nchi

  1. chiembe

    JamiiForums Tanzania Nikifa miradi hii nani ataiendeleza: Hayupo, na nchi inasonga na miradi kedekede

    Nimekumbushia kauli hii tukielekea kwenye maadhimisho. Ni kauli inayoweza kutolewa na mtu ambaye haamini taasisi, aliamini yeye ni zaidi ya taasisi na zaidi ya Kila mtu, Mungu alivyo fundi, miradi inaendelea, tena anayeendeleza mwanamama.
  2. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Uzinzi limekuwa tatizo kubwa kwa nchi yetu, laana hii itatuingiza kwenye majanga makubwa ndio maana mvua hazinyeshi

    Isaya 10:27 maandiko matakatifu yanasema mungu ataondoa mzigo na nira mabegani mwetu lakini nimetafakari sana nira na mzigo ambao nchi yetu imeubeba nimegundua ni uzinzi. Nchi hii watu wanazini kupitiliza na Sasa ushoga umepamba moto !watu wanaumizana ndoa zinavunjika kwa sababu ya uzinzi...
  3. Mcanada

    JamiiForums Tanzania Kama uko smart kichwani, usiishi Tanzania. Nenda kaishi moja kati ya hizi nchi 10 utanishukuru baadaye

    Moja kati ya mambo niliyojifunza kwenye maisha yangu mpaka sasa ni mengi na bado naendelea kujifunza kupitia njia mbalimbali lakini mambo makubwa niliyojifunza yametokana na kusafiri nchi tofauti tofauti kikazi na vacations hasa Africa, Ulaya na Amerika, kwasasa nina miaka 34 na nimeshafanikiwa...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Wachina ndio wana mamlaka ya kutatua suala la Taiwan na hakuna nchi yoyote yenye haki ya kuliingilia kati

    Ni muda mrefu sasa nchi za Magharibi hasa Marekani zimekuwa zikiichokoza China ama hata kufikia kuirushia maneno makali kwa sababu tu ya suala la kisiwa cha Taiwan. Uchokozi huu mara nyingi huwa wanafanya kwa kuichochea ama kuihamasisha Taiwan ijitenge na China huku nchi hizo zikisahau kwamba...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ripoti WHO: 73% ya Nchi duniani hazina Sera ya kupunguza Matumizi ya Chumvi, Vifo Milioni 5 vinatokea kila mwaka

    Ripoti mpya ya Shirika la Afya Duniani (WHO) iliyotoka leo Machi 9, 2023 kuhusu Udhibiti wa Matumizi ya #Chumvi hasa ya kuongeza wakati wa Kula (Chumvi ya Mezani), imeonesha dunia iko chini ya malengo yaliyowekwa hadi kufikia mwaka 2025 kwa 30%. #WHO imesema kuwa ni 5% tu ya Nchi Wanachama wa...
  6. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Masomo ya Arts ni muhimu nchini

    Viongozi wote waliofanya vizuri ni waliosoma Arts katika Level kubwa za Urais. Kitendo Cha Mtu kuwa Rais na hajui kingereza madhara yake ni kujifungia ndani na kushindwa kuinganisha nchi na mataifa ya nje. Tuwekeze Sana katika haya masomo ili tuondoe tatizo la watu kukosa lugha ya mazungumzo...
  7. Abdalah Abdulrahman

    JamiiForums Tanzania Kwa shangwe za wafuasi wa CHADEMA jana Rais Samia njia ni nyeupe 2025

    Siku ya jana inamwingiza tena kwenye historia ya Tanzania na Dunia Mama yetu kipenzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kwa kudhihirisha ujasiri, utu na upendo wake kwa Watanzania wote kwa kile kitendo cha kuhudhuria kama Mgeni Rasmi sherehe za Siku ya Wanawake...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Bodaboda ni ajira China na nchi nyingine. Ni aibu kwa Lissu kama kiongozi kupotosha Umma

    Wengine wanafikiri bado tupo kwenye zile zama za ulimbo na ulimbombo, zile zama za kuambiwa Jambo na kukubali bila kujiridhisha. Wanaofanya hivyo wanatambua watanzania ni wavivu sana wa kutafuta ukweli hivyo lolote analosema linabebwa kama lilivyo. Kitendo Cha Lissu kusema China hakuna...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Je, hotuba ya Mwenyekiti wa CCM 08/03/23 italenga kujenga nchi au kujiimarisha kisiasa?

    Mbowe anawaza kujenga nchi Bila kujali madhara kisiasa Kwa chama chake. Amefanya hivyo kila anapoingizwa majaribuni na watawala. Upande wa pili viongoz WA CCM mara zote wamekuwa wakimtumia Mbowe kama mtaji WA kisiasa, kila anapowapa nafasi nakuimarisha ustawi wa nchi wao utumia mwanya huo...
  10. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Mbona Marais ninaowasikia wanapinga 'Ushoga' katika nchi zao ni Museveni na Ruto tu? Wengine mbona hatuwasikii?

