nchi

  1. L

    JamiiForums Tanzania China yaendelea kupaza sauti kuhusu vikundi vya nchi kukwamisha maendeleo ya nchi nyingine

    Kwenye mkutano wa baraza kuu la 78 la umoja wa mataifa uliofanyika hivi karibuni mjini New York, Makamu wa Rais wa China Bw. Han Zheng, alirudia tena mwito ambao China imekuwa inautoa kwa muda mrefu, kwamba hatua za upande mmoja ni changamoto kubwa kwa maendeleo ya nchi nyingine duniani, na...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Ni utamaduni sahihi kwa Marais kuteua viongozi wakiwa nje ya nchi? Inaleta taswira chanya?

    Tumeona teuzi za jana na leo zimefanyika kutokea Doha Qatar. Je ni jambo sahihi viongozi wa Afrika kwenda kufanyauteuzi nje ya mataifa yao ikiwa hali ya usalama na kisiasa ni tulivu? Historia inayoonyesha kuna viongozi wengine wamewahi kuwa na huu utaratibu? --- - Rais Samia ateua Katibu...
  3. K

    JamiiForums Tanzania TTCL tengenezeni App ya kuwezesha disapora kupiga simu! na kusaidia nchi !

    Hili ni wazo tatizo letu na hii katiba mbaya tulionayo hakuna ubunifu. Sisi diaspora tutanashida sana ya kupata simu za uhakika za kuweza kuongea na ndugu zetu Tanzania. Kuna App siku hizi ambazo unaweza kuweka na kupiga simu kutoka popote na kuwa na namba ya simu kabisa kama upo Tanzania. Hii...
  4. JamiiForums Tanzania Sheria Za nchi zinasemaje!? Huyu mbona anaachwa tu?

    Fisi maji huyu..!
  5. J

    JamiiForums Tanzania Yanga tufanye maandamano nchi nzima kusherekea kufuzu Makundi ya mabingwa

    Wanayanga inabidi tufanye maandamano makubwa ya kitaifa kusherehekea hatua kubwa ya timu yetu kufuzu hatua ya makundi kwenye mashindano makubwa zaidi kwa vilabu barani Afrika, CAF Champions League Hii ni michuano adhimu ambayo club chache tu barani Afrika ndio zinapata nafasi ya kushiriki...
  6. JamiiForums Tanzania Tarehe 30 mwezi wa 9 kila mwaka ni siku ya utafsiri duniani. Hivi hapa ni vitabu kumi vilivyotafsiriwa zaidi duniani na nchi kumi zinazotafsiri zaidi

    Siku hii ilianzishwa kumuenzi St. Jerome. Huyu alikuwa mtu wa mwanzo mwanzo kutafsiri biblia. Tarehe 30/9 ni siku yake ya kufa. Utafsiri umechangia sana katika kusambaza maarifa duniani. Hata vitabu maarufu na vilivyopendwa na wengi Tanzania kama Alfu Lela Ulela, Hekaya za Abunuwasi, Mashimo ya...
  7. JamiiForums Tanzania Je, zile nchi za Afrika zilizofanya mapinduzi ya kijeshi, kuna mikataba imevunja je nazo zitashtakiwa. ICCSD court?

    Yes , tumeona mapinduzi hapa kama yooote yametokea so mimi naulizia je wanashtakiwa kwenyw ile mahakama ya mchongo iliyomtoa kijasho prof.mruma? Au hiyo haiwahusu hizo nchi za kijeshi mfano Burkina Faso/ Mali/ Niger na France katika uchimbaji wa madini na uranium. Au ni sisi tu bongo...
  8. JamiiForums Tanzania Kuna nyakati nchi za Kiafrika zitaongozwa na Viongozi Manyani

    Ni ishu ya muda tu ila hali ngumu ya maisha wanayoipitia binadamu wa mataifa ya Africa ipo siku nyani watapenya huko juu, Manyani yana uwezo wa kukwea kila aina zote za miti. Sasa nyani watafanya nini wakiwa na dhamana kwenye nchi zao, hilo mtajua kazi ya nyani ni ipi. Naomba tushirikiane...
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini nchi hii viongozi wanauliwa pasipo uchunguzi? Ninaagiza uchunguzi huru kifo cha Rev. Mtikila

    September 15 mwaka 2010 Mwanabodi Pascal Mayalla walikutana na mchungaji mtikila ambaye alimuhadithia mazingira ya kifo chake yatakavyo kuwa na muhusika na detail zote. Mtikila alirekodi audio ya matukio haya na aliripoti hata polisi kutoa taarifa. Naomba niweke hapa uzi huo ili ujisomee...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Nakusudia kuitisha maadamano makubwa nchi nzima ili kupinga mgao wa umeme ambao ni wa kutengenezwa ili kuumiza wananchi!!

