natamani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kizibo

    Kama ule ndio mpira wa Simba, natamani ifungwe kesho ili Fadlu afukuzwe

    Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza, Kama ule mpira waliocheza Simba siku ya tamasha lao ndo mpira wao kwa msimu huu, naomba kesho tufungwe ili kocha Fadlu afukuzwe mapema. Timu haieleweki inacheza vitu gani, Hadi unajiulza, "Sasa huko pre season walienda kufanya Nini?? Mazoezini wanafannya...
  2. Phobia

    Wanawake wa kimarekani wengi ni kisanga aaah, natamani kuachana nae ila nahofia divorce itanifilisi

    Wakuu haya mambo yasikie kwa wenzenu tu aisee hawa wanawake wa huku abroad ni kisanga jamani aaaah hii 50/50 mtihani jamni unaweza kukufilihisi hivi hivi na wanawake wa huku majuu wapo na wewe kwa ajili ya mali tu hasa wakijua ni mwafrika na kama mwafrika umeendelea na umetajirika kwahiyo...
  3. Mwislam by choice

    Natamani serikal ipanuae barabara ya Dar Morogoro

    Ukiangalia barabara ilivyo kuanzia kimara hadi mbezi zile njia nane na service road inapendeza na inarahisisha saana serikali ingepanua kama hapo mbezi to moro town pale chalinze inapigwa exchange moja ya maana hamna maingiliano ya wanaokwenda kaskazin ingekua poa saana
  4. Setfree

    Natamani kuwa Mwanasiasa lakini moyo wangu umegoma kabisa!

    Natamani kuwa Mwanasiasa lakini moyo wangu umegoma kabisa! Nikitazama runinga, nikisoma magazeti, au kushuhudia mijadala ya kisiasa, kuna sauti inaniambia: "Laiti na mimi ningekuwa mwanasiasa!" Kwa mbali, siasa inaonekana ni nafasi ya heshima, ushawishi na fursa. Ni njia ya kuwahudumia watu...
  5. K

    Natamani niwe kana diva loveness

    Hivi kuwa kama diva loveness love natakiwq nifanyeje? Yaani wanaume wanipapalikie,wanaume wanishobokee,nipate ofa ya bure kila ninapoenda,yaani kiujumla nipendwe na wanaume bongo mzima na nikipaka make up nivutie kila mtu au wanaume watokwe na mate naomba mniambie nifanyeje? Ila nishaanza...
  6. K

    KERO Responded Natamani Viongozi wa Wilaya na Mkoa Katavi wangekuwa wanatumia Vyoo vya Stendi ya Mizengo Pinda labda wangevijali

    Leo Julai 16, 2025 nilikuwa nasafiri kutoka Mpanda kuelekea Sumbawanga, nikiwa Stendi Kuu ya Mabasi ya Mizengo Pinda nilienda msalani, jambo la kushangaza na kutisha nimekuta vyoo upande wa Wanaume sio tu vichafu bali vimejaa maji taka hadi juu. Naziomba mamlaka hususani hasa Mkurugenzi wa...
  7. P

    Natamani mtu mmoja ajiuzulu

    Kusema tu ukweli nahisi mtu mmoja ajiuzulu tupone. Weka jina la unayetamani ajiuzulu hata leo.
  8. M

    Kulelekea Uchaguzi, natamani Samia abakie peke yake na familia yake, wengine wote wamtenge na ashindwe kwa kila kitu

    Kwanza ifahamike sielewi amefanya nini na anatupeleka wapi, mi naona anatupeleka kwenye kumfunga kila anayempinga namna anavyoendesha nchi yetu! Itakuwa furaha kuu siku moja mgombea wa ccm kuanguka na kushindwa vibaya Natamani mgombea wa CCM ashindwe na atengwe na kila mtu ili abakie peke...
  9. Marry Diana

    Natamani kumuona member huyu nipo tayari tuonane

    Anaitwa Tajiri sina baya. Mbali na wengi kuniita Malaya na kunitafsiri vibaya,sikuchukulia serious sana,niliona ni kawaida tu kwani hata mtaani watu huniambia nimekaa kimalaya yaani , wanaume wengi hujaribu bahati zao.mpaka pale mtu anapokata tamaa. Ila nahitaji kuonana na tajiri huyu, Kuna...
  10. adriz

    Natamani nipigane na member anayejiita Maghayo nimpasue

    Moja kwa moja. Sio kwamba namchukia kufikia levo hiyo hapana , ila ninakaugonjwa Cha kupenda kuwakomesha Wazembe , Wajinga , Wahalifu , Wapumbavu na wengine mfano wao. Pamoja na Mgerasi Busu la Kenge Maghayo The Mongolian Savage kuwa kwenye kifungoni kirefu yeye na genge lake ila bado...
  11. Crocodiletooth

    Natamani mh. Rais ayatamke haya wakati anavunja bunge, na ipitishwe kama utaratibu halali.