    Mambo ya watu wawili chumbani wewe yanakuhusu nini? Kwanini Mashoga waonekane ni wabaya harafu wanaowala hao Mashoga probably mtoa mada muonekane wajanja?
  11. K

    JamiiForums Tanzania Hii ni sarafu ya nchi gani na ina thamani gani?

    Eti wakuu,hii ni sarafu ya nchi gani na iko na value gani?
  12. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni binadamu mwenye dalili zote za kutufikisha nchi ya ahadi. Mkimpuuza huyu itapita miaka 100 hajapatikana mwingine!

    Katika vitabu vitakatifu Abraham au Ibrahim alipewa ahadi na mungu ya kumbariki uzao mkubwa kama mchanga wa baharini kwa sharti Moja tu .akubali kuondoka katika nchi ya baba zake ukaldayo aende kuishi kwenye nchi mpya kabisa ya kanaani. Pamoja na ahadi nyingine kedekede kama atakuwa tajiri wa...
  13. Olaigwanani lang

    JamiiForums Tanzania Kwa Mamlaka za nchi na Watanzania wote, hali ya kufunga barabara inaudhi sana

    Kuna kitu hakipo sawa Tanzania na inasababisha sisi Wananchi tuichukie nchi yetu alafu viongozi wanatusisitiza eti tuwe wazalendo. Ni zaidi ya dakika 50 sasa barabara ya moshi Arusha imefungwa magari yapo foleni isiyo na mwisho eti kisa rais anahutubia USA njiani, hivi kama unataka kuongea na...
  14. Victoire

    JamiiForums Tanzania Machi 5-9 ni Qatar LDC's summit, Mkutano wa nchi 46 maskini Tanzania ikiwemo

    Jamani kama ni kulia leo nimelia, enough is enough, yaani miaka 60 plus ya uhuru bado tupo kwenye ‘Least developed countries?’ Jamani watanzania tuamke, wenzetu Kenya hawapo kwenye hii list
  15. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema na kitabu Nchi ya wasioona(The country of the blind)

    Kulikuwa na hekaya kuwa huko juu milimani kuna bonde ambalo wakazi wake wote ni vipofu. Siku moja mpanda milima mmoja kwa bahati mbaya aliteleza na kuporomokea kwenye bonde refu sana. Bonde lililokuwa limezungukwa na milima iliyosimama wima pande zote. Bahati akakuta kuna watu wanaishi...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Mradi wa nguzo za umeme za zege umeishia wapi? Nchi ina vituko hii!!

    Bila shaka vita ilikuwa kubwa Sana. Na hatimaye wenye mashamba ya miti wameshinda. Siku hizi nguzo za zege siyo tu hazisambazwi bali pia haziongelewi tena. Yule bwana alikuwa na % yake kwenye viwanda vya nguzo hizo. Alipokufa kafa navyo. #Tanzania yangu!
  17. AbuuMaryam

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa elimu wa nchi yetu si salama kwa kizazi cha kesho. Ni hatari mno. Hebu tazama haya

    Mzazi unaweza unaweza ukajitahidi ukamlea mtoto katika maadili mema...Ila uhuni na utaahira...Ataupata shuleni...Shuleni ni sehemu kuu ya kuharibu watoto kitabia na kimaadili... Mimi ninafanya shughuli ya kukaa watoto kabla ya kwenda mashuleni...Tunawatengeneza vizuri tu kitabia na...
  18. MK254

    JamiiForums Tanzania Kamanda wa mkuu wa Jeshi la nchi kavu Ukraine, aitembelea Bakhmut

    Japo kamji kenyewe ka chumvi na hakana maana yoyote, lakini kwa namna Warusi wamejitoa mhanga ili kukateka, imeibua maswali, maana wanajeshi wa Urusi wanapukutika kwa mamia kila siku ila bado wanataka hako kamji, mkuu wa jeshi la nchi kavu amezuru ili kuandaa mikakati ya kuendelea kuua...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Kuanguka kwa Taifa la Marekani kwakaribia. Ni suala la muda tu; Mungu hawezi kuacha upuuzi wa nchi hiyo kuendelea

    Enzi na enzi, Mungu huchukizwa mno na ushoga! Na timbwili la kuanguka kwa Taifa hili kubwa Duniani_ inaanzia hapa. Mungu kuonyesha kwamba huchukizwa na upumbavu huo na havumilii kabisa kufuru hizo, aliwawasha moto Sodoma na Gomola. Kitendo cha Marekani kuacha misingi yake na kujikabidhi kwa...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Hili ni Swali Muhimu Kuhusu "Kufungua Nchi"

    Imenilazimu nilete mada fupi hapa, kuhusu hili swali ambalo limenitatiza, tokea nilipoona limeandikwa magazetini. Mimi siyo mtaalam wa haya mambo, kwa hiyo nategemea kupata mchango mahsusi toka kwa walio na upeo juu ya mambo haya. Nchi jirani imepata matatizo ya kupungukiwa na pesa ya kigeni...
Back
Top Bottom