nchi

  1. JamiiForums Tanzania Kiwewe kimezipata nchi za kiarabu. Huku Iran akiahidi kuanza na vituo vya nyulia vya Israel. Viongozi wao wapigiana simu kama watoto

    Wakati maelfu ya wapalestina wakiuliwa kama kuku,viongozi wa nchi za kiarabu walipiga kimya na kula biriani zao wakiona hayo hayawahusu. Hata diplomasia zao na kulaani kulikuwa kwa njia za kinafiki. Baada ya kumfanya Netanyahu ajiamini kupiga apendapo na kuamua kuipiga Iran na Iran nayo...
  2. JamiiForums Tanzania Tanzania Ni nchi maskini viongozi baneni matumizi

    Tanzania Ni miongoni mwa nchi maskini huku wananchi wakiishi chini ya Dolla 1 huku kipato Cha wastani kikiwa hakizidi Dola 2.5 kwa siku. Nimuhimu kubana matumizi
  3. JamiiForums Tanzania Wakimbizi wa Burundi na Rwanda wanawekwa kwene makambi. Waarabu wa Sudani wanazurula nchi nzima

    Kuna idadi kubwa sana ya wakimbizi waliokimbia wakiarabu kutoka Sudan wakiwa mitaani wengine wamepanga.Lakini upande wa pili kuna wakimbizi majirani wamejazwa kwene makambi kigoma huko ka kagera. Je, hii ni kudhibitisha kua waafrica tunajichukia na tunawapenda maadui zetu!! Nawasilisha...
  4. JamiiForums Tanzania Hii inawahusu wanaopenda kusafiri nje ya nchi

    Hii ni kwa wote wanaopenda kusafiri. Nachukua nafasi hii kusema kwamba asanteni kwa wote wanaofatilia nakali hizi za Huku Abroad. Leo nataka kuelezea njia moja wapo ambayo watu wengi pamoja na Ma agent wengi wamekuwa haitumii kwenye swala zima la kufata taratibu za Kusafir Abroad. Kwa wenye...
  5. JamiiForums Tanzania Tanzania yahimiza ushirikiano nchi za SADC katika usimamizi wa Misitu ya Miombo

    Serikali ya Tanzania imezihimiza nchi za ukanda wa SADC kushirikiana katika usimamizi wa Misitu ya Miombo kutokana na umuhimu wake kiuchumi, kijamii na katika uhifadhi mazingira. Kauli hiyo imetolewa leo Aprili 17,2024 na Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) kwa niaba ya...
  6. JamiiForums Tanzania Mamia ya raia wa Israel waikimbia nchi yao ,hofu ya vita na Iran

    Kutokana na mgogoro mkubwa ulioibuka kati ya Iran na Israel pia uvamizi wa makombora na drones za Iran ndani ya ardhi ya israel kumekua na hofu kwa raia wa Israel hivyo kuikimbia nchi yao
  7. K

    JamiiForums Tanzania Hii Nchi Inateswa na Mambo Mengi Sana!!

  8. JamiiForums Tanzania Mfumo wa nchi umekaa kunyenyekeana

    Trust me kama huna title lazma unyenyekee, bila hivyo watakupiga chini au kukufanyia vizabina mpk wakushushe... Mm naexperience na hili swala, utathaminika sio kwamba unaujuzi au weledi. Utathaminika endapo utakidhi mahitaji na matakwa ya muajiri wako. Watu hawapendi changamoto, hawapendi...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Ni katika eneo gani tumefanya vizuri sana kama nchi?

    Asalam walekum, Najiuliza hivi ni kwenye angle ipi ya maendeleo tumefanya vizuri sana kama nchi? Africa tunaongozwa na mwamba South Africa na nchi za Waarabu. Mfano: Ethiopia wana strongest airline. Seychelles and SA: best education system SA, Botswana, Namibia, Morocco: Road infrastructure...
  10. JamiiForums Tanzania Mbunge Sebastian Kapufi: Tanzania Tuna Wakia Milioni 45 ya Akiba ya Dhahabu Leo Tunasomeka Kati ya nchi Masikini Duniani

    Mbunge Sebastian Kapufi: Tanzania 🇹🇿 kwa ujumla wake tuna Wakia Milioni 45 ya akiba ya dhahabu lakini leo tunasomeka ni kati ya nchi Masikini Duniani "Hotuba ya Waziri Mkuu Imezungumzia Maji, Misitu, Madini, Kilimo. Kuna Nchi Haina Msitu ni Jangwa. Kwa Nchi Yetu ya Tanzania 🇹🇿 Kila Kitu Kipo...
  11. JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wote nchi nzima tuungane na kufanya yafuatayo kuhusu vita ya kikokotoo

    Suala la kikokotoo limekuwa ni mwiba mkali kwa wastaafu katika nchi hii huku kundi dogo la wanaofaidi keki ya taifa wakitaka kikokotoo kiwepo kwa wastaafu wakati wao hakiwagusi wanachumua mamilioni yao kwa mkupuo wakijufanya wao ndio wenye akili zaidi ya kujua matumizi ya pesa kuliko wafanyakazi...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Twende mbele, turudi nyuma: Nchi za wenzetu zilizoendelea wanapiga kazi

