nchi

  1. Victoire

    JamiiForums Tanzania Machi 5-9 ni Qatar LDC's summit, Mkutano wa nchi 46 maskini Tanzania ikiwemo

    Jamani kama ni kulia leo nimelia, enough is enough, yaani miaka 60 plus ya uhuru bado tupo kwenye ‘Least developed countries?’ Jamani watanzania tuamke, wenzetu Kenya hawapo kwenye hii list
  2. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema na kitabu Nchi ya wasioona(The country of the blind)

    Kulikuwa na hekaya kuwa huko juu milimani kuna bonde ambalo wakazi wake wote ni vipofu. Siku moja mpanda milima mmoja kwa bahati mbaya aliteleza na kuporomokea kwenye bonde refu sana. Bonde lililokuwa limezungukwa na milima iliyosimama wima pande zote. Bahati akakuta kuna watu wanaishi...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mradi wa nguzo za umeme za zege umeishia wapi? Nchi ina vituko hii!!

    Bila shaka vita ilikuwa kubwa Sana. Na hatimaye wenye mashamba ya miti wameshinda. Siku hizi nguzo za zege siyo tu hazisambazwi bali pia haziongelewi tena. Yule bwana alikuwa na % yake kwenye viwanda vya nguzo hizo. Alipokufa kafa navyo. #Tanzania yangu!
  4. AbuuMaryam

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa elimu wa nchi yetu si salama kwa kizazi cha kesho. Ni hatari mno. Hebu tazama haya

    Mzazi unaweza unaweza ukajitahidi ukamlea mtoto katika maadili mema...Ila uhuni na utaahira...Ataupata shuleni...Shuleni ni sehemu kuu ya kuharibu watoto kitabia na kimaadili... Mimi ninafanya shughuli ya kukaa watoto kabla ya kwenda mashuleni...Tunawatengeneza vizuri tu kitabia na...
  5. MK254

    JamiiForums Tanzania Kamanda wa mkuu wa Jeshi la nchi kavu Ukraine, aitembelea Bakhmut

    Japo kamji kenyewe ka chumvi na hakana maana yoyote, lakini kwa namna Warusi wamejitoa mhanga ili kukateka, imeibua maswali, maana wanajeshi wa Urusi wanapukutika kwa mamia kila siku ila bado wanataka hako kamji, mkuu wa jeshi la nchi kavu amezuru ili kuandaa mikakati ya kuendelea kuua...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Kuanguka kwa Taifa la Marekani kwakaribia. Ni suala la muda tu; Mungu hawezi kuacha upuuzi wa nchi hiyo kuendelea

    Enzi na enzi, Mungu huchukizwa mno na ushoga! Na timbwili la kuanguka kwa Taifa hili kubwa Duniani_ inaanzia hapa. Mungu kuonyesha kwamba huchukizwa na upumbavu huo na havumilii kabisa kufuru hizo, aliwawasha moto Sodoma na Gomola. Kitendo cha Marekani kuacha misingi yake na kujikabidhi kwa...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Hili ni Swali Muhimu Kuhusu "Kufungua Nchi"

    Imenilazimu nilete mada fupi hapa, kuhusu hili swali ambalo limenitatiza, tokea nilipoona limeandikwa magazetini. Mimi siyo mtaalam wa haya mambo, kwa hiyo nategemea kupata mchango mahsusi toka kwa walio na upeo juu ya mambo haya. Nchi jirani imepata matatizo ya kupungukiwa na pesa ya kigeni...
  8. Jicholamwewe

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata connection nje ya nchi

    Wakuu poleni kwa majukumu. Bila kupoteza mda .naomba yeyote mwenye connection au anayefaham connection za kwenda nje ya nchi. Europe, USA pia Canada. Naomba anisaidie kazi yoyote nitafanya hata kubeba box.namejalibu sana kuapply kazi lakani bado sijafanikiwa na bado sijakata tamaa.picha hapo...
  9. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Dalili zipi zikionekana zitamaanisha deni la Taifa linaenda kutohimilika?

    Habarini. Kila siku tumekuwa tunaambiwa deni la nchi linahimilika deni linahimilika, tunakopesheka. Naogopa isije asubuhi moja tukashangaa tunaambiwa deni halihimiliki na hatukopesheki. Naomba kujua ni dalili gani zikionekana au hesabu za madeni zikikaa namna gani ni ishara kuwa deni...
  10. Nelson Jacob Kagame

    JamiiForums Tanzania Kati ya Urusi na Marekani ni nchi ipi inaongoza kwa vijana kwenda kutafuta fursa?

