naweza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. FK21

    JamiiForums Tanzania Nahitaji fundi TV Mwanza

    Kama Kuna fundi TV Mwanza please naomba anicheki DM
  2. chiembe

    JamiiForums Tanzania Naweza kutabiri kifo cha kisiasa cha Polepole, press ya leo ilisubiriwa kwa hamu lakini kaongea mambo ya kawaida sana, sasa ajindae kwa mwangwi mkubwa

    Watu wengi walitaraji mambo ya maana kutoka kwake, kaishia kuongea mambo ya kawaida, ya hovyohovyo, hakuwa na jipya. Sasa ajipange kwa mwangwi unaokuja
  3. stakehigh

    JamiiForums Tanzania CHAN hii naweza nkaihesabu kama hasara kubwa

    Ukiachana na kupigwa kalenda ya tarehe husika ya CHAN kuanza nlitegemea kuona mandalizi makubwa zaidi kama lengo kweli lilikua kujitangaza basi nlikua nategemea yafuatayo: 1) Wasanii kutumia platform hii kutunga nyimbo kadhaa za mashindano wasanii wa afrika mashariki walitakiwa wawe wameshatoa...
  4. Yoda

    JamiiForums Tanzania Naweza kupata wapi vitabu original vya Torati, Zaburi na Injili ambavyo havijapotoshwa/kuchakachuliwa?

    Inasemekana kwamba hivi vitabu vya sasa vya Taurat, Injil na Zabur wanavyotumia Wakristo ni nakala zilizopotoshwa na kuchakachuliwa na wajanja kwa kuingiza mambo yao. Ni wapi vinakopatikana vitabu original/halisi ambavyo havijachakachuliwa au kupotoshwa?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ni wapi naweza kupata solar

    Nahitaji kuwasha taa kumi na mbili Tv Je ni wapi naweza kupata solar kwa ajili ya kazi hizi kwa bei poa
  6. Y

    JamiiForums Tanzania muajiriwa mwenye check no. Naweza Fanya interview

    Habari Wana JF Mimi ni muajiriwa sehem flan nimeshapatiwa check no. Ila bado sijathibitishwa kazin lakin kabla ya hii ajira kunataasisi ya serikali nilikua nafanya kaz kwa mkataba na nilikua mmoja kati ya watu niliepewa kipaombele Cha kufanya interview ya hiyo tasisi pindi wanapohitaji kuajiri ...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza pata wauzaji wa Gas Grills za majumbani hapa Dar

    Wakuu poleni na majukumu. Nahitaji gas grill kwa ajili ya matumizi ya nyumbani. Wengine wanaziita tabletop gas grills. Nishaulizia sana madukani ila naonyeshwa vitu sio. Ni jiko maalum la kuchomea nyama na vyakula vingine lakini linatumia gas badala ya mkaa au umeme. Naombeni mwongozo...
  8. Augustking

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata office space km hii

    Habari wana JF Moja kwa moja kwenye mada. nimechoka kufanyia kazi nyumbani mimi ni frelancer nahitaji office space ukubwa km huu kwenye hii video maana wateja wangu wengi ni wa online. naomba km kuna mtu anaweza kuniunganisha na dalali au muhusika anaeweza kunisaidi. najua JF humu wadau wapo...
  9. music mimi

    JamiiForums Tanzania Kivipi naweza kupata email ya ikulu, serikali, international organisations ili kuwasilisha malalamiko yetu eneo la kazi (whistleblowing)?

    Ninapofanya kazi sio shwari kuna mambo mengi hayapo sawa. Huyu muwekezaji ana nguvu na anajeuri ya kupindisha mambo ya kisheria kuanzia kwa wafanyakazi mpaka mambo ya kimamlaka na ukosefu wa uadilifu. Nataka nifikishe ili jambo kwenye vyombo vya serikalini na watetezi wa haki za wafanyakazi...
  10. jashmoe32

    JamiiForums Tanzania Msaada wa wapi naweza kupata Star Anise

    Habari, Mwenye kujua wapi naweza pata star anise na bei yake ntashukuru sana. Nimeambatanisha na picha na nahitaji liwe jekundu hivo hivo
  11. Shuku_

    JamiiForums Tanzania Je, Naweza kuchagua jinsia ya mtoto kabla sijamzaa.

