natamani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Chakorii

    JamiiForums Tanzania Natamani nikupende asilimia mia

    Yes asilimia mia sijakosea…lakini unamakando kando mengi(nayajua )na yananiumiza. Hapi nu yia
  2. M

    JamiiForums Tanzania Natamani kung'atwa na kunguni

    Nasema ukweli kabisa. Natamani kung'atwa na kunguni i feel the experience. Siyo Kunguni tu pia mbu, nzi, mende, kiroboto na chawa. Na siyo kung'atwa tu pia natamani kuwaona na macho yangu naked eyes. This has been my life time wish for so long.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Natamani kufa

    Kuna mda napita road na wish hata mtu anisukumize kwenye barabara nikanyagwe na gari nife Ama nikipita Darajani atokee mtu anisukume nianguke chini ya daraja nife At this point sion umuhimu wowote wa kuendelea kubaki hai ikiwa kila nachogusa kinafeli I don't wish to see 2023 hope this one will...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Kuelekea mkutano mkuu wa CCM Taifa, natamani kuona uongozi mpya wenye ushawishi

    Amani iwe nanyi, Awali ya yote napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujalia afya njema, amani, upendo, umoja na mshikamano kwa taifa letu. Ni mengi makuu Mungu ametenda maishani mwetu kustahili shukrani kuu. Pia, nakipongeza CCM kwa kudumisha utamaduni wa kuandaa chaguzi za kidemokrasia...
  5. NostradamusEstrademe

    JamiiForums Tanzania Natamani kiongozi wa Qatar Sheikh Tamim bin Hamad Al Thani ajengewe sanamu

    Naandika haya nikijinasibu kutokuegemea kwenye dini yeyote au zozote zilizo katika dunia yetu hii pendwa ndogo sana inayoitwa Earth.Nimesema dunia yetu ni ndogo sana maana ni kama punje tu dhidi ya sayari zingine zilizo angani kama Jupiter.Dunia ni kama punje ya mtama dhidi ya mpira wa basket...
  6. puker

    JamiiForums Tanzania Kuna namna natamani kuwa sijui kwa jinsi gani itawezekana

    Habari zenu wanajukwaa. Naamini wote ni wazima poleni kwa wale wenye changamoto Mungu awatangulie 🙏. Niende moja kwa moja kwenye Mada. Kiufupi nimechoka namna jinsi gani nilivyo. Simaanishi sijipendi au sitamani tena kuishi... lahasha ila kama binadamu tungekuwa kama namna...
  7. Surya

    JamiiForums Tanzania Kiukweli natamani sana kuishi maisha bila ya watu kunishangaa na kuniuliza kwanini

    "No one judge me" Kiukweli ndugu zangu natamani sana kufanya vitu vingi vya binafsi lakini nikifikiria watu watanionaje nguvu zinaniisha na kuamua kuacha tu na kujificha au kujibana, na ni mambo ambayo natamani niyafanye kwa uhuru wote na kwa kujiachia kabisa. Binafsi mimi ni mtoa huduma za...
  8. Shadow7

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Natamani Maalim Seif angekuwepo

    “Tangu asubuhi nimeamka taswira ya maalimu Seif inanijia na natamani leo angekuwepo hapa katika uzinduzi huu na naamini huko aliko anatabasamu na mwenyezimungu aendeleee kumuweka mahala pema peponi” - @zittokabwe , Kiongozi wa Chama ACT Wazalendo
  9. J

    JamiiForums Tanzania Natamani siku ifike haraka hata kama ni kutoka tutoke tu, nimechoka!

    Natamani hiyo siku ifike haraka tucheze tumalize, hata kama tutatoka tutoke tu, nimechoka na hii mijadala! Yaani hii wiki moja ya kusubiri marudiano imegeuka na kuwa kama mwaka, dah! Tucheze tu, hata kama tutatoka siyo mwisho wa dunia.
  10. ommytk

    JamiiForums Tanzania Natamani hawa wanatoa ushuhuda makanisani nipate ninayemjua toka zamani na shida yake

    Naomba niongee hili jambo mimi mara zote aidha naona kwa TV au kwenye gazeti au mara ingine ata kwenye mikutano mbalimbali ya dini ya awa wachungaji wanaoponesha watu na pia kuwainua kiuchumi na kimaisha. Ila natamani sana kumpata mtu namjua naona akiwa pale mbele najua kabisa alikuwa kiwete...
  11. feisar wa moro

