nayo

Nayo is a village in Bhamo Township in Bhamo District in the Kachin State of north-eastern Burma.

View More On Wikipedia.org
  1. Pavu Abdallah: TAKUKURU nayo ikaguliwe na CAG

    HOTUBA YA WAZIRI KIVULI WA UTUMISHI WA UMMA, UTAWALA BORA NA MUUNGANO-ACT WAZALENDO NDG. PAVU ABDALLAH JUMA KUHUSU MPANGO WA BAJETI WA OFISI YA RAIS- MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA KWA MWAKA WA FEDHA 2023/24. Utangulizi. Wakati Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  2. Watoto wakikukataa mzazi achana nao upambana na maisha yako

    Sina muda wa salaamu, tuko kwenye mfungo. Kumekuwa na utaratibu wa kijinga ambao umejengeka miongoni mwa wa Tanzania baadhi wa kukumbatia mitoto isiyokuwa na adabu hata kidogo,sikatai yawezekana kabisa ni watoto wako na wanakuuma ile kishenzi,ila kutokana na tabia ambazo yamemezeshwa na mama...
  3. Steve Nyerere arekebishe mindset kwanza ndipo aje kwenye Uislamu, asije na mindset hii aliyokuwa nayo

    habari za siku nyingi ndugu msomaji,natumai ni mzima na Mungu aendelee kutubariki. Hivi karibuni msanii wa movie Steve nyerere alionekana akilalamika juu ya yale yanayofanywa na waumini fulani wa Ukristo kwamba ni sio sawa na ni kukashifu dini. Aidha bwana huyu alikuwa akitolea mifano na...
  4. D

    Awamu hii kama una silaha usitembee nayo. Utawala wa kambare, kila mtu anasharubu. Unaweza jikuta unaua mtu bure

    Huko barabarani siku hizi madereva wa magari ya serikali wamekuwa wababe kupitiliza! Nchi inaongozwa kwa sheria na taratibu! Usalama barabarani unaongozwa na sheria za usalama barabarani. Lakini bahati mbaya sana madereva wa magari ya serikali na polisi, Trafiki ,wanaUsalama, wanajeshi...
  5. Nimezoea Reggae na Hip Hop leo nimeiongeza Gospel kwenye orodha yangu

    Jioni baada ya kutoka mihangaikoni nimekaa geto, nikitafakari siku yangu imeendaje. Wakati huo wa kutafakari huwa napenda kusikiliza muziki na miziki yangu mara nyingi ni Hip Hop na Reggae ila leo nikaamua nisikilize Gospel. Dah, siku yangu imeisha vizuri mnoo. Hawa wamehusika kuniburudisha...
  6. Elimu inaondoa akili ya asili, aliyozaliwa nayo binadamu

    Elimu ni kitu kizuri, ila changamoto yake inaondoa ule uelewa wa asili ulio zaliwa nao (geniusism) na kupandikiza mawazo ya watu wengine. Na hii inapelekea kupunguza idadi ya wavumbuzi kama enzi za kina Isack Newton. Tunaamini akili ulio zaliwa nayo, ndiyo yenye mapinduzi ya kweli kifikra na...
  7. Royal Tour Yaendelea Kulipa: Cartier Ponant Nayo Yatua Tanzania

    Royal Tour Yaendelea Kulipa: Cartier Ponant Nayo Yatua Tanzania Filamu ya Royal Tour aliyofanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, imeendelea kulipa baada ya meli nyingine ya kifahari kutia nanga leo fukwe za Kilwa ikiwa na abiria 125 kutokea nchini Ufaransa...
  8. Rais Samia ile Katiba pendekezwa ya Mzee Warioba si ipo? Kwahiyo tusiendelee nayo na tusipoteze Pesa katika Tume unayotaka Kuiunda?

    Najua unapitia mno huu Mtandao wa JamiiForums na hulali bila Kutusoma Members kadhaa Watukutu ila ni Werevu (Stubborn but Intelligent) Wakiongozwa nami GENTAMYCINE na hata leo pia Umekiri Mwenyewe kuwa ni Mwenzetu hapa na Binafsi kuna ID moja nimeshaihisi kuwa ni yako (ni Wewe) kutokana na...
  9. Naomba kujuzwa juu ya makampuni ambayo ni rahisi kuingia nayo katika busines venture!