    Kati ya Urusi na Marekani ni nchi ipi inaongoza kwa watu duniani kuomba hifadhi. Hivi vijana wa dunia hii ukiwaambia wachague kuishi marekani au urusi,watakimbilia wapi?
  11. G

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata soko la mazao ya bustani nchi za nje

    Habari wanandugu, mimi ni kijana ninamiliki shamba lenye ekari 25. Nimeplan kulima kilimo cha umwagiliaji na nina tamani kusafirisha mazao yangu nje. Hivyo nilikua naomba kama kuna mwenye ABC za namna ya kupata markets nchi za nje anisaidie.
  12. Hemedy Jr Junior

    JamiiForums Tanzania Video chafu ya askari wa kiume akiingiliwa inaleta picha gani?

    Huyu askari kadharirisha jeshi la polisi kiukweli . Serikali inafumbia macho masuala haya why? huyu yuko na familia na watoto . Kuna watu wanasema tunamchafua kwani alikuwa kaelewa kusema labda kabakwa au katekwa amejitakia mwenyewe na unaonekana amejirekodi . Video ya pili anaonekana anapigiwa...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Marekani ndio nchi inayochunguza zaidi nchi nyingine duniani

    Hivi karibuni, puto moja la China ambalo lilifika Marekani kwa bahati mbaya lilisababisha wasiwasi mkubwa kuhusu “tishio la China” nchini Marekani. Mwishowe, jeshi la Marekani liliangusha puto hilo kwa kutumia ndege zake za kivita aina ya F22, na kutafuta mabaki ya puto hilo ili kuthibitisha...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Safari ya Rais Biden na Jinsi CIA walivyoandaa safari ya kijasusi Nchi Ukraine

    Mwezi wa pili wa mwaka 2023 ni mwezi ambao utaingia kwenye historia za Dunia ambapo idara nyeti ya usalama wa Taifa ikisaidiana na Pentagon walifanikisha safari nyeti ya Rais wa Taifa la Marekani na kuthibitishia ulimwengu kuwa wao sio wa viwango vya China au Urusi ila wao ni WA viwango vya juu...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rwanda yaongoza kwa Watu wake kuishi Umri Mrefu kwa Nchi za Afrika Mashariki

    Utafiti wa #UmojaWaMataifa (UN) na #BenkiYaDunia (WB), umeonesha maisha marefu yanategemea mambo 3 makuu: Maumbile, Jinsia, na Mtindo wa Maisha unaojumuisha Usafi, Chakula Bora na Mazoezi, Upatikanaji wa Huduma Bora za Afya, na Viwango vya Uhalifu. Hadi kufikia mwaka 2023 umri wa Binadamu...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Nchi nyingi za Afrika zasema hapana dhidi ya Marekani

    Tukiuliza kama kuna nchi yoyote ambayo inajaribu kutawala dunia, watu wengi watajibu ni Marekani. Katika miaka ya hivi karibuni, Marekani imedai "kurudi tena Afrika", lakini kwa lengo halisi la kudumisha nguvu zake za kijeshi, kiuchumi na kiteknolojia. Juu ya hilo, nchi za Afrika zinajua vya...
  17. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Nchi yenye watu wenye rangi, dini au kabila tofauti inaweza kustawi?

    Hivi inawezekana kwa nchi yenye watu tofauti ikastawi. Maana kwa kuangalia harakaharaka naona nchi karibu zote ambazo zina usalama na zimeendelea ni zile ambazo watu wa rangi, dini na lugha moja wanakaa pamoja. Kuna exceptions chache sana. Ni kama haiwezekani kwa nchi yenye diversity kubwa...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Sasa kama kumbe Kutokukoma kwa Teuzi ni Agenda ya Siri ya CCM kuwa kila mwana CCM lazima ale Keki ya nchi kwanini msiseme tu?

    Nasikia umeshauriwa na Mtu unayemuamini na kumsikiliza mno kuwa ili mwaka 2025 upate Uungwaji mkono na wana CCM wote hakikisha kila mara unawapa Ulaji ili Waibe na Wajitosheleze kisha unawapa na Fursa hiyo hiyo na Wengine ili wapige na hadi hiyo 2025 wasije Kukulaumu. Nimedokezwa kuwa kati ya...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa nchi kutuambia Wananchi kuwa Mawaziri na Makatibu wa Wizara Wanagombana kuna faida gani Kimaendeleo?

    Sasa kama Wewe Kiongozi umeshindwa Kuwapatanisha wakati Unawamudu na ndiyo Umewateua kuwa hapo kwa Kukurupuka Kwako pasi na kuwafanyia Vetting au Kutokubali Ushauri wa Wasaidizi wako unataka Sisi Wananchi tuseme nini? Hebu acheni Kutusanifu Wananchi.
  20. Z

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni nchi muhimu strategically

    Umuhimu wa Tanzania strategically: 1) Ni nchi muhimu kwa waarabu (Misri na Sudan Kaskazini) kwasababu sehemu kubwa ya ziwa Victoria iko TZ na sehemu kubwa ya maji ya mto White Nile yanategemea ziwa hilo. Pia mto Kagera unao ingia ziwa Viktoria unapitia Tanzania. Zanzibar iko TZ (muhimu kwa wa...
Back
Top Bottom