    JamiiForums Tanzania Sababu za kwanini bei za vyakula Tanzania zipande mara dufu

    Wakuu sina mengi hizi ni sababu zangu kutokana na hali halisi iliyopo huku mashambani kunakofanyika kilimo..( nipo kilombero morogoro) ZAO MPUNGA Bei ya kukodi shamba Ni laki 2 kutoka laki 1 msimu uliopita Bei ya kuvuruga ni laki moja na 40 kutoka 80elf msimu uliopita Bei ya kupanda ni laki...
  12. Checnoris

    JamiiForums Tanzania Natamani Sana mwanamke anishike hivi

  13. music mimi

    JamiiForums Tanzania Natamani kuwa na mpenzi Mzungu lakini sijui nampataje

    Naomba mawazo ya wazoefu wa kuinteract na Wazungu. Nahitaji msichana/mwanamke wa Kizungu awe mpenzi wangu ila sielewi nifanyeje nimpate. Nimejitahidi kwenda maeneo wanayopendelea kukaa haswa Oysterbay/Masaki lakini namna ya kuwaingia ni ishu, maana wapo busy sana na mambo yao pia ni wagumu...
  14. K

    JamiiForums Tanzania NATAMANI SANA,NCHI YETU IWE NA DEMOKRASI YA HALI YA JUU KAMA KENYA:

    Uchaguzi wa Kenya umekwisha,lakini mshindi wa kiti Cha urais aliyetangazwa na tume huru ya uchaguzi ,ya Kenya RUTO bado hajazibitishwa kwa kuwa mpinzani wake wa kitu hicho ,Raila Odinga , alikwenda mahakamani kupinga matokeo yao.Mahakama ya upeo itato majibu ya rufaa ya mzee Odinga siku ya...
  15. Lanlady

    JamiiForums Tanzania WanaJF waliohesabiwa na wale ambao hawajahesabiwa, mapumziko ya leo yamewasaidiaje?

    Kwa kuwa kujifunza hakuna kikomo, natamani kujifunza zaidi kuhusu mabadiliko yanayofanywa katika nchi yetu hasa kwa awamu hiiya sasa! https://www.jamiiforums.com/threads/ikiwa-tarehe-23-august-ni-mapumziko-je-karani-atazifikia-kaya-zote-kwa-siku-hiyo.2011912/post-43501017
  16. M

    JamiiForums Tanzania Natamani makarani wa sensa wangetuuliza pia idadi ya michepuko tuliyonayo na idadi ya watoto wa nje

    Hili swali lilikuwa muhimu sana. Kwa nini? Serikali ingejua kwa kiwango gani wanaume tunajitoa kusitiri wanawake wasioolewa au michepuko kwa kiasi gani,hii huenda ingesababisha mishahara yetu kuongezeka. Pili ingejua tatizo la single mother ni kubwa kiasi gani hivyo huenda vatican wangeruhusu...
  17. kaligopelelo

    JamiiForums Tanzania Natamani viongozi wote wa mataifa ya Afrika waiunge mkono kauli ya Nana Akufo Ado

    Ifike wakati Sasa Afrika tuungane Katika kutetea masilahi yetu. Linapokuja suala la Afrika lisiachwe liwe la mtu mmoja,au taifa moja. Afrika tuoneshe kujitambua.
  18. cold water

    JamiiForums Tanzania Natamani aende kwao tu....

    Yani full tafrani home, ana wiki ya pili sasa yani nimeshamchoka huyu ndugu, kafika home kututembelea lakini full kutupangia ratiba za kuamka , leo kaamka mapema kaanza kutia makelele amkeni amkeni Usafi mtafanya SAA ngapi? Wakati sisi tuna ratiba zetu za usafi, kila mtu akiamka ana kazi yake...
  19. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Natamani sisi wapenzi wa Pan-Africanism timu yetu iamke upya, na Red Star nayo iamke upya

    Sisi tuliokuwa wapenzi wa Pan-Africanism ndio tuliokimbilia Yanga, baada ya timu yetu kuonyesha kutokuwa na future na mipango madhubuti ya kimichezo. Natamani timu hii ikiwa na pacha wake nyota nyekundu zipate mfadhili wa kuziamsha, maana kama ni mashabiki wanao wa kutosha. Maana waliokuwa...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Picha: Natamani hii ndio ingekuwa jezi ya Simba. Kali sana

    Hizi fans concepts huwa ni kali sana ila siku ya mwisho unashangaa watuwanakuja na utopolo wa kutisha kabisa, i like this one tamu sana
Back
Top Bottom