nchi

  1. Superbug

    JamiiForums Tanzania Je, unajua ndani ya idara za usalama na ujasusi kote duniani kuna idara ya kumdhibiti kiongozi wa nchi?

    Idara zote za usalama wa nchi kuna idara ya ndani ambayo jukumu lake kuu ni kumdhibiti sponsor. Kwa maslahi ya nchi. Idara hii ni ndogo na ya hatari mno na wote waliomo ni unnyonimous hata kwa wao wenyewe! Jukumu lao ni la hatari pia kwasababu kunapotokea ulazima wa kumu eliminate sponsor...
  2. R

    JamiiForums Tanzania La CAG limeisha, maisha yanaendelea. Wapigaji wanawekeza kwenye miradi yao, Bahari imetulia. Nchi hii ngumu sana

    1. Tule tunywe tufurahi, la CAG limeisha bahari imetulia. Walioiba wanapanga miradi gani wawkeze, zizae maisha yaendelee wao na wanao wahusu. 2. Mama Amemaliza kila kitu kwa neno moja tu la stupid.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tundu Lissu aliitwa ‘Chief Whip‘ Opposition Leader ndani na nje ya Nchi?

    Wakuu tukirudi nyuma kidogo kwenye siasa za Bongo hapo nyuma kulikuwa na siasa za Weka chuma niweke Ugoko. Jambo moja ninalokumbuka huyu bwana anayeitwa Tundu Lissu alitambulika na kupata umaarufu na hatimaye Vyombo vya habari vya ndani na nje ya Nchi vilimtambua kama Chief Whip Opposition...
  4. Suley2019

    JamiiForums Tanzania NADHARIA Ugonjwa wa UVIKO-19 unadaiwa kurejea kwa kasi nchini

    Salaam Ndugu zangu, Zipo tetesi zimesambaa katika maeneno mbalimbali kwamba ugonjwa wa Covid-19 umerejea nchi. Kwa sisi tunaoishi Dar tunashuhudia kulipuka kwa mafua makali yakiambatana na kikohozi fulani na homa. Je kuna ukweli kiasi gani kwenye hili? Jamiiforums tunaomba mtusaidie kuuliza...
  5. Jugado

    JamiiForums Tanzania Kwanini nchi za Magharibi zinaisaidia Ukraine silaha bila kificho lakini huzishutumu nchi zingine zinazoisaidia Urusi?

    Kama kichwa cha thread kinavyoonesha, sishabikii vita ila inaonekana nchi za Magharibi na Marekani ni tishio sana kila anaemsaidia Urusi hufanya hivyo kisiri siri!. West hujiona wapo sahihi kwa Kila kitu na wanataka mtazamo/maadili yao uwe mtazamo wa dunia yote. Hivi dunia haiwezi kuwepo bila...
  6. Mabula marko

    JamiiForums Tanzania SoC03 Uhai wa kilimo na mifugo yangu katika nchi yangu

    Uhai wa kilimo na mifugo yangu katika nchi yangu Utangulizi Tunapozungumzia kilimo na mifugo katika nchi yetu ya Tanzania tunagusa Nyanja ambazo kwa muda mwingi zimebaki kuwa mihimili ya vyanzo vya mapato kwa jamii nying sana za kitanzani shughuli hizi mbili daima zimekuwa na mchango mkubwa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Sasa ni wazi kuna Mgawanyiko, Kundi la Hayati Magufuli na kundi la Walamba Asali

    Baada ya msiba wa Bernard Membe kutangazwa kumekuwepo na mpasuko wa wasi kati wafuasi wa Hayati Magufuli na walamba asali ya serikali ya awamu ya sita maarufu kama MSOGA GANG. Kundi la Hayati Magufuli linajumuisha wavujajasho na watu wenye subiri Kundi la walamba asali linajumuisha vyombo vya...
  8. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania CCM imejipangaje kupambana na Mabadiliko ya Tabia nchi??

    Ukifuatilia kwa makini mabadiliko ya Tabia nchi yamepiga hodi nchini mwetu. Lakini naona kama chama kilichoko madarakani hakina mkakati mahsusi wa kupambana na matokeo ya mabadiliko ya Tabia nchi kwa jamii ya Watanzania. CCM ina mkakati gani wa kupambana na mabadiliko ya Tabia nchi na matokeo...
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Serikali yaagiza Dawa za Kutibu Homa na Kuhara kwa Watoto zitolewe bure Nchi nzima

    Agizo hilo limetolewa na Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu leo Mei 12, 2023 Bungeni Dodoma kwenda kwa Waganga wa Wilaya na Mikoa Nchini kote akiwataka kusimamia utoaji wa Dawa hizo kwa Watoto wenye chini ya miaka 5. Waziri Ummy amesema Dawa hizo zikiwemo Kidonge Myeyuko cha 'Amoxicillin', Zinc na...
  10. E

    JamiiForums Tanzania SoC03 Nchi isogiza

    Sauti ya nyenje na wadudu wengine iliendelea kunisindikiza taratibu kuelekea nisipopajua. Safari yangu niliyoifanya wiki moja ilinichosha na kunipotezea matumaini. Jua lisilokoma liliendelea kujenga uzio mkubwa kichwani mwangu. Adha zote hizi zilizalishwa na upepo wa “ijue dunia” Uliovuma kutoka...
  11. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Nchi ambazo wafanyakazi hulipwa mishahara minono Africa

    Top 10 African countries where workers earn the highest average salaries 1)- Morocco 🇲🇦: $2,031. 2)- South Africa 🇿🇦: $2,026 3)- Tunisia 🇹🇳: $1,348 4)- Kenya 🇰🇪: $1,291 5)- Algeria 🇩🇿: $1,273 6)- Namibia 🇳🇦: $1,168 7)- Botswana 🇧🇼: $1,000 8)- Nigeria 🇳🇬: $814 9)- Ghana 🇬🇭: $748 10)-...
  12. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Kwanini mazao yote ya kibiashara tunategemea kuuza nje ya nchi?

