nataka

Nataka is a village in Mirzapur, Uttar Pradesh, India.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nataka kujua duka linalouza electronic components Dar es Salaam

    Mambo vipi wanajamiiforum, Naombakukujua maduka yanayouza electronics components kamavile capacitors, resistors , ICs, opamp, diodes
  2. JamiiForums Tanzania Nataka kwenda Botswana, natakiwa kuwa na Visa?

    Wakurugenzi nimepata mchongo Nampula Botswana je hints nafikaje huko? Ubalozi wao upo wapi hapa Tanzania? Naona hapa pananifaa. Vigezo gani vya kuingia huko? Nimetenga 1500$ Kama safari alafu 1000$ ya kukaa miezi mitatu rental
  3. JamiiForums Tanzania Nishaurini: Nataka ninunue iphone S6

    Wataalam wa Technology habari zenu, Bajeti yangu ndogo ila natamani nimiliki Iphone katika pita pita zangu nimekutana na Iphone S6 ambayo inaendana na Bajet yangu ila wasiwasi wangu ni kwamba nasikia ifikapo mwakani itakua expired kwamba baadhi ya app km WhatsApp na nyinginezo zitakua hazifanyi...
  4. J

    JamiiForums Tanzania SoC01 Nataka Kubadilika: Mambo 10 muhimu unayotakiwa kuyaacha

    MAMBO 10 MUHIMU UNAYOTAKIWA KUYAACHA. Rafiki yangu mpendwa, Unashindwa kutoka hapo ulipo siyo kwa sababu hutaki kutoka hapo ulipo, hapana, unataka sana tu kutoka hapo ulipo na kufika kule unapotaka wewe kufika. Ila tatizo lako wewe ni kuwa unataka kutoka hapo ulipo kwa maneno na si kwa vitendo...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Nataka kutumia Viagra

    Ndugu wapendwa habari za jioni hiii, nimekuja kwenu kutafuta kujuzwa kuhusu utumiaji wa dawa za kuongeza nguvu za kiume (viagra). Jana nilipatwa na mshituko kwani nilikwenda kwenye mambos na mpenzi wangu wa siku zote na katika kuhitimisha mambo yetu kila kitu kilienda sawa kwenye romance...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Nataka kubadilika

    MAMBO 10 MUHIMU UNAYOTAKIWA KUYAACHA. Rafiki yangu mpendwa, Unashindwa kutoka hapo ulipo siyo kwa sababu hutaki kutoka hapo ulipo, hapana, unataka sana tu kutoka hapo ulipo na kufika kule unapotaka wewe kufika. Ila tatizo lako wewe ni kuwa unataka kutoka hapo ulipo kwa maneno na si kwa...
  7. A

    JamiiForums Tanzania PCB 3.13 kuenda kusoma udaktari nje

    Nimemaliza kidato Cha sita nimepanga kusoma md uganda, Je, Kuna athari gani kwenda kusoma nje ya nchi bila no objection certificate ya tcu maana sijatimiza vigezo vya D tatu ya tcu na nimekosa chuo.hapa.nchini. Nimepata phy D chem D bioE 3.13
  8. A

    JamiiForums Tanzania Nimemaliza PCB, nataka afya Ila siwezi kuvumiliaa kuona damu wala kuona mtu anatoka damu

    Ninataka kusoma afya ila siwezi kuona damu, nimemaliza PCB div 1.8 Kuna course gani za afya ambazo hazihusishi kuona damu? Matokeo yang ya form 6 ni phy C chem B bio C
  9. JamiiForums Tanzania Nataka kuweka pesa fixed deposit/fixed term naombeni ushauri

    Habari wadau..! Kwa tetesi za mtaani viwango vya riba vimeongezwa kwa wale wanohitaji kuweka pesa kwenye akaunti za kuzaa faida yaani Fixed deposit au fixed term ,wanadai hii inatokana na ukwasi katika mabenki mengi hivyo wanahitaji watu watakao weka pesa kwenye mabenki yao.Je ni kweli? Kwa...
  10. JamiiForums Tanzania Nataka kujifunza software ya ERP (Enterprise Resources planning)

    Habari zenu wakuu, Mwenye anajua website ambayo nitaweza kujifunza na kuielewa hii software naomba anisaidie nataka sana niijue kiundani
  11. JamiiForums Tanzania Kwa Watanzania mlioko Burundi hali ikoje huko, nataka kuja