    In short nina eneo ambalo ni very potential kwa biashara ya apartment's, lengo ni kupata mbia atakaye jenga jengo la ghorofa labda 15, yeye akachukua ten floors, akanipatia 5 floors, tukamalizana mazima, ten floors tittle kwa jina lake, na 5 floors zikawa titled kwa jina langu, Je venture, au...
  10. Hatimaye kipindi cha theluji kimeisha Ukraine, ndio kete aliyokuwa amebaki nayo Mrusi

    Urusi ilitegemea kutumia musimu wa baridi kali yenye theluji ili ijaribu kuiparamia Ukraine, ikapiga miundo mbinu ya umeme kwa kutumia mizinga ya kila aina, ila Ukraine wamekomaa mpaka musimu umeisha huku Mrusi akiwa ameganda anapambania kamji ka chumvi huko mbali Bakhmut. === Kyiv said that...
  11. Nimepata kazi Upwork ila sina ujuzi nayo nataka nimpatie mtu

    Habari jaribuni kuangalia hii kazi hapa chini Sio mjuzi kutumia jukwaaa hili ila nilijaziwa profile na mtu so kuandika sio hobby yangu kabisa kuliko pesa itembeee nimeamua kusghare na marafiki zangu hapa kama unaona dili karibu sana inaliapa $700+ huko Nimeshabonyeza accept
  12. J

    Naomba msaada wa kupata qaswida ya Al Madrasat Raufu Rahim inaitwa Zawadi

    Habari nilikua naomba msaada wakupata qaswida ya Al Madrasat Raufu Rahim inaitwa zawadi nimeangaika sana YouTube sijapata naomba mwenye nayo anitumie 0693620048 wsp
  13. Serikali kuwajadili waliokataa Ukuu wa Wilaya

    Wateule wa nafasi za Ukuu wa Wilaya ambao inasemekana wamekataa uteuzi huo watatakiwa kutoa maelezo ya kwa nini wameshindwa kuripoti katika vituo vyao vya kazi kwa ajili ya uapisho. Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Jenista Mhagama amesema...
  14. Godbless Lema unarudi Tanzania kufukuzia ubunge. Ila tambua mambo yalishabadilika, 2010 sio 2025. Gea ya ukimbizo nayo ilishakuchafua

    Hii sio siri. Ni suala ambalo lipo wazi kabisa. Kuwa Godbless Lema hukukimbia mateso ya kisiasa. Bali baada ya kukosa ubunge 2020 ulitafuta fursa. Leo hii unarudi kupigia mahehasabu ubunge 2025. Kumbuka kuwa 2010 sio sawa na 2025. Nina maanisha kuwa Chadema tulivyokubalika 2010 sio sawa na leo...
  15. Kibongobongo haya ni Mafanikio Makubwa kwako Kijana ukiwa nayo. Furahia Maisha

    KIBONGOBONGO HAYA NI MAFANIKIO MAKUBWA KWAKO KIJANA UKIWA NAYO. Anaandika, Robert Heriel Siandiki kukusifia, au kukufanya uridhike. Najaribu kukueleza kuwa lazima ukubali kuwa umepambana na ufurahie matunda ya Kazi ya mikono yako. Usiposhukuru Kwa hayo uliyonayo hutokuja kushukuru Kwa Yale...
  16. I

    Al Hilal nayo yamtaka Messi kwa mabilioni ya pesa

    Mkataba wa Leo Messi wa PSG unamalizika 2023 na huko Saudi Arabia, wanamtaka akajaribu bahati yake huko mara moja. Hata kabla ya mkataba wake kuisha. Kama Al Nassr alivyofanya na Cristiano Ronaldo, Al Hilal sasa wanataka kumpa Messi pesa nyingi. Kulingana na 'Mundo Deportivo', klabu hiyo itampa...
  17. Nahitaji channel ya Youtube

    Wakuu, mambo vipi nahitaji Youtube channel yenye Adsense yake mwenye nayo tuwasiliane pesa ipo nichek kwa namba 0767893175
  18. M

    Hili kundi la Yanga mchekea sana, Timu hapo ni TP Mazembe tu nayo siku hizi imezembea

    CAF CONFEDERATION CUP 2022/2023 Group D: 1: TP Mazembe (RDC) 2: US Monastri (TUN 3: Young Africans S.C. (TAN) 4: Real Bamako (MLI) Sasa hapo timu inayojiita ya wananchi ishindwe yenyewe tu kuongoza kundi. Hakuna timu hapo, na hiyo TP Mazembe imebakiza jina tu, imezembea sana!! Timu kali za...
  19. Mambo ambayo kijana wa sasa unatakiwa kuwa makini nayo sana

    1. Epuka na ujitoe kabisa kutoka katika Kundi la watu wenye mitazamo hafifu juu ya maisha yao. 2. Acha kuwa king'ang'anizi kwa wale waliokutenga katika maisha yako. 3. Kuwa mtu wa haki na upendo hata kwa watu usiowajua. 4. Kuwa mtu wa heshima na upendo kwa kila mtu. 5. Kubali kuishi na watu...
  20. Hii ndiyo maana halisi ya mwanaume ni kichwa cha familia

    HII NDIO MAANA HALISI YA MWANAUME NI KICHWA CHA FAMILIA Anaandika, Robert Heriel Ukiwa kama kijana unayetarajia kuwa Baba, au ambaye tayari ni Baba na upo kwenye Familia yako. Shika Kwanza hizi nyundo; i. Kuna mambo unapaswa kuwa nayo lakini Mkeo asijue unayo. ii. Kuna mambo unapaswa kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…