Hii bora iende... Ndio, sababu hatuna namna.
Toka mama ameingia kumekuwa na mabadiliko mengi sana. Tofauti na mtangulizi wake JPM. Magufuli alibinya pesa mikononi kwa wananchi lakini tukaona maendeleo ya serikali kupitia miradi mingi(sina haja ya kutaja sababu inaonekana).
Mama amekuja...
Nchi ya Uturuki, Tunisia na Iraq zimefuta kabisa ndoa za wake wengi huku Saudi Arabia ikiwa imeweka masharti makali kiasi kwamba hakuna watu wanaooa wake wengi.
Iran yenye watu milioni 88.5 ina ndoa za wake wengi zinazofikia laki moja tu. Algeria zinaelekea kupotea. Swali hapa ni kwanini hizi...
Nimestaafu mwezi uliopita
Nasubiri kiinua mgongo changu kama milioni kadhaa.
Napenda sana mpira nikiangalua EPL napata wazimu.
Natamani nikaishi England nifie huko
Kinachonishangaza kuna uzi wa magari ulikuja humu jamaa anauliza kwa nini waingereza hawanunui magari ya landrover na range,kuna...
Naiangalia Tanzania ya mwaka 2073 miaka 50 kutoka leo. Najitenga na ubinafsi nifikiri bila kuzugwazugwa. Nauangalia mfumo wa Muungano wa Tanzania. Najikumbusha mazingira ya kuanzishwa kwake wakati sultani amefurushwa na hatihati za kutinga kwake tena.
Nafikiria wapendavyo wapemba na waunguja...
Kwa mujibu wa Ripoti ya Freedom House Mwaka 2022, Mazingira ya Haki Za Binadamu Mtandaoni yamezorota katika Nchi 28.
Katika Nchi 70 zilizofanyiwa Tathmini (sawa na 89% ya Watumiaji wa Intaneti Duniani) imebainika 37% Hazipo Huru, 34% zina Uhuru Kiasi na 18% zipo Huru.
Kwa Mwaka wa Nane...
Rais Paul Kagame amesema Nchi yake haiko tayari kutoa hifadhi kwa watu wanaokimbia migogoro kwa maelezo kuwa hilo sio tatizo la Rwanda hivyo hawezi kubeba mzigo usi wake.
Kagame amesema chanzo cha mgogoro wa DRC na Rwanda ni mabaki ya vikosi vya Wahutu wenye itikadi kali ambao walijaribu...
Habari,
Binafsi nikiri kuwa sijawahi kuvuka mpaka wa Tanzania ila nina exposure ya kutosha kuliko hata wauza unga waliozamia Afrika ya kusini.
O level nimefundishwa mathematics na walimu 3 Wakimarekani, nimefanya kazi na Wazungu kwenye kampuni 2 tofauti.
Kwahiyo Wazungu niliokutana nao wote...
Kupitia waziri wake wa mambo ya nje, Ukraine imelalamika wazi na kusema hakuna aliyeweza kutusaidia kiasi cha kutosha katika vita dhidi ya urusi. Pamoja na kutambua misaada iliyopokea hadi sasa lakini anasema: "tuambiane ukweli, maadamu urusi bado imeikalia nchi yetu hapo hatujasaidiwa vya...
CHADEMA kina nafasi kubwa sana ya kuchukua nchi iwapo tu itafanyia kazi mambo yafuatayo.
1. Mbowe aendelee kuwa Mwenyekiti.
2. Katibu mkuu awe Heche.
3. Mgombea Urais atoke CCM (Tulizeni kichwa hapa).
4. Kwenye Majukwaa sera zenu ziwe against awamu ya sita na sio awamu zilizopita.
5. Muwape...
Kwa heshima kuu napenda kuwashauri ndugu zetu waliokimbia nchi warejee nchini kwani chini ya uongozi Wa mama Samia nchi ni shwari na salama.
Nakuomba mheshimiwa Tundu Lisu na Godbless Lema rudini nchini tuijenge nchi yetu.
Chini ya uongozi wa Rais Samia Tanzania nikinara cha Amani barani...
Heri ya Krisimasi, Merry Christmas
Sikukuu ya Krisimasi kwa mwaka huu imedondokea siku nzuri ya Jumapili! Hii ni Makala ya Jumapili ya Krismasi.
Kwa mafundisho ya dini ya Kikristu, tuliyopewa na huyu Masiya aliyezaliwa leo, Bwana wetu Yesu Kristu, aliulizwa amri kuu kuliko zote ni amri gani...
Tunajua upole ni sifa ambayo kila mmoja anapaswa kuwa nayo pale inapostahili. Chochote kinachofanyika kinapaswa kuwa na kiasi.
Swali langu ni je, ni kiongozi gani wa nchi za kiafrika alieweza kudhibiti nchi kwa kuwa mpole?
Tuanze na Nyerere, Mandela. Kenyata nk. Je, walikuwa na haiba zipi ktk...
Tupige kura ya maoni wanaotaka kuwa pro Magufuli na wale anti Magufuli na kila mtu awe na nchi yake kwani hali ilivyo sioni jinsi hawa watu wanaweza kuungana.
Nchi ya Magufuli low debt to gdp ratio, umeme wa uhakika, miundo mbinu madhubuti, no wizi vs anti Magufuli high debts, no water, no...
Unajua kuna watu wana enjoy kuona wenzao wakianguka na kuwa chini, in short wana roho za kichawi.
Hongera Simba kwa kuokoa sekta ya banking nchini kwa kurudisha imani kwa depositors, maana kila mtu alishaanza kukimbiza pesa uswiss.Taifa lilikuwa linaenda kuanguka vibaya.
Mimi ni kijana mwenye umri wa 30 ninamtaji wa milion 8 .Nilikuwa naomba ushaur, muongozo na jinsi gani ya kufanya biashara ya nafaka kupeleka nije nchi .Asanteni
Putin ktk mwezi wa Dec amerusha mabomu mengi kwa Ukraine mengine yame hit target while mengine Ukraine waliyadungua.
Ila jambo Mrusi hakujuwa nchi za Magharibi walikuwa wakifanya ktk hali ya usiri mkubwa ni pale Nchi za Magharibi walikuwa waki monitor all movement za Mrusi kukusanya silaha na...
Hello,
Story kwa ufupi, duniani hakuna mjanja aloshindikana, kila penye nyumba na nyufa ipo. Katika hali iliozoeleka inaonekana kutoka na mke au mume wa mtu ni ushujaa sana mithili ya kubeba kombe la Dunia.
Kwa taarifa yenu hao mnaowaibia wake au waume zao ndio wanaotoka na watoto zenu, dada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.