natamani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Natamani nije niwe mwandishi wa filamu au tamthilia, nishaurini nianzie wapi?

    Shikamooni wakubwa zangu, sina mda mrefu sana hum jamii forum ila nlichogundua asilimia kubwa hum mnautambuzi wa mambo tofauti tofauti,ata kwa hili langu naamin hamtashindwa kunipa mawazo. wakuu mimi nna kipaji cha uandishi wa hadithi au simulizi tofauti tofauti, nna stori nyingi sana ambazo...
  2. BICHWA KOMWE -

    JamiiForums Tanzania Nimemtukana Baba Mkwe kimakosa: Natamani kukimbia mkoa, nimechanganyikiwa

    Ukisikia kuyabananga, basi mie komwe sio tu nimeyabananga, nimeyavaa jumla jumla. Nimeboronga, nimekanyaga divi bichi. Baba mkwe wangu ni mwanajeshi, ana nyota nyingi begani, jitu jeusi, refu, linatisha na lina matuta usoni kama Mizengo Pinda. Alikuja nyumbani kwangu kwenye sherehe ya...
  3. Chance ndoto

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Natamani zitto kabwe awe raisi wa Tanzania uchaguzi ujao

    Nimeona mambo yanakua mengi sana viongozi wengi wa CCM wanapotezea kero za kila siku. Katika machaguo yangu naona zitto kabwe nchi inamfaa
  4. Z

    JamiiForums Tanzania Nimempenda sana. Natamani nimuoe lakini ana mtoto mmoja na mimi sina

    Habari za Usiku wana JF, Kuna mdada nimempenda Sana. Natamani nimuoe lakini ana mtoto mmoja na mimi sina. Mtoto ana miaka 6. Naomba ushauri tafadhali!
  5. SPONSA

    JamiiForums Tanzania Nimekubali huyu binti bikra anazitesa hisia zangu. Nimekubali nimekamatika. Natamani kutoka lakini nashindwa sijui nifanye nini

    Habari wana jamvi kama kichwa cha habari kinavosema hapo juu. Dhumuni la kuandika hii thread nikutaka ushauri kwa ambao watakuwa tayari kunipa ushauri nitaupokea. Huyu binti anaezitesa hisia zangu ni bikra na nimethibisha kwakuwa nilishakuwa nae faragha zaidi ya mara moja na nikalithibisha...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kwa uongo huu wa Serikali ya CCM, natamani kuhama nchi

    Reli ya SGR kipande cha Dar - Morogoro imetangazwa kufunguliwa na kuanza kutumika tangu 2021 , lkn ahadi hiyo haitimii. Ni uwongo juu ya uwongo Hebu tazama ahadi hizi hapa chini, kisha unaiambie nchi hii inafafaa kwa mtu kuendelea kuishi kweli??
  7. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania TAWA ni matapeli tu hawana lolote. Natamani Hayati Magufuli angekuwa hai

    Hawa wahuni tangu watuambie wanafuatilia zile nyara zilizo kamatwa Australia mpaka leo Hakuna mrejesho mwaka unaisha sasa Afu leo wanakwambia wataleta ufafanuzi juu ya mamba aliyeuawa upuuzi Mtupu. Ivi tuna TISS kweli? Nchi hii kuna watu wanafaa kunyongwa ili kuwatia Adabu nao ni TAWA na...
  8. Nsanzagee

    JamiiForums Tanzania Natamani Israel apigwe hadi amrudie Mungu wake aliye hai JEHOVAH

    Sijui itatokea lini, ila mimi natamani sana wayahudi wachapwe kichapo kitakatifu hadi wamtii Mungu wao aliyewatoa Misiri utumwani kwa ishara za ajabu yaani (JEHOVAH) Ichi ambayo imekuwa na ukaribu na Mungu tangu kipindi cha Ibrahimu, Ichi ambayo kipindi cha Musa, Mungu alifanya maajabu mengi...
  9. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Natamani kila mpangaji angekuwa kama nilivyokuwa mimi

    Nilihamia kwangu mwaka 2016. Kabla ya hapo nilipanga nyumba ya mama mmoja mstaafu. Yule mama alikiri hakuwahi kupata mpangaji kama mimi. 1. Kodi alitaka nilipe kwa miezi mitatu lakini nilikuwa namlipa kwa mwaka mzima. 2. Mara nyingi nilikuwa nalipa kodi kabla haijaisha. Nikishapata hela isiyo...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nikiwa bado na mashaka ndani yangu lakini bado natamani angalau nifikie hatua ya mafanikio kidogo kama yanavoonekana kwenye picha hapo chini

    Hellow members,baada ya harakati za mchana leo nikasema ngoja niingie online kidogo na mimi nione uwezo wa AI katika kutupa picha ya vitu tunavoviwaza. Basi nikaingia bing.com nikasearch AI image generator then nikaimbia maneno yafuatayo "Create an image of warehouse of the transportion...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Naomba idadi ya Wachangiaji hapa Jamiiforums isipungue leo kuanzia Saa 1 Kamili za Usiku

    Halafu kuanzia Saa 1 Kamili hiyo ya leo tarehe 5 Novemba, 2023 ukija ( Uki Log In ) hapa Jamiiforums usije na Mihasira yako bali kuwa tu Mvumilivu kwani huo ndiyo Maana na Ukomavu wa Utani wa Jadi.
  12. jastertz

    JamiiForums Tanzania Natamani nifuge samaki chumba nilichopanga

    Habari JF, Leo katika pita pita zangu nimekaa nimewaza nianzishe ufugaji wa samaki ndani ya chumba nilichopanga, Nikianza na samaki hata kumi naona watatosha, Hii imekaaje wadau... seem like joke but niko sawa kabisa. any idea
  13. Kilimbatz

    JamiiForums Tanzania Natamani sana kuiona nusu fainali ya AFL kati ya Al Ahyl vs Mamelodi Sundowns

    Wakuu japo nimetanguliza uzalendo mbele kwa taifa na nchi yangu, Ila upenzi wa kandanda safi na la burudani, unanifanya nitamani mnyama ashinde njaa Misri Nakumbuka kama isingekuwa makosa ya beki M.Mvala wa Mamelodi Sundowns kuisawazishia Wydad kwa goli la kujifunga mnamo dakika ya 83 basi...
  14. Desierto

    JamiiForums Tanzania Kila nikiona kitu cha hatari natamani kujitupia nife

    Hii hali maranyingi hunitokea nikiwa navuka bara bara nikaona gari linakuja kwa kasi kuna sauti inanijia nijitupe humo linipitie. Kuna wakati inanibidi nirudi nyuma kabisa ili kuishinda hii sauti inayo niamuru kufanya hivo. Au shimo refu au nikiwa juu daraja au kitu chochote bacho ni hatari...
  15. Wimbo

    JamiiForums Tanzania Natamani kumtembelea Balozi Polepole nchini Cuba

    Namuona Polepole mbali sana katika historia ya Tanzania, nakiona kivuli chake kikitoka mbali kuja karibu, namuona kama mtu atakaye ipandisha Nchi hii juu zaidi kutokea pale atakapoikuta kivuli chache kikiwasili. Natamani niwe bado hai kuziona siku zake, nilitamani nimtembelee aliwa Malawi...
  16. K

    JamiiForums Tanzania katika utumbuaji, natamani kituo kinachofuata kiwe NSSF .

    Wote waliochukizwa na namna iliyotumiwa na NSSF kwenye ajira kwa kuonesha upendeleo wa wazi tunatamani sana kituo kinachofuata katika utumbuaji kiwe NSSF ili kuwe na nidhamu katika ajira za utumishi wa Umma. Nina imani na Rais wetu Samia Suluhu, ni msikivu na mzingatiaji atasikiliza kilio hiki...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Natamani sana timu yangu ya Yanga ipangiwe Mamelod au Al Ahly

    Kutokana na ubora wa Yanga natamani kwenye hatua ya makundi ipangwe kucheza dhidi ya Mamelod sundown, Al Ahly au Raja casablanca. Tusipangiwe na vitimu vya Simba, Power dynamos au Bamako
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Leo natamani Watu fulani Wafungwe au Wasare ili nije na 'Exclusive' yao na 'Wavurugike' zaidi kwa 'Kukasirika' vibaya

    Ewe Mola kama tayari tumeshawapa Waarabu Bandari yetu basi kwa Upendo wako huo huo GENTAMYCINE nakuomba Uwabariki pia na Waarabu wengine ili leo nao Waweze Kumiliki Jangwa la Mtoni kupitia Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. AMINA......!! Pona pona yenu leo labda Mshinde, ila mkifungwa au kutoka...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Natamani ningefeli shule

    Kama ningefeli shule Ninayopitia Sasa bila Shaka nisingeyapitia. Kama ningefeli shule bila Shaka ningeenda veta na Sasa ningekuwa na ujuzi Fulani. Kama ningefeli shule bila Shaka jamii isingekuwa inaniangalia Kama inavyoniangalia Sasa,ningekuwa huru,nisingenyoshewa vidole ninapoendesha boda...
  20. Jugado

    JamiiForums Tanzania Nimepokea muamala from bank tangu juzi sijui zilipotoka! Natamani kuzitumbua roho inasita

    Juzi nimepokea from bank tshs 1m plus....niliziacha labda watachukua ila Kila nikicheki mzigo umo! Yaani hizi hela zinanifanya nisilale Kwa Amani Kwa tamaa ya kutaka kuzitumia... Nizitumbue au? Ps. Sikua nasubiria hela kokote
Back
Top Bottom