vurugu zikipitiliza...
Wananchi bado wanaendelea kukomaa, yaani kifo cha yule mdada kuuawa kisa sheria za dini kutokuruhusu nywele kuonekana, kitazama na wengi sana.
Iranian authorities have reportedly begun...
Habari za humu wana jukwaa natumaini hamjambo.
Nimekuja na mada hii baada ya kulala giza kila wakati, pia kushindwa kufanya kazi zangu za kiuchumi.
Yaani serikali yenyewe iwe inachimbia tu nguzo halafu kuwepo na makampuni ya kupitisha waya za umeme, naamini nguzo moja kuna uwezekano wa...
Kama Kuna mtu unadhani uahitaji kuleta mabadiliko kwenye nchi hii Kwa kupitia uongozi wa kisiasa basi ufikirie kufanya hivyo kupitia CCM.
Mimi si muumuni sana wa vyama ila ni muumuni wa uwezo wa mtu hivyo ninaamini kwamba mtu akiwa na uwezo mkubwa, akapata jukwaa kubwa ni rahisi sana kutekeleza...
Hellow,
Hakuna chama cha upizani kina nguvu kama CHADEMA na kina watu wengi sana kuliko vingine vyama vya upinzani.
Lakini pia kina watu makini sana ambao watu hao wamejawa na tamaa, yaani ni wabinafsi sana kuliko kawaida.
CHADEMA kina miaka mingi sana tangu kianzishwe Tanzania, lakini Ofisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.