    Baada ya mheshimiwa kusema tuhamie Burundi nilijipanga vizuri ili nihamie Burundi ila nikakumbuka kuna watu wamekimbia Burundi na kuja Tz So naomba kuuliza kwa mlioko Burundi hali ya tozo ikoje, amani, na mazingira ya biashara nisije kujikuta naangukia pua
  12. R

    JamiiForums Tanzania Nataka ni-adopt mtoto

    Habari zenu? Husika na kichwa cha habari hapo juu,naombeni video vha kuadopt mtoto yani naazaje hadi nimpate?
  13. JamiiForums Tanzania Ushauri nataka nijitose Mwanza mradi wa SGR

    Habari zenu wakuu, Katika kutafuta mishe za kazi nimefikiria kutua mwanza kufatilia kazi kwenye mradi wa reli. Naombeni ushauri niende nikajitose au namna kwa sasa nipo Dsm.
  14. JamiiForums Tanzania Mafuta ya betri ni dawa sahihi ya kutibu mdudu wa kidole?

    HaBari wadau..! Husika na kichwa cha habari hapo juu.
  15. JamiiForums Tanzania Nataka kufungua kesi kupinga kodi ya jengo kupitia Luku lakini sioni wa kunitetea mahakamani

    Haki yangu ya msingi naona imeporwa, nataka kufungua kesi dhidi ya malipo ya kodi ya jengo kupitia Luku ila shida iliyopo ni hao ninaowategemea wana maslahi na nafuu waliyoipata, wakili ananyumba anapangisha yeye mzigo wa kuilipia kodi wamemtua na hakimu naye nyumba yake anapangisha naye mzigo...
  16. JamiiForums Tanzania Unaweza kuzalisha ajira kwa ajili ya vijana 5 wa kitanzania?

    Habari za wakati Kufikiria sio kazi rahisi,ni kazi ambayo ina ugumu wake. Je unafikri unaweza kuzalisha ajira kwa ajili ya vijana 5 wa Kitanzania katika eneo ulipo?Je ajira utakayowapatia itakuwa na sifa gani,utawalipa kiasi gani,itakuwa na faida gani kwa jamii inayokuzunguka? Zingatia kwamba...
  17. JamiiForums Tanzania Shindano: Uandishi wa Mtandaoni wenye kuleta tija (Stories of Change)

    Jamii Forums (JF) ni Asasi ya Kiraia inayoratibu mtandao wa JamiiForums na kuhamasisha Haki za Kidigitali, Demokrasia, Uwajibikaji na Utawala Bora. Jamii Forums imekuwa mstari wa mbele katika kuhamasisha uandishi wa maudhui bora na yenye tija mtandaoni kwa zaidi ya miaka 15 kwa kutoa jukwaa la...
  18. JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria: Mazingira anayolelewa mwanangu wa mwaka mmoja si salama nataka nimchukue

    Mwaka 2019 mwezi wa tano nilibahatika kuzaa na binti mmoja ambae nilimpenda sana ila tulikuja kushindwana baada ya kuwa na tabia za kiswahili na kuwa mtu wa starehe yale maisha yalinishinda tukatengana. Nikawa natoa huduma za mtoto kipindi yupo kwao kitu kilicho nifanya mpaka naandika uzi...
  19. JamiiForums Tanzania Nataka kung'oa mzungu, naomba msaada kwa hapa Dar wazungu wanashinda mitaa ipi?

    Waswahili nimewashindwa,kila demu wa kibongo anataka na ya kutolea. Makato yamezidi, watanifilisi hawa. Hivyo Ni mitaa ipi nikihudhuria sana naweza pata Toto la mbele huko, haijalishi mjapani au mzungu. Natanguliza shukrani
  20. JamiiForums Tanzania Ushauri: Nataka kutumia mchango wa harusi kujenga nyumba

    Wadau ebu naomba ushauri wenu nitarajia kuchukua jiko sasa michango imefika 42 millin na point kadhaa na watu bado wanatoa Imenijia wazo hizi hela nifanye jambo lingine nina kiwanja Bunju nikajenge nyumba fasta ya japo 35m nipate kustirika kikao cha mwisho sitokei natuma mjumbe mjomba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…