Finland waanza mbinu za kuepuka gesi ya Urusi, jameni Putin anazidi kuzika nchi yake kiuchumi na kijeshi

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,675
48,450
Hamna kizuri uja kwenye kupoteza biashara, hata ujipige kifua mara ngapi, ukipoteza mteja hata mmoja ni hasara sana. Bara Uropa lote linakimbia gesi ya Mrusi.

Like many countries in Europe, Finland is looking to liquified natural gas (LNG), to replace the mainly pipeline-transported gas it used to receive from Russia.

The Nordic country's first floating liquefied natural gas terminal was moored on Wednesday at the southern port of Inkoo.

The massive 291-metre-long and 43-metre-wide offshore support vessel Exemplar, which sailed to the Baltic Sea from Gibraltar earlier in December, has a capacity of 68,000 tons of LNG. It is scheduled to be in operation from next year.

AA15KMFk.img
 
Magufuli alipokuwa akisema vita vya kiuchumi ni vibaya zaidi ya vita vyote ulimwenguni mlimuona stupid eeeeh.
Ushahidi ndio huo sasa lakini naamini obstacle is the way. Mrusi awezi kukosa Plan B baada ya Plan A kufeli.​

Hapakua na ulazima hata wa hiyo plan A, usiifanyie dunia ubabe maana waliothubutu ubabe tunawasoma kama historia walishajifia, Putin alikua ameiweka Urusi pazuri, ameharibu kila kitu.
 
Hapakua na ulazima hata wa hiyo plan A, usiifanyie dunia ubabe maana waliothubutu ubabe tunawasoma kama historia walishajifia, Putin alikua ameiweka Urusi pazuri, ameharibu kila kitu.
It easy to judge something, for what you see and hear western broadcast lies.
sometimes things are not what they seem.
 
Ujerumani ndio biggest importer, hadi Ujerumani na Ulaya yote itakapopata mbadala wa gesi ndipo Putin atakua kapata pigo
Hili litachukua muda, miaka 5 au zaidi
 
MAREKANI na NATO wamepigana miaka kumi NATO na MAREKANI wakakimbia Kwa hiyo hana nguvu USA VS IRAQ 1990 -1991 MAREKANI ALICHAPIKA MPAKA AKAKIMBIA
 
Mkuu, hakuna chanzo kipya cha gesi kinachoweza kujaza nafasi ya Urusi kamwe kwa miaka mitano ijayo.

Kinachofanyika kwa sasa ni kununua gasi ya Urusi kupitia wakala au nchi zingine. Mfano China, india Turkiye na hata US wananunua gasi ni kuiuza kwa bei ya Juu kwa umoja ulaya.

Na mrusi anafurahia, maana anaendelea kuuza yena anawapa discount kubwa ili wapate faida kubwa.

Hii price cap ya juzi ni kufanya brokers wanunue kwa bei ndogo ili bei ipungue lakini bado
 
It easy to judge something, for what you see and hear western broadcast lies.
sometimes things are not what they seem.

Tatizo huwa mko obsessed na Western yaani kila mkikumbana na masaibu yoyote mnabwaka death to America death to Israel.
Putin has no excuse for all this mess, no matter how you twist it, and it's getting worse day by day.
 
Hamna kizuri uja kwenye kupoteza biashara, hata ujipige kifua mara ngapi, ukipoteza mteja hata mmoja ni hasara sana. Bara Uropa lote linakimbia gesi ya Mrusi.

Like many countries in Europe, Finland is looking to liquified natural gas (LNG), to replace the mainly pipeline-transported gas it used to receive from Russia.

The Nordic country's first floating liquefied natural gas terminal was moored on Wednesday at the southern port of Inkoo.

The massive 291-metre-long and 43-metre-wide offshore support vessel Exemplar, which sailed to the Baltic Sea from Gibraltar earlier in December, has a capacity of 68,000 tons of LNG. It is scheduled to be in operation from next year.

AA15KMFk.img
Waliozikwa kwanza ni nchi koloni na nyemelezi za Ulaya japo hawataki kukiri. Angalia Marekani ilivyolazimika kuramba matapishi yake kwa kujifanya inaisamehe Venezuela ukiachia mbali kuifumbia macho Iran. Unadhani bila vita ya Urusi wala mahayatollah wa Iran wangekuwa salama?
 
Vikwazo vimewalemea wenyewe walioviweka uchumi wao umeshuka kuliko urusi
Hivi nato ina nchi ngapi na dunia ina nchi ngapi mpaka Russia isiuze gesi?
 
Kupoteza magenereli zaidi ya kumi, na makanali zaidi ya 50 na askari zaidi ya laki moja ni pigo kubwa sana kwa Urusi. Sasa hivi wameanza kufundisha jeshi jipya la askari milioni moja kutoka vijijini huko kwenye umaskini.
 
Back
Top Bottom