Japo sio wote watafanikiwa ila at least nina uhakika vijana wanne kati ya kumi watapata kazi.
This is proved, hizi elimu zetu zimeletwa na wazungu, zinafundishwa pia kwenye nchi zao.
Kwahiyo ukishapata hii elimu mfano sheria, afya, sayansi zote, etc itumie kuwasaidia kazi kwa kufanya...
Kama wewe ni msee wa PCB (Physics, Chemistry, Biology) au unayo mtoto anakamua advance na anazidiwa na hizi topics ngumu– basi stop struggling alone, coz I'm the plug you’ve been looking for!
Mimi si mwalimu wa kawaida – niko street smart na book smart all in one.
Najua hizi topics hazicheki na...
Dah Mimi sio mwanasiasa, ila jambo lililotokea Leo limeniuma sana, nimewaza leo yanatokea kwa wenzagu kesho yanaweza kutokea kwa Familia yangu au watoto wangu, Mwisho nitaishi kwa visasi na chuki..
Naona hii sio siri tena, walioko madarakani hawataki kuachia kwa namna yoyote ile, tumekubali...
Baada na kuhitimu na kuitumikia ipasavyo Bachelor of Education Special Needs. Nahitaji kua mbobezi Zaid katika maswala ya ukalimani na lugha ya alama, naomba kufahamishwa ni chuo gani hapa nchini kinatoa kozi tajwa kwa level ya Masters
Members nawasalimu,
Ningependa kufahamu kama ninaweza kuskim nyumba yangu kabla ya kuweka Gypsum board ?
Nyumba yangu imefikia hatua ambayo nimeshawasha umeme wa tanesco ila ni sehemu chache sio zote na kuna kijana nimemuweka hapo,hivyo natakiwa awamu hii nimalizie wiring sehemu zote ili...
Mimi ni mtumishi na mke wangu ni mtumish wa umma,
Kwa hivi karibuni amekuwa akizungumza kauli zenye utata na dharau jambo ambalo linanikwaza pia.
Pia ni mbishi kwenye mambo mengi plus ujuaji mwingi, nimefikiria nivunje ndoa kiaina ili niishI maisha yangu peke yangu bila bughudha ya mtu...
Habarini za usiku,
Je, inawezekana vipi kuwe na shitani mwingine zaidi ya Yesu na Muhamad iwapo hawa ndiyo walitumika na wazungu na warabu kuwafanyia WAAFRIKA mabaya ambayo ndiyo DHAMBI zenyewe?
Yaani mwarabu amtumie muhamad kuja Afrika kuwakamata Waafrika walioumbwa na Mungu na kwenda kuwauza...
Mimi ni kijana ambaye Nina nia ya kuwekeza kwenye kilimo Cha nyanya ila Sina elimu kuhusu nyanya vizuri. Napenda kujua je naweza kupanda nyanya mkoa wa njombe ? Na kama inawezekana ni mwezi gani naweza kupanda ?
Na ni mbegu aina gani inakubali vizuri njombe ?
:.Mawazo Yako ni muhimu sana
Samahani wadao, naomba kuuliza
Nilinunua mifi ya Airtel, sasa kuna kazi nataka kuitumia haiitaji data sana, ile lain iliopo ndani nikaitoa nikaunga bundle la kawaidia GB 1 ila ikakataa kuzitumia, ikabidi ninunue Data kwa lain nyingine ya Airtel nikaiweka mwenye Mifi, ikasoma nikaanza kutumia...
Habari za asubuhi wana jukwaa, poleni na mfungo wa Ramadhani na Kwaresma, naomba msaada wa kufahamishwa wapi pa kubadilishia fedha za kigeni kwa hapa Dar.
Asanteni😊🙏
Ni Wimbo wa Roman Catholic unaanza na mtu anaongea maneno harafu wanaanza kuimba wimbo unaitwa Kwa ajili ya mateso makali ya Yesu utuhurumie sisi na Dunia nzima
Ntaweza kuupakua wapi!? msaada tafadhali
Wakuu habari moja kwa moja kwenye mada. Nasumbuliwa sana anaphylaxis shock nkiumwa na wadudu kama nyuki na majigu na shughuli zangu mara nyingi nazifanya maporini kukutana na wadudu tajwa ni pie.
Katika kufuatilia tatizo langu nlishauriwa ntafute injection pen ntembee nayo hivyo kwa yeyote...
Wakuu
Nimemiss kula mboga za asili,kuna anaejua wapi kwa hapa Dar naweza kupata hii mboga ya majani inayoitwa mgagani?
Ni mboga maarufu zaidi huko kanda ya ziwa.
Habari za mda huu wa kuu.kichwa cha somo chahusika.Ninatarajia kufungua kiwanda kidogo kwa ajili ya usafishaji wa mafuta ya kupikia hivyo ninahitaji kemikali muhimu katika shughuli hii.Mafuta nitakayokuwa nayachqkata ni ya alizeti,mawese na mengineyo.Naamini JF ina watu wa kila nyanja katika hao...
Inawezekana kukawa na Upenyo wa Kisheria Kwa Watu ambao wanenunua Ticket, wengine wamelipia Usafiri wa Ndege, Ma bus ama kutia Mafuta kwenye magari Yao kuja Dar es salaam.
Wamelipia Hotel ama Gesti, Sasa wanaambiwa Mechi imeahirishwa na Bodi ya Ligi.
Hakuna namna Mashabiki wanaweza kufungua...
Habarini wana JF naombeni kuelimishwa je inawezekana kusoma computer sience ikiwa 4m4 math nilipa F na kama inawezekana ni kivipi au nifanyaje?
na kama haiwezekani nisome it inawezakua na maslah mazuri? Naombeni msaada na ushauri ahsanteni.
Nb: matokeo ni haya
CIV D
HST C
KISW C
ENG D
BIOS D...
Katika viwanda 30,000 bilivyojengwa mie na familia yangu hatuna hata kimoja.!?
Kwa sababu uanzishwaji wa viwanda ni jukumu la private sector na kila mmoja wetu hata mie NIMO..
Wapi naweza pata mtaji nianzishe BAR niwapunguzie watu mawazo kama jukumu la bia lilivyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.