nchi

  1. JamiiForums Tanzania Faidika na Darsa la FaizaFoxy 2: Orodha ya nchi zilizo na hifadhi ya mafuta iliyothibitishwa.

    Orodha ya nchi zilizo na hifadhi ya mafuta iliyothibitishwa Akiba ya mafuta iliyothibitishwa ni zile kiasi cha mafuta ya petroli ambayo, kwa uchanganuzi wa data ya kijiolojia na uhandisi, inaweza kukadiriwa, kwa uhakika wa hali ya juu, kuweza kurejeshwa kibiashara kuanzia tarehe fulani kwenda...
  2. JamiiForums Tanzania Zijue nchi za Africa na majina yake bandia

    Some AFRICAN Countries and Their Slogans! • South Africa – Rainbow Nation 🇿🇦 • Rwanda – Land of a Thousand Hills🇷🇼 • Madagascar – The Red Island 🇲🇬 • Lesotho – The Kingdom In the Sky 🇱🇸 • Egypt – The Gift of the Nile 🇪🇬 • Burkina Faso – Land of the Upright Men🇧🇫 • Ghana- The gateway to...
  3. S

    JamiiForums Tanzania SoC03 Mambo ya kuzingatia ili kupandisha uchumi wa nchi na wananchi pamoja na kupandisha thamani ya pesa ya Tanzania

    Nawasalimu Kwa jina la Muungano wa Tanzania.Ni matumaini yangu kuwa mmejibu Kazi iendelee. Katika makala hii leo napenda kuzungumzia vitu ambavyo vinafanya uchumi wa nchi kuimarika bila kusahau jinsi ambavyo thamani ya pesa yetu itakavyoweza kupanda na kuwa moja kati ya pesa zenye thamani...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nchi ya maziwa na asali

    Majuzi nimelisikia Bunge letu tukufu wakijadili hoja ya URAIA PACHA na HADHI MAALUM kwa kina sana lakini yaonyesha wazi viongozi wetu hawajui maana wala tofauti ya mifumo hii miwili japokuwa ni wasomi wazuri. Kwa sababu hizi inanilazimu kuufahamisha Umma, viongozi na Wabunge wanaojadili hoja ya...
  5. JamiiForums Tanzania Tutake tusitake siasa za nchi hii ni majitaka na za kiyawani! Katiba mpya ni lazima

    Siasa za nchi hii zimekuwa za kijinga sana aisee mbaya zaidi hata wananchi wenyewe wamekuwa kama mbwa koko hawawezi kuuma yaani wapowapo yaani hawana hili wala lile kila uchwao kulalamika tu bila action yoyote yaani wamekuwa wajinga tu yaani wao ni kulalamika tu! Huu ujinga wa kulalamika...
  6. JamiiForums Tanzania Nchi nyingi nilizotembelea mikate ni chakula ila huku kwetu ni kitafunwa

    Kweli kila nchi na tamaduni zake, msosi pia ni sehemu ya tamaduni. Wakati bongo tunajivunia chipsi yai, au supu chapati usichukulie poa, Mrisho Ngasa na Kapombe walishindwa kucheza Ulaya kisa chipsi yai. Turudi kwenye mada, nikiwa Cape town, nilishuhudia watu wakila soda na mikate kama mlo...
  7. JamiiForums Tanzania Naam, kwa mwenendo huu CCM inajifuta kwenye siasa za Tanzania

    Mimi ni mtu wa kawaida sana. Kauli hii inaweza usiione ina impact kubwa Inawezekana kabisa nisiione keshokutwa yangu, lakini nimejidhihirisha kuwa sauti yenye Mamlaka imeshatamka niliyoandika kwenye kichwa cha uzi huu. Tumezoea kuishi kwa hofu. Mkuu wa chama ndiye amiri Amiri anaapa kwa kutii...
  8. JamiiForums Tanzania Nipo Tayari kukosolewa: Hadi sasa Hakuna mtandao maarufu uliopangika zaidi ya JamiiForums kwa nchi zote za Sub saharan Africa

    Ni kweli Jamii forum bado inaweza kuonekana ya kawaida katika level za dunia lakini nathubutu kusema kwamba katika level zetu za hapa Africa, huu ndio mtando wenye wafuasi wengi na uliopangilika zaidi, Najua wanaijeria wana forum yao inaitwa Nairaland.com, ni kongwe zaidi na ina members wengi...
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini nchi za mashariki ya kati hazikauki vita/migogoro?

    Sina chuki, nahitaji tu kufahamu, ni wanachonganishwa au ni nini? Kama miaka miwili hivi kidogo kulitulia ukiachana na Syria ambayo bado inamgogoro, Sasa siku kadhaa zilizopita naona Taliban wanataka kukuanzisha na Iran. Kuna ugumu gani hizi nchi za kiarabu/kiislamu kuishi kwa amani ? Je...
  10. JamiiForums Tanzania Video: Watu wa namna hii wanapatikana wapi katika hii Nchi?

