natamani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Z

    JamiiForums Tanzania Natamani kufungua kesi dhidi ya WHO. Kwanini ugonjwa mmoja una chanjo zaidi ya 24?

    Tunaposema tuwe makini siyo kwamba ni ujinga. WHO imeruhusu chanjo zaidi ya 24 kwa ugonjwa mmoja tu.Hii maana yake chanjo bado ziko kwenye utafiti na zimetolewa kwa hati ya dharula (soma masharti). Na kama zimeshakuwa fully approved maana yake ni kuwa zinazidiana ubora au uwezo ni sawa na dawa...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuonana na Mwigulu Nchemba?

    Ningependa tu kuonana na Mh Mbunge Mwigulu Nchemba. Nimetumia jina la Mh Mbunge kwa sababu inakuwa rahisi kuweza kumuona tofauti na Waziri, kwa maana jina la Uwaziri linamajukumu mengi Nahisi nikikutana naye nitatimiza furaha yangu ya moyo wangu na ujumbe wangu atausikia na kuutendea kazi...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Natamani mdahalo 'live' kati ya wanaokubali na kukataa chanjo ya COVID-19

    Timu "chanjo Yes" iongozwe na Dr Gwajima na timu "chanjo No" iongozwe na Askofu Gwajima! Huo mdahalo mtoto hatumwi dukani. Kuna timu moja naiona haiwezi kuthubutu kutia mguu kwenye mdahalo huo, naiona ina hali mbaya. Wamiliki wa luninga jaribuni kuzikutanisha timu hizo mbili ili watu wote...
  4. IKUNGURU IJIRU CHUKU

    JamiiForums Tanzania Huyu sio gaidi natamani litambulike hilo

  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Natamani sana Kocha Nabi anipangie Kikosi hiki Jumamosi tarehe 3 July, 2021 ili niupige mwingi mno kisha nipige nyingi kwa Mkapa

    1. Farouq Shikalo 2. Shomary Kibwana 3. Adeyum Saleh 4. Dickson Job 5. Bakari Mwamnyeto 6. Tonombe Mukoko 7. Zawadi Mauya 8. Feisal Salum 9. Saido Ntibanzokinza 10. Yacouba Sogne 11. Tuisila Kisinda Na hii ndiyo 'First Eleven' ya Nabi wenu.
  6. Memtata

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wa mtu kanifunza kitu

    Mara ya kwanza tulikutana club sikujua kama ni mke wa mtu, alikuwa amevaa kistaarabu sana kumbe alikuwa ametoka kwenye sendoff party alikuwa ameongozana na wenzake wawili. Nilimtongoza hakukubali moja kwa moja ila tulibadilishana mawasiliano. Kilichonifanya nisiwaze kama ni mke wa mtu kwanza ni...
  7. Ndebile

    JamiiForums Tanzania Natamani kupaza sauti kuhusu uonevu huu ila...

    Nipo kibaruani mchana wa leo (nimerudi kazini awamu ya sita baada kama nilivyohaidi), nimempokea mama na kichanga chake ambaye amejifungulia kazini kwenye kiwanda cha Mchina (sehemu sitaitaja) ila ni mazingira mabaya kujifungulia binadamu, mama hana kadi ya kliniki na bahati nzuri alikuja...
  8. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Kwa alichokiongea Heri Mzozo, Tshabalala ataenda Yanga

    Nimesikia interview ya kaka mkubwa Heri Mzozo. Kwa alicho kisema Ni wazi kuwa Zimbwe ataenda Yanga. Kikubwa wanacho kitazama wao kama walezi na management ya Tshabalala ni maslahi ya kijana wao. Kwa alicho kisema Mzozo kuhusu malipo anayo lipwa Zimbwe pale Msimbazi, kusema ukweli Simba...
  9. Morg

    JamiiForums Tanzania Natamani sana kufanya biashara ya pafyume

    Wakuu kwà mda mrefu nimekuwa kwenye shauku ya kufanya biashara ya kuuza pafyume zile za bei kubwa kubwa kuanzia 10. na kuendelea zenye standard mzuri na kuimport mzigo from Dubai to Zanzibar then Tanzania. Lakini ningependa kupata apdate moja mbili kutoka kwà wadau wa humu jf na jua wanauzoefu...
Back
Top Bottom