nchi

  1. JamiiForums Tanzania Nchi jirani na Ukraine zatangaza marufuku ya uagizaji wa bidhaa za kilimo kutoka Ukraine

    Poland na Hungary, ambazo ni nchi jirani na Ukraine, Jumamosi wiki iliyopita zilitangaza marufuku ya uagizaji kutoka Ukraine wa bidhaa za kilimo hadi Juni 30. Serikali za nchi hizo zinasema hatua hiyo inalenga kulinda wakulima wa ndani. Slovakia imefanya hivyo pia jana Jumatatu. Bidhaa za...
  2. JamiiForums Tanzania Nigeria inakuwa nchi ya Pili duniani kuridhia majaribio ya Chanjo ya Malaria baada ya Ghana

    #Nigeria imekuwa Nchi ya pili duniani kuidhinisha majaribio ya Chanjo mpya ya #R21Malaria iliyotengenezwa na Wanasayansi kutoka Chuo Kikuu cha Oxford, Uingereza. Majaribio ya kwanza yamefanyika #Ghana. Mkuu wa Idara ya Kitaifa ya Chakula na Dawa wa Nigeria, #MojisolaAdeyeye, amesema Chanjo hiyo...
  3. JamiiForums Tanzania Tanzania haimo kwenye nchi kumi zenye miundombinu bora Afrika!

    Miaka 60 baada ya uhuru, bado hatuna miundombinu iliyo bora kuifanya nchi angalau kutajwa tu kati ya nchi kadhaa zinazofanya vizuri kwenye barabara. Pamoja na kuwa na taasisi kama Tanroad na sasa Tarura bado hatujengi barabara zinazoweza kutolewa mifano. Kwenye maliasili ghafi kama dhahabu...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Tanzania sasa ina uchumi mkubwa kuliko baadhi ya nchi za Ulaya

    TAKWIMU mpya za IMF zinaonesha kuwa Pato la Taifa la Tanzania limeongezeka hadi kufikia Dola za Marekani Bilioni 85.42 (Tsh trilioni 200) kwa mwaka huu wa 2023 ikiwa ni ishara kuwa sera za uchumi za Rais Samia Suluhu zinaleta mageuzi makubwa nchini Kwa ukuaji huu ni dhahiri kuwa uchumi wa...
  5. JamiiForums Tanzania Kabudi: Tanzania imeweka historia, ndio nchi ya kwanza Afrika kusaini mkataba wa hisa isiyofifishwa

    Leo hii Jumatatu April 17 2023 Serikali imesaini mikataba na kampuni tatu za madini za Australi zinazohusisha uendeshaji wa uchimbaji wa Madini ya Kinywe (GRAPHITE) na madini adimu (RARE EARTH ELEMENTS) katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino, Dodoma na kushuhudiwa na Rais Samia Suluhu Hassan...
  6. JamiiForums Tanzania Kati ya nchi 195 duniani ni nchi 31 tu ndizo zimehalalisha ndoa za jinsia moja

    Pamoja na watu kutaka kuonesha kwa sasa kwamba ajenda kubwa ya kisiasa Tanzania ni Ushoga, lakini takwimu zinaonesha kwamba ni nchi 31 tu ulimwenguni pote ambazo ndizo zimehalalisha ndoa za jinsia moja na ni nchi moja tu ya Afrika, ambayo ni Afrika ya kusini, ndiyo Imehalalisha ndoa za jinsia...
  7. JamiiForums Tanzania Kama Marekani ni nchi ya Kishetani ni kwanini mamilioni ya watu duniani hutamani kuishi Marekani?

    Huwa nikiona maelfu ya watu kila siku toka nchi za Amerika ya Kusini na kwingineko duniani wanavyolazimisha kuingia Marekani, huwa najiuliza, inakuwaje nchi inayosemwa kwamba ni mhimili wa Ushetani duniani inagombaniwa na watu kwenda kuishi. Huoni harakati za watu kwenda kwenye zile nchi zenye...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Rais Samia elewa wapiga kura wa nchi hii wanahitaji nini kwa sasa

    Nimesoma kitabu cha "Will Propaganda Work in Modern World?" Mwandishi pamoja na mambo yote anasema, "moja ya sifa chanya na bora kwa kiongozi makini ni kujua watu wake wanahitaji nini kwa wakati gani na kwa sababu gani naye huenda na matakwa yao ili kukidhi na kukata kiu yao. Anasema kiongozi...
  9. JamiiForums Tanzania Challenge gani umfanya mkuu wa nchi kujitokeza public ili kuomba kuombewa?

    Habari wakuu,hamjambo? Kumekuwepo na trend ya wakuu wa nchi au wafuasi wao kujitokeza adharani au ktk mitandao yao ya kijamii kuomba kuombewa. Msingi wa swali langu Ni huu, ili kiongozi kufikia hali ya kuomba kuunganishwa na muumba wake kwaajili ya ufanisi wa kazi anakua amepitia changamoto...
  10. JamiiForums Tanzania Millennial na GenZ na Siasa za Nchi yetu

    Ikiwa tutaamua kufanya utafiti leo katika mitandao ya kijamii kama Facebook, Instagram, TikTok na mingine, utagundua kwamba Siasa za Nchi miongoni mwa vijana zimezimia kama siyo kufa. Content inayopandishwa mtandaoni kuhusu siasa miongoni mwa vijana hasa kwa vizazi viwili vinavyokaribiana yaani...
  11. P