    Hamjambo 👋🏽 👋🏽 Mimi ni mwanamume. Wajuzi wa jambo hili naomba mnipe mbinu ya namna ya kufanya. Maana nahitaji uzao wangu uwe Y, X, Y, X mpaka mwisho, ila mtoto wangu wa kwanza awe wa kiume.
  12. nipo online

    JamiiForums Tanzania nimerudishiwa pesa yangu na DSTV, je naweza itoa kama cash?

    wiki 3 zilizopita nilinunua kifurushi dstv lakini decoder ilikua mbovu Leo nikaomba kunihamishia mwamala wangu na wamenipa, sasa nauliza je, naweza itoa kama fedha kesh? au inatolewa vip? asanteni. Nb kwa sasa nilinunua decoda mpya nilisha lipia ko wamehamishia katika hii decoda mpya
  13. S

    JamiiForums Tanzania Nijulishe, baada ya dramacool kufunga site zao, wapi tena naweza kudownload koreandrama for free?

    Msaada tafadhali, nahitaji kucheki series za kikorea ila ndio hivyo tangu dramacool waamue kushut down site zao zote, nimekosa mbadala. Nipeni mautundu niburudike....
  14. bestboy

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata Common Interface adapter ya Samsung TV?

    Habari zenu wanajf. Nahitaji msaada wa kupata kifaa kwa ajili ya matumizi ya camcard kwa samsung tv. Kuna port nyuma ya TV lakini inahitaji adapter ili kupokea Camcard. Kwa yeyote anayefahamu wapi naweza kupata kwa hapa Dar nitashukuru kupata mawasiliano yao. Asanteni.
  15. youngkato

    JamiiForums Tanzania At least naweza kuwaambia graduate wafanye Freelancing na wakafanikiwa

    Japo sio wote watafanikiwa ila at least nina uhakika vijana wanne kati ya kumi watapata kazi. This is proved, hizi elimu zetu zimeletwa na wazungu, zinafundishwa pia kwenye nchi zao. Kwahiyo ukishapata hii elimu mfano sheria, afya, sayansi zote, etc itumie kuwasaidia kazi kwa kufanya...
  16. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania PCB Hii Si Ya Watoto, Ila Naweza Kukubadilisha Uwe Beast! Njoo Nikulazie Kitabu!

    Kama wewe ni msee wa PCB (Physics, Chemistry, Biology) au unayo mtoto anakamua advance na anazidiwa na hizi topics ngumu– basi stop struggling alone, coz I'm the plug you’ve been looking for! Mimi si mwalimu wa kawaida – niko street smart na book smart all in one. Najua hizi topics hazicheki na...
  17. Angelikaa

    JamiiForums Tanzania Je, ni biashara gani naweza kufungua karibu na Mahakama??

    Biashara gani naweza kufanya katika fremu ndogo yakujibanza iliyoko barabarani karibu na mahakama?
  18. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Ni nchi gani hapa Afrika naweza kwenda kuishi kwa amani?

    Dah Mimi sio mwanasiasa, ila jambo lililotokea Leo limeniuma sana, nimewaza leo yanatokea kwa wenzagu kesho yanaweza kutokea kwa Familia yangu au watoto wangu, Mwisho nitaishi kwa visasi na chuki.. Naona hii sio siri tena, walioko madarakani hawataki kuachia kwa namna yoyote ile, tumekubali...
  19. G

    JamiiForums Tanzania Naweza pada dalali dodoma wa kuniuzia mashine mbili za kunyolea saluni kwa haraka maana nimekwama haswa

  20. H

    JamiiForums Tanzania Chuo gani kwa hapa kwetu Tanzania naweza soma Master's degree in sign language interpretation

    Baada na kuhitimu na kuitumikia ipasavyo Bachelor of Education Special Needs. Nahitaji kua mbobezi Zaid katika maswala ya ukalimani na lugha ya alama, naomba kufahamishwa ni chuo gani hapa nchini kinatoa kozi tajwa kwa level ya Masters
Back
Top Bottom