Kama heading inavyojitanabaisha ninatafuta simu hii inayoitwa Nokia 1680c ambayo ilitoka mwaka 2008.Niliwahi kutumia simu hii kuanzia 2009 mpaka 2013. Ilikuwa ni simu nzuri kimuonekano, kitendaji na kiumadhubuti.
Badala ya kuwa na simu ndogo zisizoeleweka kama tecno au itel nimeona ni bora...