Habari za muda huu wakuu.
Mm ni mwanafunzi wa mwaka wa 3 Chuo kikuu cha SUA.
Ninachukua Bachelor of Science in Environmental Sciences and Management. Ninatarajia kumaliza elimu yangu ya chuo kikuu mwishoni mwa mwezi wa 7 mwaka huu.
Hivyo basi nilikuwa naomba wenye uzoefu na course yangu...
Wakuu kwema?
Wapi naweza pata kampuni zinazo provide VPS hosting. Kuna project zangu nimetengeneza na react na mern nahitaji ku deploy online
Please nitashukuru sana
Nimefanya mambo fulani ambayo yameniletea aibu na bado najisikia hatia na kukosa kujiamini. How do i move on...
Vitu kama ulevi wa kupindukia, kutukana watu, kupoteza pesa nyingi nk.
Wadau wa kilimo naomba ushauli ninashamba la mapunga liko kati ya mita 6000 Hadi MITA elf 1 ,je pump zipi ninunue?JE petrol nch 3 hadi 4 au pump ya diesel nchi ya Bomba la nchi 3 u nne au unavyoona inafaa
Habari viongozi?
Nimeibiwa pikipiki na kijana niliemuamini nikampa apige boda.
Simu yake kuita mara ya mwisho ilikua juzi ila toka jana haiiti.
Tulikuwa hatujakamilisha wadhamini maana ni kijana ambae tulikuwa tunakaa nae maskani muda mwingi so tulikuwa tunaprocess hayo mambo huku akiendelea na...
Wasalaam
Jamani nilikwama nikajiingiza kwao Banc ABC kukopa nilichukua 3 million ila ilitakiwa nirejeshe 8 million sasa naona bora hili dwni nilipeleke CRDB bank.
Sasa je kuna mtu anafahamu utaratibu wa kuhamisha deni tafadhari wakati nikiwa na lengo la kulipa hapo baadae.?
Ni hali ambayo ni ayo kwa muda mrefu. Mwanamke bila kumtomasa tomasa, kukiss, Na baadhi yao kusex siwezi kuwa free kuzungumza au kuwa rafiki yake kwa uhuru.
Hope mmeamshwa salama. Ningependa kujuzwa kama kuna sehemu safi Dar wanayotoa huduma ya bafu / kuoga tu (bila kujali kama mtu amelala hapo kwao). Kama zipo za karibu na Ubungo, ingependeza zaidi. Natanguliza shukrani
Habari,
Naomba msaada jamani nina stationery lakin katika kipindi hiki cha umeme kata rudi napitia wakati mgumu sana.. Naomba usbauri wenu jamani naweza kuongeza biashara gani isiyotumia umeme nikajiongezea kipato?
Pia ni sehem ipi online ambapo naweza kujifunza graphic design kwa undani??
Salaam,
Dogo anapitia changamoto anashindwa kulog in katika hizi akaunti zao za Selform ili kuedit Machaguo, kwa mliofanikiwa mmefanyaje maana nimejaribu pia nimeshindwa.
Username inayotumika ni ipi na Password ni nini?
https://selform.tamisemi.go.tz/Account/Login
Karibuni kwa msaada.
Habari zenu wadau, leo nawakaribisha na kuwaambia kwamba sisi kama African businesses tunatoa huduma ya kupamba na kupendezesha ofisi au makazi kwa kwa kutumia mapambo ya mbao na picha pamoja na materials mengine, tunafanya ofisi au nyumba yako kuwa nadhifu kabisa.
Gharama zetu ni nafuu sana...
Habari zenu wakuu
Nahitaji kuondoa mistari kwenye flat screen ya TV yangu.
Kuna hii huduma ya LCD LED OLED etc screen bonding ambayo ndiyo suluhisho.
Jee, kwa anayejua, niende wapi kupata huduma hii kwa Dar es Salaam, na gharama yake ni kiasi gani?
Natanguliza shukrani.
Wapendwa nawasalimu kwa jina la jamuhuri ya muungano,
Naomba msaada wenu ndugu zangu , nimebahatika kuuza kaeneo kangu nikapata 10M. Sasa natamani kuizalisha kupitia bidhaa zinazotoka China.
Naomba mnijuze ni bidhaa gani zinatoka haraka sana ambazo sio za bei kubwa, yaani m Tanzania wa kawaida...
Ivi Umewahi kufikiria hili?
Katika miaka mia ijayo, mwaka 2124, sisi sote hatutakawapo hata jamaa na marafiki zetu pia.
Watu wasiojulikana wataishi katika nyumba zetu ambazo tumejenga kwa jitihada kubwa na kwa Majaribu mengi. Watakuwa na vitu vyote tulivyo navyo au Vingine kuvitupa...
Nawishi kuchukua loan kozi life limekua likinichapa sana, wataalamu nipeni uzoefu sana.
Je, nitaweza kopesheka shingapi kwa benki ya CRDB kwa hio salary?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.