    Kabla ya Mwaka 1968 Tanzania ilikuwa ni mojawapo ya nchi yenye akiba kubwa ya fedha za kigeni. Zaidi ya asilimia 40 ya fedha hizo zilitokana na kuuza nje zao la Mkonge. Bei ya zao la mkonge lilipoporomoka na uchumi wa Tanzania nao ukatisika. Ni kwa nini soko la ndani siyo imara sana na la...
  13. Rashda Zunde

    JamiiForums Tanzania Tanzania nchi salama kwa uwekezaji

    Kutokana na uwepo wa mazingira salama nchini yaliyotengenezwa na Rais Samia Suluhu Hassan, uwekezaji nchini umeongeza na hili linathibitika kwa idadi ya miradi iliyosainiwa kuanzia mwezi Julai 2022- Machi 2023. Miradi iliyosainiwa mwezi Julai 2022- Machi 2023 Sekta ya Uzalishaji viwandani...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Namna ya kupata paypal akaunti yenye uwezo wa kupokea fedha nje ya nchi

    Pengine ulikuwa unasumbuka namna ya kufungua akaunti yenye uwezo wa kupokea malipo nje ya nchi. Ila leo nmekuja na suluhisho. Hauhitaji kuwa na laini ya kenya au kitu kingine. Cha muhimu ni uwe na kitambulisho chako cha taifa. Unaweza ukapata fursa ya kufungua stripe akaunti pia. Taarifa zako...
  15. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Kutokutunzwa kwa kumbukumbu za nchi ndiko kunakosababisha Magufuli aonekane Shujaa kuliko wenziwe

    Alipokuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania, John Pombe Magufuli alitamani kila mradi uitwe kwa jina la Julius Kambarage Nyerere. Ni kama vile aliamini kuwa hakuna aliye bora kati ya Marais watatu wengine waliomtangulia, yaani Ally Hassan Mwinyi, Benjamini Mkapa au Jakaya Mrisho Kikwete...
  16. Mabula marko

    JamiiForums Tanzania SoC03 Nikufanyie nini ee nchi yangu kipenzi?

    Habari za wakati huu ndugu Kulikuwa na kijana mdogo aliyeitwa kaswahili, mzaliwa wa kijiji kidogo kutokea katika nchi ya Tanzania, kijana huyu alitamani sana kuiona Tanzania ikiwa nchi bora Zaidi kwa kila mtu kwani kaswahili alichoshwa sana na malalmiko ya wazazi wake pamoja na wazee wa pale...
  17. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Serikali inafahamu kuwa kwa kuwapatia watu wake passport kunaweza kuwahamasisha kutafuta fursa nchi zingine?

    Mwanzoni mwa mwaka huu, nilienda Mutukula kufanya manunuzi ya vitu fulani. Niliamua kuvifuata huko kwa sababu niliamini bei ni nafuu zaidi kuliko nilikokuwa. Kuna wafanyabiashara wanaofuata mizigo yao huko. Ikiwa wao wanafuata huko na kuja kutuuzia tuliko, nilijua, kwa vyo vyote, bei ingekuwa ni...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Tanzania kupunguza uagizaji vifaranga nje ya nchi

    Mwaka 2022/2023 Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan, imewezesha uwekezaji wa shamba la kuzalisha kuku wazazi halisi (Grandparent Stock) lenye uwezo wa kufuga kuku 60,000 na kuzalisha mayai ya kuku wazazi halisi 40,000 kwa siku, uwekezaji huu utapunguza uagizaji wa vifaranga nje ya nchi...
  19. Petro Masunga

    JamiiForums Tanzania SoC03 Katika ujenzi wa nchi

    nchi yetu, itakuwa na vijana wenye kujikimu kimaisha iwapo tu tutajitambua kwamba sisi ndiyo wajenzi wa nchi. tukijua kwamba sisi ndiyo wategemewa wa kesho, fursa zilizopo katika jamii yetu ni nyingi mno. za kutosha kujipatia kipato. kijana aliye jitambua hachagui kazi eti amesomea nini, bali...
  20. Torra Siabba

    JamiiForums Tanzania Bosi TRA anavyoitafuna nchi

    Kuna watu wanaitafuna Nchi, Serikali ni sikivu, watu kama hawa hawatufai kwenye jamii yetu BOSI TRA ANAVYOITAFUNA NCHI Wakati kashfa ya baadhi ya watumishi wa umma kutajwa katika ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) haijapoa, Afisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)...
Back
Top Bottom