    Jamani naomba mniunge mkono biashara yangu inakufa tra wanataka Kodi yao mwenye frem anataka Kodi yake nayaona maisha yangu yanakufa hivihivi. Kilichonikatisha tamaa ni kuona serikali imerelax kabisa haina hata wasiwasi. Wanakuja na majibu rahisi mno, eti tusubiri miezi 6! Naomba watanzania...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Tumeandaa AFCON sawa, nchi ipi kati ya Kenya, Uganda na Tanzania itatoa timu mwenyeji wa mashindano?

    Kenya Uganda na Tanzania zimepewa nafasi ya kuandaa kwa pamoja fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon) mwaka 2027 baada ya Shirikisho la soka Afrika (CAF) kutangaza kuwa ombi lao pa pamoja limeshinda dhidi ya maombi ya Algeria, Misri na Botswana ambazo nazo ziliomba. Kwa kawaida utaratibu...
  12. JamiiForums Tanzania Nchi gani nje ya Afrika ni rahisi kwa kijana mpambanaji kufanikiwa?

    Tafadhali zingatia: Maokoto Urahisi wa ajira (za kisomi na zisizo za) Urahisi wa maisha kwa mgeni kuweza kufit haraka Ukali wa ubaguzi Urahisi wa kupata Huduma (elimu, afya, usafiri nk.) Hali ya hewa nk. Ni nchi gani ambayo ni Best kwa kijana mpambanaji kwenda ikawa rahisi kutoboa? Kwa...
  13. JamiiForums Tanzania Hii nchi nikajua ambao hawapo serious ni Tanesco kumbe hadi matapeli wanasahau majukumu yao😂😂

    Dada alivo mjibu anatoa jicho tapeli kasahau hadi kutapeli na nina uhakika yeye ndo katapeliwa
  14. Z

    JamiiForums Tanzania Rwanda wanaenda kuua na kuiba madini DR Congo

    Nchi ya Rwanda inajitapa kuwa Ina uchumi mkubwa na maendeleo makubwa baada ya vita ya 1914 kumbe wanaenda kuua na kuiba madini DRC. Soma makala hii hapa chini ==== Rwanda is the ‘Wild West’ and should be removed from the mineral supply chain Mining industry elites use...
  15. JamiiForums Tanzania Tanzania ni moja ya nchi zisizo na furaha duniani

    Leo katika pita pita zangu mitandaoni, nikakutana na post ikionyesha kwamba Tanzania ni moja ya nchi zisizo na furaha duniani. Hivi hawa wachambuzi wanatazama nini hasa mpaka wanatoa hizi takwimu?
  16. JamiiForums Tanzania Sikubaliani na jinsi Rais Samia anavyofanya Teuzi, na zitakuja kumfanya kujuta baadaye

    Bila kupepesa macho na kupindisha maneno Mimi ni CCM damu damu ambaye nimeanza kuwa Mwana chama wengi wenu hamjazaliwa, tokea Niko Pugu Mwaka 1979 na baadae tukasoma kupewa kadi ya CCM siyo zinazogawiwa Kama njugu! Baada ya hapo nina machache tu ya kusema 1. Vetting ni ama haipo au...
  17. JamiiForums Tanzania Msafara wa Rais wa Nchi ya Africa Vs Waziri Mkuu wa Japan

    Msafara A: Huu ni msafara wa Rais wa nchi fulani barani Africa ambayo tangu uhuru haijaweza kubuni hata sindano. Msafara B: Huu ni msafara wa Waziri mkuu wa nchi inayo unda magari yanayotumika kwenye msafara A
  18. JamiiForums Tanzania Nchi kadhaa Barani Afrika zinatumia Teknolojia kudhoofisha Uhuru wa Kujieleza na Haki za kujumuika na kukusanyika

    Nchi kadhaa Barani Afrika zinatumia Teknolojia dhidi ya Wakosoaji, vikundi vya Upinzani, Waandishi wa Habari, na Watetezi wa Haki za Binadamu na kudhoofisha Uhuru wa Kujieleza na Haki za kujumuika na kukusanyika. ================================= Over the last few years, Africa has experienced...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Nchi inaharibiwa sana na utawala wa awamu hii

    Nazungumza hili nikiwa na hasira kidogo, kwa wale tunaofanya biashara tuwe wakweli awamu hii tunaombwa rushwa kinguvu na mafisa wa serikali, jana nilikuwa napambania passport ofisi za uhamiaji, kilichonishangaza ni kijana mdogo tu ananiambia" bros ukitoa kama laki mmoja mimi nakupambania...
  20. F

    JamiiForums Tanzania Serikali isifanye mambo kwa kukurupuka, kuteua leo na kutengua kesho ni fedheha kwa nchi

    Juzi tu aliyekuwa mkurugenzi wa TANESCO Maharage Chande aliondolewa Tanesco na ktangazwa kuwa mkurugenzi mkuu TTCL. Leo baada tu ya siku tatu ametanguliwa na kufanywa kuwa Postamasta! Jambo hili linaonesha jinsi serikali isivyo makini katika kufanya teuzi au maamuzi yenye maslahi ya kitaifa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…