    JamiiForums Tanzania Nchi imeoza. Kila kitu kinaenda mrama

    Tunashuhudia jinsi ambavyo mambo yanaenda ovyo kila mahali ukilinganisha na utawala wa marehemu JPM. Hali ni mbaya sana. Huyu Rais kwa kweli hatufai Watanzania. Hili ni jambo la wazi kabisa. Huduma za jamii zimedorora lkn kila kukicha tunaambiwa Serikali inakopa lakini matokeo hatuyaoni...
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume akamatwa akishiriki mashindano ya CHESS kama mwanamke

    Hii imetokea nchini Kenya. Dume limejifunika vazi la dini fulani ambalo kwa kawaida huvaliwa na wanawake, na likashiriki mashindano ya Chess kwa wanawake!! Kwa bahati mbaya kwake wakalishtukia!! Male chess player caught competing as woman The Kenyan man wore a hijab and signed up for the female...
  13. JamiiForums Tanzania Kamati za Siasa za CCM Mkoa na wilaya nchi nzima, kama njia ya kupinga ubadhirifu, washughulikie taasisi na watumishi waliotajwa na CAG

    CCM ndio wenye serikali, ilani ya CCM haikubaliani na matendo ya ubadhirifu. Ni wakati Sasa chama kijibainishe kwamba hao wabadhirifu wanawajibika binafsi, na chama hakikuwatuma, tena karibu wote, si wanachama wa CCM kwa mujibu wa ajira zao. Kuanzia ngazi ya wilaya, hawa wabadhirifu tuwaandame...
  14. JamiiForums Tanzania Wasomi wetu wanaisaliti nchi au CCM inawatumia wasomi wetu kuifilisi nchi?

    Tangu enzi za wizi wa Tangold na Meremeta, wizi wa fedha za Tegeta - Escrow na hata sasa wizi unaonekana kwenye Ripoti ya CAG, kila hatu ya wizi huo wahusika wakuu huwa ni wasomi wabobevu wa fani mbali mbali. Swali linaloibuka ni kwamba wasomi wetu wanaisaliti nchi kwa kushindwa kutumia elimu...
  15. JamiiForums Tanzania Kama nchi, ushoga tumeukataza na kuuadhibu kisheria. Kilichobaki ni utashi wa kuisimamia sheria husika, tuache porojo!

    Nimechukua muda wa kutosha kuisoma Sheria ya Kanuni ya Adhabu (Sura Na. 16 iyofanyiwa mapitio mwaka 2019) na kujiridhisha pasi na shaka kuwa, kama nchi-Tanzania, ushoga umekatazwa na kuadhibiwa vikali kwenye sheria hiyo. Ni vifungu vya 154 na 155 vya Kanuni ya Adhabu. Wahusika wote wa ushoga...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Ziara za viongozi wa nchi kubwa za magharibi zaonesha umuhimu wa China katika jukwaa la kimataifa

    Katika siku za hivi karibuni viongozi wa nchi za magharibi wamekuwa wakifanya ziara kadhaa nchini China, wakitafuta njia mbalimbali za kuhimiza ushirikiano kati ya nchi zao na China. Mwishoni mwa mwaka 2022 Chansela wa Ujerumani Olaf Scholz aliongoza ujumbe mkubwa kwenye ziara yake ya kwanza...
  17. JamiiForums Tanzania UVCCM ninyi ni watu huru, acheni uchawa. Mnatuharibia Nchi yetu

    UVCCM ni umoja uliowekwa na kulelewa katika misingi ya kuimba mapambio ya kusifu na kutukuza watawala hata pale pasipo stahili sifa. ACHENI. Anaandika Almaliki Mokiwa. Tuweke mkazo katika kuifahamisha jamii juu ya ujio wa hiki kirusi kipya kinacho itafuna nchi yetu taratibu kinachoishi chini...
  18. S

    JamiiForums Tanzania BBC: Special forces toka Marekani, Uingereza, na nchi za NATO wanapigana vita Ukraine, lakini wameshindwa kuikomboa Ukraine

    Documents zilizoliki za Pentagon zimeonesha kuwa wanajeshi wa vikosi maalumu toka Marekani, Uingereza, na nchi nyingine za NATO wapo uwanja wa vita Ukraine wakipigana na masecurity guards wa Urusi (wargner group). Cha kusikitisha na kuhuzunisha ni kuwa kwa zaidi ya mwaka sasa vikosi hivyo...
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa sasa Kenya ni nchi ya Kimaskini zaidi kuliko Tanzania, serikali ya Kenya yashindwa kulipa hata mishahara!

    Mficha maradhi kifo kitamuumbua, yawahi hayawi sasa yamekuwa, ukweli halisi umeanza kujionyesha huko Kenya, hali ya maisha ni mbaya mnoo, vijijini ukame unawaua, mijijini maisha yanawanyonga na sasa Serikali imeshindwa kulipa hadi mishahara watumishi wake. Kenya kumechoka na kuchakaa balaa...
  20. I

    JamiiForums Tanzania Nchi 20 zinazoongoza kwa uzalishaji wa gesi asilia duniani

    Ifuatayo ni orodha ya nchi 20 zinazoongoza kwa uzalishaji wa gesi asilia duniani, Tanzania gesi yetu ni cha mtoto. 1. Marekani 2. Russia 3. Iran 4. China 5. Canada nk. Endelea kusoma hapa chini: https://finance.yahoo.com/news/top-20-natural-gas-producing-135029977.html
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…