    Mbunge wa Jimbo fulani lenye wapiga kura 350,ambayo ndiyo jumla ya wapiga kura wake, wenye vitambulisho vya kupigia kura halali, endapo hawataridhishwa na utendaji wa Mbunge wao basi Watakuwa na nguvu ya petition kwa kutumia vitambulisho vyao vya kura kumngoa Mbunge huyo, endapo wananchi hao...
  12. Bwege2030

    Natamani kuvaa pete ya bahati Lakini sielewi inamaana Gani

    PETE ZA BAHATI Natamani kuvaa pete za bahati ila sasa naogopa sielewi inamaana Gani.Nasikia kwa mujibu wa jamaa fulani alisema,wakati akitafuta pete ya bahati aliambiwa apeleke damu ya mnyama,mbuzi mzee, sasa huwa najiuliza, hao walimaanisha mbuzi kweli au ni fumbo? Kwa wenye hizo pete naomba...
  13. S

    Baada ya TEC kuzuia makanisa yake kutumika na wanasiasa, natamani na TABOA/TATOA nao waje na tamko kuzuia mabasi na malori yao kutumika mikutanoni

    Mabasi na malori yanatumika sana kubeba watu toka maeneo tofauti na kuwapeleka mahali ambapo mikutano ya CCM inafanyika. TABOA na TATOA nao watoe tamko la kuzuia mabasi na malori yao kubeba watu kwenye mikutano ya siasa. Hili pia likifanyika, CCM pamoja na kuwa ni chama tawala watakuwa wapweke...
  14. CONSISTENCY

    Nilipokuwa mtoto mdogo nilitamani kuwa mtu uzima, ila sasa natamani kuwa mtoto mdogo!!

    So confused......!!!!! Is this true to everyone......????
  15. Ponjoro wa Kinondoni

    Kuna jambo zito natamani kulileta humu ila nikifikiria naona bora niseme tu Mitanotena.

    Wakuu october tunatiki na tunakwenda na mama yetu kipenzi cha watanzania, mama aliyeingia mioyoni mwetu.
  16. S

    Natamani dunia ipasuke na watu wote wabaki kuwa historia

    Ninaelewa unachotaka kufanya — kuwasilisha hoja yenye mtazamo mkali kuhusu kuangamia kwa wanadamu duniani. Kutamani kufutika kwa wanadamu au kuangamia kwa dunia kunaweza kuashiria maumivu ya ndani au kukata tamaa. Kama unaandika haya kwa sababu ya hasira, huzuni au hisia za kukosa maana ya...
  17. Isenye

    Natamani sana kuacha pombe ila nashindwa

    Wakuu mko salama? Wakuu kiukweli mpaka nimeanza kujichukia kuhusu unywaji wa pombe. Mfano jana nimepiga maji hadi sijui nilirudije ghetto,sometimes kumbukumbu zinapotea sababu ya pombe, kiuchumi napo naathirika,yani naweza nikawa na ka laki moja kangu mfukoni,nikiingia bar tu hako kalaki...
  18. Pdidy

    Natamani kumsikia Jaji Warioba kwenye mambo ya kupotezana

    HUYU N MSTAAFU PEKEEE ALIEBAKIA KUONGEA WAPI TUNAELEKEA KWENYE MAMBO YAKUPITEXANA SHIKAMOO BABU POPOTE ULIPO
  19. OMOYOGWANE

    Natamani kila mwana JF asome vitabu hivi viwili, ni zaidi ya degree ya saikolojia

    Aisee nyiee!! Huu mwaka nimejikuta nasoma vitabu viwili vya zamani ambavyo naamini kila mtu amewahi kuvisoma, lakini hivi vitabu ukisoma neno kwa neno, mstari kwa mstari, ukisoma kwa kutafakari na kuhusianisha na maisha halisi ya mtaani hskika utagundua mambo mengi yakushangaza sana Cha pili...
  20. The Father of All

    Natamani mtanganyika Mtikila angekuwa hai ili siasa zinoge

    Sijui kama mwanangu Christopher Mtikila angekuwa hai hali ingekuwaje alivyokuwa haogopi na kuona mbali?
Back
Top Bottom