muajiriwa mwenye check no. Naweza Fanya interview

Yukwapi

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2024
Posts
515
Reaction score
690
Habari Wana JF Mimi ni muajiriwa sehem flan nimeshapatiwa check no. Ila bado sijathibitishwa kazin lakin kabla ya hii ajira kunataasisi ya serikali nilikua nafanya kaz kwa mkataba na nilikua mmoja kati ya watu niliepewa kipaombele Cha kufanya interview ya hiyo tasisi pindi wanapohitaji kuajiri .

Je? naweza nikashiriki hiyo interview?
Pili je? Endapo nitabahatika kuajiriwa hii check no. Haitaniletea shida?
Je? Njia Gani nifanye ili kuweza kuruhusiwa kuama kama nitakua nimepata huku kwingine?

Lengo la Mimi kuhitaji kupambania hii nafasi nyingine nikutimiza malengo yangu na ndoto nilizojiwekea tokea niwe mdogo .

🙏🙏🙏
 
Habari Wana JF Mimi ni muajiriwa sehem flan nimeshapatiwa check no. Ila bado sijathibitishwa kazin lakin kabla ya hii ajira kunataasisi nilikua nafanya kaz kwa mkataba na nilikua mmoja kati ya watu niliepewa kipaombele Cha kufanya interview ya hiyo tasisi pindi wanapohitaji kuajiri .

Hapo Fanya uhamisho tu kwenda taasisi hio. Na kama wanakuhitaji nadhani ni rahaisi
 
Habari Wana JF Mimi ni muajiriwa sehem flan nimeshapatiwa check no. Ila bado sijathibitishwa kazin lakin kabla ya hii ajira kunataasisi nilikua nafanya kaz kwa mkataba na nilikua mmoja kati ya watu niliepewa kipaombele Cha kufanya interview ya hiyo tasisi pindi wanapohitaji kuajiri .

Je? naweza nikashiriki hiyo interview?
Pili je? Endapo nitabahatika kuajiriwa hii check no. Haitaniletea shida?
Je? Njia Gani nifanye ili kuweza kuruhusiwa kuama kama nitakua nimepata huku kwingine?

Lengo la Mimi kuhitaji kupambania hii nafasi nyingine nikutimiza malengo yangu na ndoto nilizojiwekea tokea niwe mdogo .

🙏🙏🙏
Piga Intavyuu ukifaulu, Omba Mshahara wa Serikali usimamishwe wape sababu tu .

Nenda Kwa Taasisi ukimaliza Mikataba wao, Rudi Serikalini.
 
Tasisi niyaserikali pia
Kama hujathibitishwa kazini itakuletea shida mkuu.

1. Ukihama kutoka taasisi moja ya serikali kwenda nyingine huwa zinawasiliana, na ni lazima wakati wa kuhama barua ya katibu mkuu utumishi ikuhamishe. Sasa kama upo kwenye kipindi cha matazamio wewe bado haujakidhi kuhama taasisi.

2. Kiutaratibu unatakiwa kukaa kwenye kituo chako cha kazi kwa miaka mitatu kabla ya kuomba kuhama au kuomba nafasi kwenye taasisi nyingine. Japo hili unaweza kufanikisha ukiwa na connection na kwenda kulialia kwa katibu mkuu utumishi kabla ya miaka mitatu.

Nakushauri. Kaa hapo uthibitishwe kwanza kazini ili upate confirmation letter ambayo ni muhimu kwa mwajiriwa, maana hapo hata benki huwezi kukopesheka kwa sababu hujawa confirmed achilia kutaka kuhama taasisi. Baada ya miaka mitatu omba kuhamia hiyo taasisi kama kweli walikukubali kwa utendaji wako wa kazi watakupa ushirikiano.
 
Shukran
 
Back
Top Bottom