Wapi naweza kupata huduma ya TV screen bonding?

ComputersDAR

JF-Expert Member
Jan 21, 2013
213
242
Habari zenu wakuu

Nahitaji kuondoa mistari kwenye flat screen ya TV yangu.

Kuna hii huduma ya LCD LED OLED etc screen bonding ambayo ndiyo suluhisho.

Jee, kwa anayejua, niende wapi kupata huduma hii kwa Dar es Salaam, na gharama yake ni kiasi gani?

Natanguliza shukrani.
 
Ngoja Waje kukupa muongozo.

CC Mahondaw
 
Mcheki hyo jamaa namba ya chini.Anafanya hyo kazi,nadhan yupo kariakoo.
0763101107...naomba utaleta mrejesho maana na mm nilitaka nimchek ila majukum yamekuwa mengi
 
Habari zenu wakuu

Nahitaji kuondoa mistari kwenye flat screen ya TV yangu.

Kuna hii huduma ya LCD LED OLED etc screen bonding ambayo ndiyo suluhisho.

Jee, kwa anayejua, niende wapi kupata huduma hii kwa Dar es Salaam, na gharama yake ni kiasi gani?

Natanguliza shukrani.
Bei zitafauitiana kutokana kioo chako Kuna cha 4k na 2k pia model number ya kioo chako ila kama walivyokupa muongozo machinga complex wanafanya ayo mambo Tena chap kwa
 
Hivi kioo kikiwa repaired uwa kinarud kwenye ubora wake?na je kinaweza dumu kwa muda gani?
 
Back
Top Bottom