    Yaani tusijidanganye hata siku moja. Watu weusi tunajisemaga tuko na maguvu etc.. Ila kwa jinsi hawa wenzetu ngozi nyeupe wanavyopiga kazi speed yao kama umekaa kibwegebwege utakuwa unalia kila siku Hawa jamaa ni nuksi jamani, yaani huku kufanya kazi saa 12 + ni jambo la kawaida sana. Halafu...
  13. JamiiForums Tanzania Watanzania tuelewe nafasi ya Rais kama Kiongozi wa nchi na tumheshimu Rais Samia Suluhu Hasani

    Watanzania tumheshimu na kumuombea sana Rais wetu Samia Suluhu Hasan tusisahau kwamba Rais wa nchi amebeba hatma ya nchi na wananchi wake Nimesikia na kufuatilia kwa uchache sana mambo yanayoendelea mitandaoni na vile yanavyopokelewa na jamii ya watanzania nimejifunza mambo muhimu moja kubwa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Nchi za Kiarabu zakiri kuisaidia Israel dhidi ya shambulizi la Iran

    Tulishasema mara nyingi humu. Watawala wa nchi za Kiarabu na Israel damudamu Juzi wakati Iran ikiwapelekea fire wazayuni, Jordan ilishirikiana bega kwa bega na uingereza na Marekani kutungua mkombora ya Iran ili kuinusuru Israel. Leo Saudi Arabia nayo imekiri kushiriki nyuma ya pazia kuinusuru...
  15. JamiiForums Tanzania Polisi wa Nchi za Ukanda wa Mashariki mwa Afrika waungana na Rwanda kumbukumbu mauaji ya kimbari

    Shirikisho la Wakuu wa Polisi Ukanda wa Afrika Mashariki Wameungana na Polisi wenzao kutoka Nchini Rwanda kuuwakumbuka Wananchi waliopoteza maisha katika mauaji ya kimbari Nchini Rwanda. Akiongea leo Aprili 14,2024 katika Shule ya Polisi Tanzania Mkoani Kilimanjaro Mkurungenzi Mkuu wa...
  16. JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa kwa media za Tanzania kuonesha ubora wa nchi na sio majanga na vitimbwi!!

    Sijaelewa ni nani aliyewafunza waandishi wetu wa habari yaani Taarifa za habari kwenye T.v ,redio na magazeti zimejaa habari za majanga tu hakuna ubunifu. Kwa asilimia kubwa yapo mema yanayotokea kwenye jamii kwanini sasa jamii inalishwa taarifa za vitimbwi na majanga tu? Huu ni upuuzi na...
  17. JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi Tanzania kuendelea na uhusiano wa kawaida na Rwanda wakati tuko vitani na nchi hiyo DR Congo?

    Nchi ya Rwanda chini ya Kagame imekua kwa muda mrefu ikishutumiwa kukisaidia kikundi cha kijeshi cha Watutsi cha M23 kinachotaka kulidhibiti jimbo la kivu mashariki ya congo. Rwanda imekua ikikanusha kusaidia M23 lakini ukweli imekua na majeshi yake yakiungana na waasi hao kudhibiti maeneo ya...
  18. JamiiForums Tanzania Kama nchi tunajipangaje na huu uwezekano mkubwa wa WW3 ambao utakuwa na athari kubwa duniani?

    Kwa mashambulizi ya jana na usiku huu waliyofanya Iran kwa Israel tutegemee Israel kujibu. Tishio ni kubwa kiasi kwamba "Doomsday Plane" ya Israel imeonekana ikipaa ikidhaniwa ni viongozi wanahama nchi. Ni kubwa kiasi kwamba inasemekana Netanyahu amehama Ikulu na kukimbilia kwenye jumba kubwa la...
  19. JamiiForums Tanzania CHALLENGE: Taja nchi ya Afrika bila kutaja jina lake

    Kila nchi ya Afrika uwa ina vitu vyake fulani hivi ambavyo ukisimuliwa unajua moja kwa moja hii ni Nchi fulani... Mfano Ukizungumzia Somalia unazungumzia Pirates (Mabaharia wezi), kazi yao kuteka na kuiba meli na vitu vilivyomo, au kuteka wafanya kazi na meli yao hili wadai malipo ya kuachilia...
  20. G

    JamiiForums Tanzania Waafrika tuna uwezo mdogo wa kujiongoza kimaendeleo, Naomba unitajie nchi moja tu ya kiafrika inayoendeshwa na waafrika iliyo stable?

    Nigeria - uchumi mzuri ila kuna ukabila wa hali ya juu sana kila siku biashara na nyumba za wa igbo zinabomolewa na kuchomwa bila notice ama notice ya masaa mawili, kuna makundi yenye itikadi kali za kiisalam za kuua wakristo, n.k. South Africa - Asilimia 85 ya ardhi bado inamilikiwa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…