    Inashangaza halafu inahuzunisha, inafikirisha, inasikitisha, inaumiza sana. Unaweza uliza hawa watu wa hivi wanapatikana wapi nchini.
  11. JamiiForums Tanzania Tangu nchi imepata uhuru, Jenerali Abdallah Twalipo ndio CDF pekee kutokea upande ule, shida nini?

    Jenerali Abdallah Twalipo aliteuliwa kushika madaraka ya u- CDF february 13, 1974 mpaka Novemba 8, 1980. Chini ya uongozi wake alishuhudia na kushiriki vita ya Kagera bara baada ya uvamizi wa Nduli Idd Amin Dada. Jenerali Twalipo alipostaafu, kuna kambi moja Dar es Salaam inayotumika kuaga...
  12. JamiiForums Tanzania Moja ya maeneo hatari nchi hii ni uwanja wa Benjamin Mkapa

    Huu uwanja ni moja ya sehemu hatari sana kwa maisha ya watanzania. Wakati wa mazishi ya JPM inasemekana watu arobaini walifariki kwa kukanyagana. Hatujui majeruhi walikuwa wangapi. Jana wakati wa mechi ya yanga inadaiwa kafa mmoja na majeruhi thelathini. Bado hapo ambao hupigwa na askari karibu...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Fasihi ya Mtandaoni ya China yaleta mageuzi makubwa na kupanua soko lake la wasomaji hadi nje ya nchi

    Fasihi ya Mtandaoni ya China imefanikiwa kukonga nyoyo za wasomaji duniani kote kutokana na mtindo wake wa kipekee wa kusimulia hadithi, mandhari na kuchanganya mambo tofauti ya kitamaduni. Inatoa mtazamo mpya na unaovutia juu ya fasihi ya China, inayozingatia mambo mbalimbali yanayoteka...
  14. JamiiForums Tanzania Wakuu wa Nchi 20 kuhudhuria uapisho wa Rais wa Nigeria leo

    Baadhi ya Viongozi Wakuu waliowasili jijini Abuja ni pamoja na Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania, Paul Kagame (Rwanda), Cyril Ramaphosa (Afrika Kusini), Abdelmadjid Tebboune (Algeria) na Denis Sassou Nguesso (Jamhuri ya Congo). Wengine ni Umaro Sissoco Embalo wa Guinea Bissau, Julius Maada...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Ujinga ni kizingiti kikuu kwa Hatma ya hili nchi

    Anasema mwanazuoni: Karibu Tanzania ambako wajinga ndiyo werevu na werevu ndiyo wajinga.
  16. JamiiForums Tanzania SoC03 Utawala Bora ni Haki kwa Nchi Huru

    UTAWALA BORA NI HAKI KWA NCHI  HURU Utawala Bora ni mchakato wa kupima ni kwa jinsi gani taasisi za umma, zimeshughulika na Mambo ya umma kwa ufanisi na kutambua haki za binadamu na maadili ya kutotumia mamlaka vibaya kwa watumishi wa umma na kutojihusisha na vitendo vya rushwa na kuwepo...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Kwa hiki kilichototea bungeni. Je, kwa ubabe huu tunahitaji katiba mpya au Watanzania tuamke tudai nchi yetu?

    Habari jf, Hiki kiilichotokea bungeni sio mara ya kwanza kwa mambo kupitishwa kwa nguvu. Sasa kwa huu ubabe unaona kabisa katiba mpya inaweza isiwe suluhu ya hili tatizo . Bil 47 za posho zimepitishwa kwa nguvu ,watanzania tuko kimya hivi tunashida gani ? Hawa CCM watakuja mitaani ambako...
  18. JamiiForums Tanzania Strategic spinning na upanzi wa fikra katika jamii ni hatarishi kwa udumavu wa nchi

    Habarini nyote. Wasilisho la Wadiz a.k.a Baharia Kipimo cha jamii na nchi ni pamoja na akili za watu hasa katika nyanja ya kumbukumbu na kujadili mambo yenye tija kwa kirefu. Sambamba na hilo kinyume chake jamii na nchi dumavu hasa kifikra na dira za kimaendeleo hudekeza usahaulifu ama...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini Sharia law haifai kuwekwa katika katiba ya nchi aina ya Secular state

    Sharia Law ni muunganiko wa sheria zinazomuongoza Mwislamu maisha yake yote. Sharia ya Kiislamu Ina hasara kubwa kwa atu wasio waumini wa Kiislamu hasahasa Wakristo na nitazioanisha hapa kama zifuatavyo. Inaminya uhuru wa kuabudu: Hakuna uhuru wa kuabudu Kwa watu wasiokuwa Waislamu katika nchi...
  20. I

    JamiiForums Tanzania Nchi 10 za kiafrika zilizoongoza kwa uzalishaji wa maliasili mbalimbali kwa mwaka 2022

    Ifuatayo ni orodha ya mataifa 10 ya kiafrika yaliyo ongoza kwa uzalishaji wa maliasili mbalimbali kama Madini, Mafuta Ghafi nk kwa mwaka uliopita 2022 kwa bahati mbaya Tanzania sio miongoni mwa mataifa hayo pamoja na kwamba tunaambiwa kwamba nchi yetu ni moja ya nchi tajiri sana Afrika kama sio...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…