Nishaurini: Nataka ninunue iphone S6

Abuu Said

JF-Expert Member
Jul 5, 2015
4,010
4,748
Wataalam wa Technology habari zenu,

Bajeti yangu ndogo ila natamani nimiliki Iphone katika pita pita zangu nimekutana na Iphone S6 ambayo inaendana na Bajet yangu ila wasiwasi wangu ni kwamba nasikia ifikapo mwakani itakua expired kwamba baadhi ya app km WhatsApp na nyinginezo zitakua hazifanyi kazi je hii ni kweli?

Nisije nikaingia mkenge.

Nawasilisha.
 
November hii
Sahihi

Screenshot_2021-10-09-18-37-24-273_com.miui.gallery.jpg
 
Nataka nikusaidie kama siku nyingine. Usipigwe kwanza kabisa hakuna iphone inaitwa s6 ni 6s na 6s inafika mpaka ios 15 sasa wewe huelewe hata ni ios gani zinafungiwa
Poa nakubali kuwa mjinga haya nipe somo kuhusu Iphone 6s is 15 ntashukuru
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom