Kuskim nyumba kabla ya kuweka Gypsum board?

mkeyamasai

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2013
Posts
383
Reaction score
156
Members nawasalimu,

Ningependa kufahamu kama ninaweza kuskim nyumba yangu kabla ya kuweka Gypsum board ?
Nyumba yangu imefikia hatua ambayo nimeshawasha umeme wa tanesco ila ni sehemu chache sio zote na kuna kijana nimemuweka hapo,hivyo natakiwa awamu hii nimalizie wiring sehemu zote ili niweze kufunga gypsum board ,watu wengi wamenishauri nifanye kwa pamoja kuepusha wizi ,yaani nifunge gypsum board pamoja na kuweka umeme sehemu zilizobakia.
Ila kila nikipiga hesabu naona sitaweza kufanya vyote kwa pamoja,kwani nimepanga niweke fence kwanza kwa ajili ya usalama ,hivyo nauliza naweza kuiruka hii hatua ya kuweka gypsum board na wiring iliyobakia ,nikaendelea na hatua ya kuskim nyumba ?
 
Km plusta tayari,
1. Wela wiring fundi waya kukiwa na bodi mtagombana tu mana anaweza kanyaga
2. Gypsum board, bodi inazuia vumbi, ina zuia sauti kutoka sana,
3. Kisha ndo una skim,
 
Weka picha ya nyumba yako
 
Km plusta tayari,
1. Wela wiring fundi waya kukiwa na bodi mtagombana tu mana anaweza kanyaga
2. Gypsum board, bodi inazuia vumbi, ina zuia sauti kutoka sana,
3. Kisha ndo una skim,
Nimeshapiga plasta ndio na urembo wa nje na ndani,asante sana mkuu itabidi niweke fence peke yake alafu niendelee kujichanga
 
Back
Top Bottom