Nataka kubadilika

Oct 6, 2018
10
45
FURSA GROUP TANZANIA#TWO 20210927_135905.jpg

MAMBO 10 MUHIMU
UNAYOTAKIWA KUYAACHA.

Rafiki yangu mpendwa, Unashindwa kutoka hapo ulipo siyo kwa sababu hutaki kutoka hapo ulipo, hapana, unataka sana tu kutoka hapo ulipo na kufika kule unapotaka wewe kufika.
Ila tatizo lako wewe ni kuwa unataka kutoka hapo ulipo kwa maneno na si kwa vitendo yaani bado hujadhamiria kweli kutoka hapo ulipo.

Ziache tabia hizi kumi mara moja ili uweze kutoka hapo ulipo na kusonga mbele.

Moja
Tabia Ya Kujilinganisha Na Wengine.
Theodore Roosevelt aliwahi kusema kwamba, "Comparison is the thief of joy."
Akiwa na maana kwamba, "Tabia ya kujilinganisha na wengine ni mwizi wa furaha yako."
Kama ungelijua kuwa miongoni mwa sumu mbaya na hatari kwa Mafanikio yako basi hii tabia ya kujilinganisha na wengine ni hatari sana.
Iache mara moja, Mtu pekee wa kujilinganisha nae ni wewe mwenyewe.
Ukijilinganisha na watu kwa hakika utaishia kufadhaika kwani kunafadhaisha sana.

Mbili
Tabia Ya Kusubiria Mpaka Uwe Tayari.
Ukisubiri mpaka uwe tayari ndiyo eti uanze kufanya yale unayotaka kufanya ili ufanikiwe basi nikuambie kuwa utasubiri sana kwani kamwe huwezi kuwa tayari mpaka uamue kuwa tayari.
Kumbuka tu kuwa Utayari ni maamuzi siyo hali, hata sasa ukiamua kuwa tayari basi unakuwa tayari.
Kusubiri mpaka uwe tayari ni kujichelewesha tu, wewe anza utayari utakukuta huko huko mbele ya safari.
Maisha ni sawa na kama upo vitani hivyo unatakiwa kuwa tayari muda wote na kwa lolote.

Tatu
Tabia Ya Kurudia Makosa.
Kosa ulifanya mwaka jana likafanya ushindwe kutimiza Malengo yako, kosa hilo hilo tena unafanya mwaka huu basi kumbe hutaki kufanikiwa.
Kukosea kupo katika maisha na hilo lipo wazi kabisa, ila jifunze kwa makosa kisha songa mbele.
Kumbuka tu kuwa kurudia makosa tafsiri yake ni kuwa umeamua kufanya kwa makusudi.
Wewe njia hiyo ulipita jana ukapotea, leo tena unapita hiyo hiyo? Jitathmini.

Nne
Tabia Ya Kutokuwa Na Vipaombele.
Na hii ndiyo ambayo hufanya watu kughairisha sana mambo ambayo utakuta ndiyo yangeweza kuwa msaada mkubwa sana kwao. kama jambo ukilipa kipaombele basi utaweza kulifanya.
Kuwa na vipaombele katika maisha yako, usikubali kupanga jambo wewe mwenyewe halafu ushindwe kulifanya, kughairisha mambo ni ukosefu wa vipaombele.

Tano
Hofu Ya Kushindwa.
Ukitawaliwa na hofu basi jua kuwa daima wewe hakuna cha maana utakachofanya kwani hofu huzuia watu kuchukua hatua, ishinde hofu kwa kuamua kufanya licha ya hofu uliyo kuwa nayo.
Na ukumbuke tu kuwa woga chanzo chake ni ujinga hivyo jifunze uweze kuyajua mambo vema kabla hujachukua hatua, Hii itakufanya usiwe na woga.

Sita
Tabia Ya Kufikiria Wengine Watasema Nini Juu Yako.
Kama kuna utumwa mbaya basi huu ni mbaya sana, yaani unashindwa kufanya jambo fulani kwa kufikiria wengine watasema nini juu yako?
Kila mtu na maisha yake na kila mtu ni dereva wa maisha yake, Kama wewe unaona upo sahihi basi fanya, kumbuka tu kuwa watu hawata acha kusema.
Ukifanya ukapata Mafanikio watasema, ukifanya ukashindwa watasema na hata usipofanya bado watasema.

Saba
Kushindwa Kusema Hapana.
Kuna watu wao kusema hapana hawawezi licha ya jambo kuonekana lina athari kwao.
Na hata wakisema hapana huwa hawamaanishi hapana zao kwa kuwa huwa hawana msimamo.
Kama unataka kuwa na maisha magumu na ya shida, maisha ya wasiwasi na yasiyo kuwa na furaha licha ya juhudi zako zote unazoziweka basi shindwa kusema hapana.
Jambo ukiona siyo sahihi kwako sema hapana, hata kama ni nani ila kama wewe unaona litakuwa na matokeo hasi kwako basi sema hapana tena bila hata kujielezea.
Kumbuka kuwa, kusema hapana siyo dhambi na wala siyo udhaifu, ni uimara.

Nane
Kushindwa Kuishi Maisha Yako.
Kama unashindwa kuishi maisha yako utaweza kuishi maisha ya nani sasa?
Ishi maisha yako kwa kufanya yaliyo sahihi na yanayokuhusu wewe tu.
Mambo ya kufuatilia maisha ya wengine acha kwani ni hatari kwa sababu hutaweza kufika popote kwa kufuatilia maisha ya wengine.

Tisa
Tabia Ya Kuwa Mtu Wa Kulalamika.
Ndugu yangu, Malalamiko hayajawahi kuleta matokeo chanya, wote ambao unaona wamefanikiwa siyo kwamba walikuwa hawataki kulalamika, lakini walijua kuwa maisha yao ni jukumu lao hivyo wakaamua kupambana kuyafanya kuwa bora kwa kadiri wao watakavyo.
kuwalalamikia wazazi, ndugu, marafiki au Jamii kwa kutokuwa na maisha ya aina fulani au kwa kuwa na matatizo fulani unadhani kutasaidia nini?
Mambo yanapokwenda tofauti na matarajio yako basi jua ni tatizo na rekebisha, Acha kulalamika kwani hakutasaidia kitu.
Mtu Mmoja mwenye hekima aliwahi kusema kuwa, Kulalamika ni kupoteza muda.

Kumi
Tabia Ya Kukimbia Changamoto.
Kama unakimbia changamoto zako, wewe ulitaka akutane nazo nani sasa ili wewe ufurahi?
Changamoto ni muhimu sana katika maisha kwani ndiyo huleta radha katika maisha.
Hakuna mtu yoyote Duniani aliyewahi kufanikiwa kwa kuzikimbia changamoto bali kwa kupambana nazo.
Changamoto ni njia ya Mafanikio makubwa unayoyataka, Kukataa changamoto ni kukataa Mafanikio, Sasa je! kweli hutaki Mafanikio?
Kama unataka basi acha tabia ya kukimbia changamoto, aliyekwambia changamoto huwa zinakimbiwa alikudanganya, kamwe huwezi kimbia changamoto kama upo hai kwani kila sehemu zipo.

Yatafakari mambo hayo vema kisha chukua hatua thabiti mara moja, Hujachelewa bado.
 
View attachment 1954797

Nachukua hatua kuanzia leo, thanks mkuu
 
please visit jamiiforums #storiesofchange and vote for the post Nataka kubadilika🙏
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom